Paka mweusi na pakajimmy

1.WOTE NI NYAU.
2.WOTE WANAUPENDA UPAKA.
3.HATA HIVYO SI NDUGU WANA TABIA TOFAUTI.
4.MMOJA INAELEKEA HAJATULIA,NI MBIO MASAA YOTE YAWEZEKANA ANATAFUTA PANYA AU KAKURUPUSHWA AKIIBA VYA WATU.
5.MWINGINE NI PAKA ADVANCED KIDOGO, HATA KUTUMIA COMPUTER ANAJUA.
6.MMOJA ANAAMINIKA KUISHI KASKAZINI MWA TZ.
7.MWINGINE mmmh sijui eneo gani?????
8.WOTE YAELEKEA,WAJANJA, WEREVU NA WAKICHOKOZWA WANAWEZA KUKURUDI KWA KUTUMIA MAKUCHA YAO.
 
Habari zenu mapaka?
Namuomba paka mmoja nimfuge.




Afadhali nimeiona hii post kabla ya Paka jimmy,mama mi nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,nifuge tu mimi na naomba ufute hiyo post yako ili mwenzangu asiione kuondoa competition.
 
Jamani naomba kuuliza hapa JF kua kuna watu wawili majina yao yanashabihiana! Hivi huyu Paka Mweusi na PakaJimmy je wanaundugu wowote? Asanteni sana kama mtanifanyia huu uvumbuzi kuhusu hawa The Greaty Thinkers.:thinking:

Ni watoto wa mama mmoja ila baba mbalimbali. mmoja baba yake ni Jimmy, na mwingine ni Mweusi
 
Afadhali nimeiona hii post kabla ya Paka jimmy,mama mi nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,nifuge tu mimi na naomba ufute hiyo post yako ili mwenzangu asiione kuondoa competition.

sasa, mi nataka qualified candindate kwa hiyo competition lazima iwepo.
Ngoja paka mwenzio aje. Wewe mweusi, yeye sijui wa kijani au njano?
 
Back
Top Bottom