ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,961
- 40,069
can you make it in English language please my lady, ex quiz me π€£Huu utakuwa uzi wa kumbukumbu zangu za kawaida ambazo si rahisi kupotea
Hii itakuwa diary yangu humu JamiiForums
Simu inaweza kupotea, au vitu nilivyohifadhi vikafutika
Lakini humu kumbukumbu zitabaki
Hata kama maisha yatabadilika au mambo yakiharibika, diary hii itaendelea kuwepo kuhifadhi vipande vidogo vya maisha yangu
Hii ni diary yangu ndani ya JF
ShesRise_1 π
Tulia we mzee niacheπcan you make it in English language please my lady, ex quiz me π€£
hivi ndugu mtoa hoja,Tulia we mzee niacheπ
Ndio nilipohivi ndugu mtoa hoja,
ulieleza kwamba uko dar es salaam, Tanzania , right?π
Kila kitu kwako kinasikitishaInasikitisha sana
Asante nitaweka kama itaruhusuSo invested
Kwrnye hiyo diary usisahau vipicha
SawaUsisahau kuweka password za account zako
Sawa asante nitakutumiaVile sensitive utantumia pm nikuhifadhie.
SawaUsisahau kuweka na kumbukumbu za loji unazopelekwa kuanzia leo hii.
Sawa kakaDont forget kuweka siku ile isiyo sahaulika ya kuuvuka usichana
KwaniniBila picha hatutakukumbuka.