Pale Mwanamke anaposema ‘Nina boyfriend’

sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku moja

Shared experience.
 
Huu ujumbe ni Mzuri na ni msaada kwa Mabinti Wanaojitambua.

Eti "Sorry I'm dating someone"

Wakwako ni yule aliyejitambulisha na kutoa mahari vinginevyo msijihakikishie kwa 100%

Shauri yenu.
 
sema na wanawake tunajua kujirahisi sana .mtu unahamia kabisa kwa mwanaume unapika unapakua na kugeuzwa usiku kucha hujatolewa hata advance ya mahari hata mkopo .me siendi kwa mtu hata siku moja
Umeona...eeh!
 
ahaaaa mwanaume atambulishwi mi napitaga kimyakimya kama kobe.hata home utaishia mtaa wa tatu huko .
Hua sipati picha kabisaa,mara unasikia baby i need to see ur mom! akaaa mie sikumjua mkwe wala shemeji mpaka wamekuja kutoa posa kwetu na mamake nilikua namuona akija home kuongelea issue ya Harusi nnavyo wakimbia
sijui nilikua nawaonaje,hata ile nikiwa naongea nae kwenye cm akiwa yuko na bro wake anasema say hi to my bro namwambia baadae tukishamaliza mimi na wewe,lakini wenzetu ndio kujipendekezaaaaaa mpaka basi kwa ma wifi na kwa mashemeji mie big NO..
 
  • Thanks
Reactions: SDG

halafu wanaume wa siku hizi wanavopenda raha anataka aje alalle kwako akugegede ,ale bure,aoge bure ajisaidie tena haja kubwa mara mbili aondoke
 
yani kama kuna jambo baya nikumualika mwanamme kwako na a real man atakuita hotel,ivi unaingizaje mwanamme ndani kwako wala hajaoa? au huyo mwanamme angekua na akili ajiulize kabla yako wewe alilalia nani kitanda kile? mie sijui nikoje kuna vitu vyengine moyo wangu hauchukui...lol..
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ujumbe umefika muda huo Analazimisha ndoa mbwembwe nyingi Akija kujua keshachafuliwa na kuachwa ndo anaanza kuja na status, I was born alone I"ll die alone,,, I'm a strong woman.haaaa,haaaa kweli aisee Waache haya mambo usimtangaze na kumuamini sana MTU toa nafas ya kuwasikiliza na wengine kikubwa uwe Na ujasiri 2 wa kujisimamia kwani ukimpa MTU hata nafas ya kutoka nae dinner ataenda kukubaka??
 
wamekaa sana kihuni wanaume wengi .yaani mwanaume real huwa hajifichi hawa vibaka wa papuchi ni majanga .usipokuwa makini utaishi kama shetani .mwanaume mzima na akili yake ataendaje kulala kwa mdada?
 
Thats Why I Buy Pu55y. All Women Are Either Taken Or (Not Ready To Be With A Man Atm). Thots,Freaks,Hoes,Swingers Are Always Available. Just A Text Or A Call Away.
Long Live Pimping!!
 
Ujumbe umefika muda huo Analazimisha ndoa mbwembwe nyingi Akija kujua keshachafuliwa na kuachwa ndo anaanza kuja na status, I was born alone I"ll die alone,,, I'm a strong woman.haaaa,haaaa kweli aisee Waache haya mambo usimtangaze na kumuamini sana MTU toa nafas ya kuwasikiliza na wengine kikubwa uwe Na ujasiri 2 wa kujisimamia kwani ukimpa MTU hata nafas ya kutoka nae dinner ataenda kukubaka??
watoa diiner wapo wapi mamy? mtu anakuita dinner chumbani hawataki hata mkae muongee ni ngono tu hawa viumbe shame on them .ukijisahau tu ushakuwa single mama
 
Dinner ya chumbani duuuuhh hiyo hapana, halafu naona thread nyingi sana humu mwaka huu kuwahusu Single mothers sijui wamewakosea nini hata
 
Back
Top Bottom