Habari zenu Wakuu,
Kuna sehemu nimeona kuna mdada anamwambia mwenzake kuwa,
Nanukuu"Hata usipozaa kabla ya ndoa unaweza ukaolewa, ukazaa halafu mwisho wa siku ukaachwa na ukawa single mother kama mimi" mwisho wa kunukuu.
Nahisi yule Dada alikuwa anamshawishi mwenzake azalie nyumbani kama yeye (UJINGA).
Dada zangu ni kweli unaweza kuwa single Mother hata kama utajitunza especially ukikutana na Mwanaume mwenye matatizo, lakini hauwezi kuwa sawa na single mother waliozalia nyumbani hata siku moja (NEVER).
Faida za kuzalia kwenye ndoa ni hizi zifuatazo,
1) Unakuwa na heshima binafsi.
-Watu watakupa heshima, na hata mume wako atakuheshimu tofauti na hao waliozalia nje. Ukiachika utakuwa na haki za Ndoa na utainjoi tofauti na hao wengine.
2) Unawapa heshima wazazi/Walezi wako.
-Wazazi wako watajiona wamelea vizuri Mtoto wao hata kama ndoa ikivunjika, maana umeleta mjukuu ndani ya ndoa tofauti na ungezalia nje.
3) Wazazi wako hawatokuwa wagumu kuishi nawewe nyumbani
-Wazazi hawatokukimbiza kwasababu hauna kosa especially kama Mwanaume ndio mkosefu, tofauti hao single mother wengine ambao wamewapa aibu wazazi wao. Kuna single mother waliozalia nje wametolewa nduki kwao na wameambiwa abadani wasirudi.
NB. WANAUME TUNAOA WANAWAKE TUNAOWAPENDA TU, KWAHYO NAFASI YA KUDUMU BILA YA TALAKA NI KUBWA UKIZALIA NDANI YA NDOA.