Ndio wana undugu kwa sababu wote ni jamii ya PAKA. Na wanaishi misituni:Cry::Cry:
Sa siungewaPM uwaulize si una2uuliza 2tajuaje.
Ha ha haaaaa!
Nawasikiliza!...Jaribuni kuhisihisi wee, then mwishoni tutajitokeza na huyu jamaangu Pakamweusi!
Paka Jimmy pacha wa kwanza Paka mweusi pacha wa pili.... ( kurwa na Doto) lol