Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

Hapa wenye watoto ndo tunaelewa maana ya hizo picha
 
Ukiwa mtoto Raha Sana
Nakumbuka tukio moja hivi
Maza alikua bize na udobi mimi wakati huo nilikua nime okota makopo flani iv ya kupulizia Rangi ndani yake hua na goroli mbili
Sasa wakati naendelea kupasua pasua ule mrija unao vuta rangi toka ndani ya kopo kitu si kika spray ile rangi iliyo bakia mle ndani ya kopo yote ika tua usoni nikaachia kilio nisijue cha kufanya uzuri bi mkubwa hakua mbali akanipa msaada toka kipindi iko na utundu nikaacha...
 
Hii thread imenikumbusha tukiwa wadogo tuliwachukua kuku waliokuwa wanatamia tukawa tunawaogesha na kuwasugua miguu kwa brush,, halafu tunawarudisha kwenye mayai na Yale maji maji wakashindwa kutotoa
Nimecheka sana. Mlikuwa mngundua nini. Umenikumbusha Baba yangu aliniagiza nikamtose kuku kwenye maji kwa mara moja aliyetoka kuatamia ili utitiri umtoke. Nilipofanya hivyo kuku agaogelea hadi ng'ambo ya mto, nikamrudishia tena, dada na kaka wanatoka shule wakanikuta naendelea kumtosa. Kuku hadi manyoya yote yakaisha. Nikambiwa mle mbichi mama akaniokoa kwa kumkaanga
 
Siku nyingine tukaenda kufua ziwani na sabuni ya kipande povu likaruka. Tukahamishia mchezo kupuliza na kupeperusha kipande chote kikaisha na sabu iliyokuwepo nyumbani ndiyo hiyo tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatiaga hasira ila Cha kuwafanya huna.
Jana wengine wamemwaga mafuta yangu mapya wamesambaza sebule nzima,mengine wamejipakapaka.
Muda huo Mimi nipo kupika.

Yaani nimekosa Cha kuwafanya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],mafuta nmenunua mchana dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiona mtoto huko aliko ametulia kimya ujue Kuna kitu anaharibu,hawajawahigi tulia bila kuharibu kitu.
Wanavyotulia utadhani kuna cha maana wanafanya kumbe balaa.
 
Hawa jamaa wana vituko.. ila bora wachezee vitu vingine kuliko kuchokonoa soketi za umeme kwa kutumia misumari
 
Hayo ni malezi mabaya ya watoto..watoto wanatakiwa wakaripiwe kwa ukali wanapofanya uharibifu mara ya kwanza ili asirudie tena nashangaa comment nyingi za watu humu eti wanasema baada ya kufanya uharibifu unaishia kuwaangalia tu huna la kufanya,seriously!!?..hakuna kitu nisichokipenda kama kutiana hasara hata kama ni mtoto inatakiwa ajue ukomo wa utundu wake mwisho ni wapi..sasa nipekidogo amepewa hasara ndani ya miezi mitatu lakini ameendelea kumchekea mtoto tu kashindwa hata kumkaripia?
Mkuu mimi pia nimeshangaa, nikajua labda siku nikiwa mzazi na mimi moyo wangu utageuka. Sasa hivi hapana mtoto wa wa mtu asinifanyie ujinga
 
Watoto raha Sana ,mwanangu aliwahi kuamka Mimi bado nimelala, kushutuka simwoni mtoto nikahamaki nikajua kaibiwa Kama dakika mbili nikasikia mtu anatapika uvunguni kumbe amekula sabuni ya unga ilokuwa kwenye mfuko .....dah mshutuko wake sintasahau
 
Hayo ni malezi mabaya ya watoto..watoto wanatakiwa wakaripiwe kwa ukali wanapofanya uharibifu mara ya kwanza ili asirudie tena nashangaa comment nyingi za watu humu eti wanasema baada ya kufanya uharibifu unaishia kuwaangalia tu huna la kufanya,seriously!!?..hakuna kitu nisichokipenda kama kutiana hasara hata kama ni mtoto inatakiwa ajue ukomo wa utundu wake mwisho ni wapi..sasa nipekidogo amepewa hasara ndani ya miezi mitatu lakini ameendelea kumchekea mtoto tu kashindwa hata kumkaripia?
Hata mi nimeshangaa Sana.. Mtoto anatakiwa akaripiwe ajue hakuna kupitiliza mipaka fulani... I have two kids almost wana turn teenage lakini hakuna hata aliyewahi kufanya utundu wa kupitiliza.. Tuwape do and don't mapema hata kabla ya uharibifu inasaidia Sana... Anyway, maybe mi nipo tofauti ila malezi ya kutians hasara na kurisk maisha ya mtoto ni big no... Nikisema don't do this ni hivyo na lazima wa obey toka wakiwa wadogo.. Unamkataza unampa ns reason kwa nini Unamkataza mbona wanaelewa tu... Mkuu wewe ni kama mimi nahis
 
Mkuu mimi pia nimeshangaa, nikajua labda siku nikiwa mzazi na mimi moyo wangu utageuka. Sasa hivi hapana mtoto wa wa mtu asinifanyie ujinga
[emoji16][emoji16] Hamna ulivyo hivyo ni Sawa aisee... Kuendekeza ujinga kwa watoto ni mbaya sana
 
Hata mi nimeshangaa Sana.. Mtoto anatakiwa akaripiwe ajue hakuna kupitiliza mipaka fulani... I have two kids almost wana turn teenage lakini hakuna hata aliyewahi kufanya utundu wa kupitiliza.. Tuwape do and don't mapema hata kabla ya uharibifu inasaidia Sana... Anyway, maybe mi nipo tofauti ila malezi ya kutians hasara na kurisk maisha ya mtoto ni big no... Nikisema don't do this ni hivyo na lazima wa obey toka wakiwa wadogo.. Unamkataza unampa ns reason kwa nini Unamkataza mbona wanaelewa tu... Mkuu wewe ni kama mimi nahis
Wewe kama mimi kabisa, nashangaa eti mtoto anafanya ujinga mzazi unaishia kucheka, kesho anatafuta tukio la kukufurahisha tena kwani ni mtoto gani hapendi mzazi wake afurahi
 
[emoji16][emoji16] Hamna ulivyo hivyo ni Sawa aisee... Kuendekeza ujinga kwa watoto ni mbaya sana
Daah ndio maana tunawaona kina Junior na vituko vyao sio kwa malezi haya, yaani mtoto anafanya uharibifu unamchekea
 
Ukiwa mtoto Raha Sana
Nakumbuka tukio moja hivi
Maza alikua bize na udobi mimi wakati huo nilikua nime okota makopo flani iv ya kupulizia Rangi ndani yake hua na goroli mbili
Sasa wakati naendelea kupasua pasua ule mrija unao vuta rangi toka ndani ya kopo kitu si kika spray ile rangi iliyo bakia mle ndani ya kopo yote ika tua usoni nikaachia kilio nisijue cha kufanya uzuri bi mkubwa hakua mbali akanipa msaada toka kipindi iko na utundu nikaacha...
uliacha utundu kushamba sana
 
Wanangu wanajua yaani Kuna jicho nikieaangalia tu wanajua hapa mama anamaanisha nini.. Namshukuru Mungu nimeinjoi malezi bila kutiana hasara wala kupata majeruhi kwa watoto na we are best friends
Wewe kama mimi kabisa, nashangaa eti mtoto anafanya ujinga mzazi unaishia kucheka, kesho anatafuta tukio la kukufurahisha tena kwani ni mtoto gani hapendi mzazi wake afurahi
 
Wanangu wanajua yaani Kuna jicho nikieaangalia tu wanajua hapa mama anamaanisha nini.. Namshukuru Mungu nimeinjoi malezi bila kutiana hasara wala kupata majeruhi kwa watoto na we are best friends
Safi
 
Back
Top Bottom