Unapendelea kuinjoi vitu gani?Nimeenda sana Iringa lakini sijawahi kupaelewa... Yaani afadhari hata Mbeya na Njombe nilienjoy...
Wameliwa wote.Mbna sion mbwa
Bar kali na Lodge kali na watoto wazuri. Yaani Iringa ipo kama mshare. Ukitoka kule tunakoingilia round about ni kunyosha hadi juu njia ya Iringa hakuna varieties za ndanindani..Unapendelea kuinjoi vitu gani?
Huna hela za kutosha au huna tour guide mwema.Bar kali na Lodge kali na watoto wazuri. Yaani Iringa ipo kama mshare. Ukitoka kule tunakoingilia round about ni kunyosha hadi juu njia ya Iringa hakuna varieties za ndanindani..
Mkuu punguza kusema ukweli huyo ni mwenetu ujue🤔Huna hela za kutosha au huna tour guide mwema.
Na hakuna haja ya BRT ushenzi hiyo kkla siku mnaminyana kama watumwa huko kimara 😂Hatuna BRT kwa kweli
Umesoma shule gani iringa. Mwaka gani?Kwa tako sijapaona nimekula Ice cream pale sana nikiwa mtoto. I wish pia kuiona Tosamaganga kwasasa inafananaje. Huu mkoa nina historia nao sana. Nimesoma na kuishi Iringa. Ahsante Mkuu, vipi na mmea mnalima?
NI kama hamna. Zipo za kawaida sana.Viwanja na Bar kali huo mji hamna au
Ungetetea hoja yako kimashiko. Njombe ukifika kuna hotel na Lodge kali sana na zipo sehemu nyingi na Bar kali sana. The same Mbeya. Unapelekwa sehemu unaambiwa hotel bei ya chini 80k unaenjoy. Lakini sio Iringa. Sana sana utaambiwa kuna kitimoti bora na bei chee CCM...Huna hela za kutosha au huna tour guide mwema.