Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatiaga hasira ila Cha kuwafanya huna.
Jana wengine wamemwaga mafuta yangu mapya wamesambaza sebule nzima,mengine wamejipakapaka.
Muda huo Mimi nipo kupika.

Yaani nimekosa Cha kuwafanya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],mafuta nmenunua mchana dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiona mtoto huko aliko ametulia kimya ujue Kuna kitu anaharibu,hawajawahigi tulia bila kuharibu kitu.
 
Nakumbuka nilipokuwa kua mdogo miaka 5/6.
Nilichanganya beseni zima la maji na mafuta yakupaka ya mgando na kujipaka paka..
 
Haaa haaaa haaa wa kwangu, nilijitutumua nikanunua TV flat screen size 43 Inch, narudi toka job nakuta amepasusua na nyundo TV ikiwa na miezi 3 niliishia kushika kiuno huku yeye ananikimbilia kuniwawooo, kwakweli alichonifanyia Mungu anamuona!
 
Afu ukute kuna mzazi atawakung'uta watoto kama punda *****.

I have 2 little boys ambao wamefatana. sidhani kuna ambacho sijakiona bado. Wakiwa kimya ujue kinachofata ni mapigo ya moyo kuongezeka.

Mmoja akiwepo kutatulia kidogo. Wait wawe pamoja.🤣🤣🤣🤣

May Allah grant the gift of parenthood to all those that seek it. Ameen.
 
Haaa haaaa haaa wa kwangu, nilijitutumua nikanunua TV flat screen size 43 Inch, narudi toka job nakuta amepasusua na nyundo TV ikiwa na miezi 3 niliishia kushika kiuno huku yeye ananikimbilia kuniwawooo, kwakweli alichonifanyia Mungu anamuona!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom