Ni mji wenye hadhi ya Manispaa,wakuu msaada hivi iringa ni jiji au kiijiji kikubwa?
Ni Manispaa inayoongoza kwa usafi Tanzania, baada ya kuipiku Moshi
Ni mji wenye hadhi ya Manispaa,wakuu msaada hivi iringa ni jiji au kiijiji kikubwa?
Bongo hii ukitoa majiji mji gani wewe binafsi unaona ni mzuri?Kubaya
Tosamaganga umeishi au umesoma? Mimi nimesoma lupalama a primary. Nilikua nakaa bweni tosamaganga boys home. Ninazo picha za maeneo yale. Tuliokuwa bweni boys home na waliomaliza kule juu lyalamo primary huwa tunajikusanya tunaendaga kuwatembelea madogo kila tunapopata nafasiKwa tako sijapaona nimekula Ice cream pale sana nikiwa mtoto. I wish pia kuiona Tosamaganga kwasasa inafananaje. Huu mkoa nina historia nao sana. Nimesoma na kuishi Iringa. Ahsante Mkuu, vipi na mmea mnalima?
Kama ni mtu wa bata na ushazoea pilika pilika za dar kule iringa sio sehemu ya kuishi. Eneo la mjini ni dogo viwanja ni vichache halafu ni ijumaa tu ndio huwa club panachangamka.Viwanja na Bar kali huo mji hamna au
Carfonia na secreto unapajua? Back days nishafanya sana balaa paleKihesa ipogoro Bado sijaona,
Mkuu matangazo ya utalii hayo, hata kigoma utaambiwa imebarikiwa. Nenda sasa, hakuna kitu.wanasema iringa imebarikiwa ningependa kuona hizo baraka hata tatu tu itakuwa imekata kiu changu!