Zile keki na Juice za mapera hukunywa?Kwa tako sijapaona nimekula Ice cream pale sana nikiwa mtoto. I wish pia kuiona Tosamaganga kwasasa inafananaje. Huu mkoa nina historia nao sana. Nimesoma na kuishi Iringa. Ahsante Mkuu, vipi na mmea mnalima?
Kwenye rangi kuna kaukweli kiasi, ila mengine baki nayoWanawake wa iringa weusii halafu Wana maumbo kama wanawake wa kihindi..Wana roho mbaya japo huwa wapo bright sana...
Sisi wa Nonde na mikoa migeni wapi na wapi?Ntyuka Dodoma mkuu!
Thanks, still need Anyone to give more details please!Ukiwa na 4 au 3.5 unapata katika maenro ya kitasengwa dk 15 toka katikati ya mji kwa bajaji
Pia mji una hali bora sana ya usafi nadhani Iringa. Cbd ndio mji msafi kuliko yote TanzaniaImebarikiwa kwa upande wa hali ya hewa na udongo unayo- support kilimo cha mazao mbali mbali lakini pia uwepo wa misitu mikubwa kama sao hills inapelekea mkoa kuwa na mvua zisizo sua sua ,, so ukiangalia hivi ndiyo watu huvitafsiri kama baraka
Finished. It is in the stomach 😄Mbna sion mbwa
Kuna maisha rahisi sana huko...nyumba rahisi za tofali za kuchoma.Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa..
Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa Iringa ,, mkoa ambao unapatikana nyanda za juu kusini mwa nchi ya Tanzania ..
Mkoa ambao unasifika kwa kuwa na sifa mbali mbali kama vile mkoa wenye barisi kali ,, mkoa unaosifika kwa kilimo cha mahindi ,, mkoa wenye vivutio vingi vya utalii kwa upande wa nyanda za juu kusuni ,, mkoa anaotokea shujaa mkwawa shujaa pekee aliyeweza kuwatandika wazungu ,, mkoa wenye watu wakarimu na wachapa kazi ,, mkoa wa watu wasafii na nk.
Sasa basi sifuatazo ni picha mbali mbali za mkoa huu ambazo kwa namna moja au nyingine naamini zitaweza kukupa mwanga au ufahamu fulani juu ya mkoa huu ..
Picha ya 1: iringa C.B.D
View attachment 3313156
Picha ya kwanza ikionesha iringa CBD ,, kushoto msikiti wa ijumaa ukiwa katika ujenzi chini ya campany ya Asasi,, kulia ni barabara inayokupeleka moja kwa moja stendi ya miyomboni ,, sehemu ya mbele kabisa ni barabara kuu ya Iringa - Dodoma
Na nyuma kabisa ni milima iliyoko katika mitaa mbali mbali ya iringa mjini
Picha ya 2, MAENEO YA MSHINDO
View attachment 3313159
Picha hii inaonesha kanisa maarufu sana mjini iringa kanisa la mshindo catholic ,, moja ya miongoni mwa makanisa makongwe kabisa nchini Tanzania ,, inasadikika kanisa hili lilianzishwa miaka ya 1920's
Picha ya 3 : KANISA LA MSHINDO
View attachment 3313165
Kanisa hili ni miongoni mwa icon ya mkoa huu wa iringa
Picha 4: iringa Zebra
View attachment 3313166
Hapa ni iringa zebra ,, hapa ni katikati kabisa ya mji huu wa iringa ,, kushoto ni jengo la Tanesco iringa ,, ghorofa hii ya rangi ya njano ni voda shop na barabara uionayo hapo ni barabara kuu Iringa - Dodoma
Na hiyo ghorofa rangi nyeupe iliopo upande wa kulia ni kalenga hotel
Picha 5: iringa CBDView attachment 3313170
Picha ikionesha Maeneo mbalimbali ya iringa cbd kama vile , Maeneo ya Mr , total na miyomboni
Picha 6: picha iliyopigwa kwa drone View attachment 3313173
Pichi cha hii iliyopigwa kwa drone ikionesha sehemu mbali mbali za iringa mjini , ikifocus zaidi maeneo ya chuo cha rucu ( ghorofa zenye rangi ya kijani upande wa kulia ) pamoja na barabara kuu iringa - dodoma na sehemu ya nyuma ya picha ni katikati ya mji wa iringa
picha 7 : kanisa la mshindo iringa View attachment 3313188
Waweza soma maelezo kwenye picha namba 2
Picha namba 8:View attachment 3313189
Maeneo ya mshindo iringa
Picha ya 9 iringa manicipal
View attachment 3313209
Picha hii inaonesha maeneo ya iringa manicipal ,, sehemu ambayo ofisi mbali mbali za mkoa zinapatikana
Picha ya : Iringa N.m.c
View attachment 3313212
Picha hii inaonesha ghala la iringa nation milling company ,, miongoni mwa maghala machache sana yaliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuhifadhia unga wa mahindi ,,, mikoa mingine ambayo unaweza pia kuyaona maghala ya namna hii ni pamoja na Arusha .. lakini kwenye baadhi ya mikoa kama tanga hasa kwenye viwanda vya cement ,, hutumika kuifadhia cement
Picha ya : Mufindi iringa
View attachment 3313192
Eneo hili lipo mafinga ,, wilaya moja wapo ya iringa ,, itakuchukua takribani masaa matano kutoka iringa mjini kufika mafundi ,,, ndiyo sehemu ambayo kilimo cha chai na ngano( japo kwa kiwango kidogo ) kinafanyika ,, ukiachilia mbali hali ya baridi iliyopo eneo hili ni miongoni mwa maeneo yenye mandhari nzuri sana ..
Lakini pia ningependa kuwakaribisha wadàu wengine wenye picha nyingine za mkoa huu waweze kuzipost humu ,, ili
tuweze kuufahamu zaidi mkoa huu hasa kwa wale ambao
hawajawahi kabisa kufika Iringa .
Asanteni
"Cha mafinga" kinapatikana wapi?Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa..

Labda vermont ya rau madukaniMno yani sema pesa iwepo , maisha ya huko na vermont hayana tofauti kubwa.
Ukipiga Bangi na kula mbwa lazima udumae tuIringa ........hivi watu wafupi vile ndio nature yao au kuna tatizo lilipita??
Mkuu vipi waganga wa huko?Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa..
Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa Iringa ,, mkoa ambao unapatikana nyanda za juu kusini mwa nchi ya Tanzania ..
Mkoa ambao unasifika kwa kuwa na sifa mbali mbali kama vile mkoa wenye barisi kali ,, mkoa unaosifika kwa kilimo cha mahindi ,, mkoa wenye vivutio vingi vya utalii kwa upande wa nyanda za juu kusuni ,, mkoa anaotokea shujaa mkwawa shujaa pekee aliyeweza kuwatandika wazungu ,, mkoa wenye watu wakarimu na wachapa kazi ,, mkoa wa watu wasafii na nk.
Sasa basi sifuatazo ni picha mbali mbali za mkoa huu ambazo kwa namna moja au nyingine naamini zitaweza kukupa mwanga au ufahamu fulani juu ya mkoa huu ..
Picha ya 1: iringa C.B.D
View attachment 3313156
Picha ya kwanza ikionesha iringa CBD ,, kushoto msikiti wa ijumaa ukiwa katika ujenzi chini ya campany ya Asasi,, kulia ni barabara inayokupeleka moja kwa moja stendi ya miyomboni ,, sehemu ya mbele kabisa ni barabara kuu ya Iringa - Dodoma
Na nyuma kabisa ni milima iliyoko katika mitaa mbali mbali ya iringa mjini
Picha ya 2, MAENEO YA MSHINDO
View attachment 3313159
Picha hii inaonesha kanisa maarufu sana mjini iringa kanisa la mshindo catholic ,, moja ya miongoni mwa makanisa makongwe kabisa nchini Tanzania ,, inasadikika kanisa hili lilianzishwa miaka ya 1920's
Picha ya 3 : KANISA LA MSHINDO
View attachment 3313165
Kanisa hili ni miongoni mwa icon ya mkoa huu wa iringa
Picha 4: iringa Zebra
View attachment 3313166
Hapa ni iringa zebra ,, hapa ni katikati kabisa ya mji huu wa iringa ,, kushoto ni jengo la Tanesco iringa ,, ghorofa hii ya rangi ya njano ni voda shop na barabara uionayo hapo ni barabara kuu Iringa - Dodoma
Na hiyo ghorofa rangi nyeupe iliopo upande wa kulia ni kalenga hotel
Picha 5: iringa CBDView attachment 3313170
Picha ikionesha Maeneo mbalimbali ya iringa cbd kama vile , Maeneo ya Mr , total na miyomboni
Picha 6: picha iliyopigwa kwa drone View attachment 3313173
Pichi cha hii iliyopigwa kwa drone ikionesha sehemu mbali mbali za iringa mjini , ikifocus zaidi maeneo ya chuo cha rucu ( ghorofa zenye rangi ya kijani upande wa kulia ) pamoja na barabara kuu iringa - dodoma na sehemu ya nyuma ya picha ni katikati ya mji wa iringa
picha 7 : kanisa la mshindo iringa View attachment 3313188
Waweza soma maelezo kwenye picha namba 2
Picha namba 8:View attachment 3313189
Maeneo ya mshindo iringa
Picha ya 9 iringa manicipal
View attachment 3313209
Picha hii inaonesha maeneo ya iringa manicipal ,, sehemu ambayo ofisi mbali mbali za mkoa zinapatikana
Picha ya : Iringa N.m.c
View attachment 3313212
Picha hii inaonesha ghala la iringa nation milling company ,, miongoni mwa maghala machache sana yaliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuhifadhia unga wa mahindi ,,, mikoa mingine ambayo unaweza pia kuyaona maghala ya namna hii ni pamoja na Arusha .. lakini kwenye baadhi ya mikoa kama tanga hasa kwenye viwanda vya cement ,, hutumika kuifadhia cement
Picha ya : Mufindi iringa
View attachment 3313192
Eneo hili lipo mafinga ,, wilaya moja wapo ya iringa ,, itakuchukua takribani masaa matano kutoka iringa mjini kufika mafundi ,,, ndiyo sehemu ambayo kilimo cha chai na ngano( japo kwa kiwango kidogo ) kinafanyika ,, ukiachilia mbali hali ya baridi iliyopo eneo hili ni miongoni mwa maeneo yenye mandhari nzuri sana ..
Lakini pia ningependa kuwakaribisha wadàu wengine wenye picha nyingine za mkoa huu waweze kuzipost humu ,, ili
tuweze kuufahamu zaidi mkoa huu hasa kwa wale ambao
hawajawahi kabisa kufika Iringa .
Asanteni
Hali ya hewa ni baridi sana ,, kwani kadri unavyoiacha iringa mjini kuelekea kilolo mwinuko wake huongezeka na kufanya wilaya ya kilolo kuwa na baridi zaidi ukilinganisha na iringa mjiniNatamani kupajua vizuri Kilolo. Hali ya hewa, shughuli za uchumi na mzunguko wa pesa
Kigonzile huwezi kupakumbuka Tena ht kiwanja hupati🤣Dah!Kumbe ni sehemu poa sana.
NB;Sijaona sehemu zangu za zamani.Kihodombi,Gungandembwe/Kigonzile,Kitakita msikitini,Isoka,Ipogolo kwa Mwagongo/Mlimani park/Panyaroads/Kitindini au Mkimbizi kwa Wachina,Mwang'ingo,Transforma na Mkwawa/Makanyagio bila kupasahau Kitwiru Kaloleni na kwa Nzigilwa.
Pia omba msaada kwa akina sie ili mambo yaende sawa. Kilolo ni kubwa na tamu sana. Kuazia Bomalang'ombe, kidabaga, lulanzi,kitowo, pomerini, njoo iringa yenyewe. Pawaga, kidamali, magubike. Kalenga, Ifunda, kiponzero,. Malangali, Nkororo, Kate huko kuna hela siyo mchezo. Ndala inguluvi ya tumatite lunofu. Kamwene iringa yoteHali ya hewa ni baridi sana ,, kwani kadri unavyoiacha iringa mjini kuelekea kilolo mwinuko wake huongezeka na kufanya wilaya ya kilolo kuwa na baridi zaidi ukilinganisha na iringa mjini
Shughuli kuu kwa kilolo ni kilimo ,, kilolo wanafanya kilimo cha miti kama vile pine kwa ajili ya mbao , gyms kwa ajili ya mbao na nguzo za umeme , milunda kwa ajili ya kusupport issue za ujenzi kama vile kutengenezea majukwaa na nk
Kilimo cha mazao , kama vile mahindi na maharage pia vinafanyika kwa wingi katika wilaya ya kilolo .
Pia Unaweza fanya kilimo cha matunda kama vile apples , pindigesi na mapeasi kwani hali ya hewa ya ubaridi ni very favourable kwa aina hizo za matunda .
Lakini pia shughuli za ufugaji pia zina fanyika kwa kiwango kikubwa tu ndani ya wilaya ya kilolo ,, kuna ufugaji wa ng'ombe wa maziwa mbuzi , kondoo na nk
Muzunguko wa pesa ni mzuri kwa kiasi chake ukichangizwa na biashara ya mbao iliyotamadadi kuanzia wilaya ya kilolo kuelekea ndani ndani mpaka kidabaga ,, kwani biashara ya mbao imekuwa ikiwavuta wafanya biashara wengi wanaofanya shughuli za ulanguzi wa mbao toka pande mbali mbali za nchi na kuchochea mzunguko wa pesa ndani ya kilolo lakini pia biashara mahindi , maharage na usafirishaji ni miongoni mwa biashara zinazochochea mzunguko wa pesa kuwa mkubwa ndani ya kilolo .
Asante natumaini nimejibu kwa namna fulani swali lako