Mnaotaka wanaume wa maana, nanyi ni wanawake wa maana?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,415
9,805
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa huwa wanamaanisha mwanaume mwenye hali nzuri sana kiuchumi na zaidi ya yote awe mhongaji mzuri.

Swali langu kwa wakina dada mnaotaka wanaume wa maana je na nyie ni wanawake wa maana? Chukua vigezo vyote ambavyo umevi-categorized kama vigezo vya mwanaume wa maana halafu viamishie kwako je ivyo vigezo na wewe unavyo? Kwa mujibu wako kama mwanaume wa maana ni mwenye uhuru wa kifedha, je na wewe una uhuru wa kifedha? Kama ni tajiri, je na wewe ni tajiri? Kama ni mwenye gari, je ilo gari na wewe unalo? Kama ni mwenye kazi nzuri je na wewe una kazi nzuri?

Kausha damu msitumie hii kauli ya "mwanaume wa maana" kuhalalisha ukahaba na udangaji wenu. Ukitaka mwanaume wa maana make sure na wewe ni mwanamke wa maana. Your private parties are not tradable commodities if you use your private parties as medium to get money or escaping route of your financial responsibilities whether directly (on roads, night clubs, social media e.t.c) or indirectly ( through your relationships) you are a prostitute.

My sister date with your class.
 
Alafu mkuu ukimaliza kuwauliza na kuwaasa wadada hebu na wewe jiulize ungekuwa ni mwanamke ungechagua bwana mwenye hela au masikini.

Ujue unawaonea bure tu wadada, mbele ya macho ya mwanamke mwanaume yoyote aliye na uume wako Sawa, sasa je kati ya mwenye hela na kapuku wewe ungechagua yupi ikiwa wote wana uume na wanaweza kukupenda?

Ila usifananishe na uhusiano uliokuwepo ila baada ya mwanaume kuyumba kiuchumi bidada kaanza zengwe, hiyo ni tofauti ila kama wanaume masikini na tajiri wote fresh kabisa kwa bidada na wanamtongoza Acha tu achague tajiri.
 
Alafu mkuu ukimaliza kuwauliza na kuwaasa wadada hebu na wewe jiulize ungekuwa ni mwanamke ungechagua bwana mwenye hela au masikini.

Ujue unawaonea bure tu wadada, mbele ya macho ya mwanamke mwanaume yoyote aliye na uume wako Sawa, sasa je kati ya mwenye hela na kapuku wewe ungechagua yupi ikiwa wote wana uume na wanaweza kukupenda?
Nakazia
 
you can have cash na bado usiwe wa 'maana' ewe mtoa mada..!!
Ingekuwa ndiyo hivyo those guys with papers wasingepata changamoto za mahusiano vile vile..!!
Mtoa mada sijui ni kiumbe wa aina gani? Anavuruga mambo kama hatumii ubongo 😆
Akija kureply ni anapanic, mara akuite malaya mara kausha damu mdangaji, mwaka mpya huu basi hata yaje matusi mapya.

Ila kuna watu wa jf ni wa kuchapa fimbo
Kama mtoa mada.
 
Flip the coin and utakuta pia upande wa pili wanaume nao wana vigezo vyao. Siku hizi utasikia kama mwanamke hana chura hana soko. So ume angalia upande mmoja tu. Kiujumla tatizo hili la vigezo vingi ni la wote.

Ila mimi naona tu kila mtu afanye kile anachoweza.

Being free to choose is regarded as a fundamental indicator of economic well being and development.
 
Mtoa mada sijui ni kiumbe wa aina gani? Anavuruga mambo kama hatumii ubongo 😆
Akija kureply ni anapanic, mara akuite malaya mara kausha damu mdangaji, mwaka mpya huu basi hata yaje matusi mapya.

Ila kuna watu wa jf ni wa kuchapa fimbo
Kama mtoa mada.
Never argue with 'some' people, they will drag you down to their level and then beat you with experience..!!
 
Back
Top Bottom