stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Mambo huwa hivi
Yaani hapa ndipo nnapokosa mzuka wa kuwa na kidi aisee
Daaah illigal nimecheka hadi basiUkiona wako kimya ujue kuna illigal business inaendelea huko 😂😂
HahahahUkiona wako kimya ujue kuna illigal business inaendelea huko [emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, nikiwa na uwezo wa kumudu kuwa na mtoto nadhani ntabadili mawazo.Sema bado na wewe ni mtoto siku ukikuwa hutosema hayo maneno
Halafu ajabu unawakuta hapo hapo kwenye crime sceneUkiona wako kimya ujue kuna illigal business inaendelea huko 😂😂
Tena wanakuchekeaHalafu ajabu unawakuta hapo hapo kwenye crime scene