Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,971
- 42,217
Ni kweli. Lakini anatakiwa apatikane wa kuuharamisha.Ugonjwa huu uliasisiwa na utawala wa jiwe
Ni kweli. Lakini anatakiwa apatikane wa kuuharamisha.Ugonjwa huu uliasisiwa na utawala wa jiwe
Viongozi wa dini wanastahili kusimama katika, kukemea uovu wote, kutetea haki za wanaodhulumiwa. Wanatakiwa kuyafanya yote bila woga. Huo ni wajibu wao wa kiimani.Unafiki unaanza kwao
Akija wa kuwashikisha adsbu wanafunga midomo
Waendelee kuhubiri ya Mungu haya ya unafiki ni kila sehemu yapo na akija mbabe wanaufyata tena
Padri yupo sahihi...lakini kwa nini hakutuyasikia haya kipindi cha JPM,ilifika hatua hadi anapewa mic kanisani ahutubie.....huku wakina Pengo wakimtaka Makonda awe raisi wa awamu ya Sita.
Ni kweli Padri Kitima yupo sahihi,"Unafiki wa kisiasa unaondelea miongoni mwa watanzania,utaliangamiza taifa"
Yeye na Kanisa lake pia ni Wanafiki. Wakati wa Mwendazake ambaye ndiye mwanzilishi wa hii tabia hawakudiliki kusema kitu. Sana sana walimsifia.
Kwenye hili siliungi mkono Kanisa.
Well saidViongozi wa dini wanastahili kusimama katika, kukemea uovu wote, kutetea haki za wanaodhulumiwa. Wanatakiwa kuyafanya yote bila woga. Huo ni wajibu wao wa kiimani.
Kazi kubwa ya Padre ni kuendeleza kazi aliyoianzisha Kristo: Kristo ni:
Ni kiongozi mkuu
Ni mwalimu
Ni kuhani
Ni mpatanishi
Ni mtetezi
Ni mlinzi
Ni sadaka
Ni mwokozi
Katika haya, Padre hutakiwa kusimama imara bila kuyumba.
Kama umesahau, huyu kitima wakati magufuli akiwa madarakani alisema uchaguzi wa term yake ya pili ulikuwa ni uchafuzi si uchaguzi timamuNaona masheh wameamua Rasmi kupambana na warumi!!!
Vuguvugu lilianza pale masheh walipoamua kuwaaachia masheh waliotuhumiwa kwa ugaidi!!
Juzi mmoja kasema wazi Kuwa mapadri zaidi ya hamsini wameuawa Lakini VYOMBO vya habari havitangazi!
Leo kuna kesi kadhaa za ulawiti!!
Samiah mama YANGU nakuonya !!!Acha kupambana na Hawa WATU!we Tulia coz waliyemuamini akapewa kutawala aliharibu Sana!wanamaumivu walipoteza utawala pale mtu wao alipo itwa na MUNGU!Wana uchungu Sana!!!
Wakiamua huwezi washinda can masheh BADO hawajatengeneza Taasisi imara ya kutawala Dunia kama wao!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"
Haya yaliongekewa wakati wa mwendazakeAlikuwa wap enzi za mwendazake akat masifio yalifika Hadi juu ya kitu Cha enzi
Et mh Mungu pumbavu mwambie kitima atulie
Wakumbuke hata Yuda Ishariote licha ya kuteuliwa ya YESU mwenyewe, alienda kinyume na maadili kwa kushawishiwa na mwovu.Kwa sasa maadili ya kiimani yametoweka kwa dini zote.
Wakristu na waislam wote hawana tena huo utumishi wa kiimani.
Kila siku utasikia padre kawabaka waumini wake na kesho utasikia shehe kawarawiti wanachuo wake.
..hawakumgusa Jpm kwasababu ya kuogopa kupotezwa au kuuwawa.
..Maza akitaka kuheshimiwa sawa na mtangulizi wake aanze kwa kumlipua mwanaharakati mmoja. Wengine wote watakaa kimya.
Atapatikana wapi wakati ccm ndiyo wanao tawala?Ni kweli. Lakini anatakiwa apatikane wa kuuharamisha.
Kwa sasa hatuna viongozi wa dini wenye wito haswaaaWakumbuke hata Yuda Ishariote licha ya kuteuliwa ya YESU mwenyewe, alienda kinyume na maadili kwa kushawishiwa na mwovu.
Wapo ndugu yangu.Kwa sasa hatuna viongozi wa dini wenye wito haswaaa
Chawa kama chawa, mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwenye hoja hii.Mapadre fanyeni kazi ya Mungu.
Maoni yenu kwa sasa yamechafuka.
Yaani kitima kimechelewa mnooo,Padri yupo sahihi...lakini kwa nini hakutuyasikia haya kipindi cha JPM,ilifika hatua hadi anapewa mic kanisani ahutubie.....huku wakina Pengo wakimtaka Makonda awe raisi wa awamu ya Sita.
Ni kweli Padri Kitima yupo sahihi,"Unafiki wa kisiasa unaondelea miongoni mwa watanzania,utaliangamiza taifa"
Ataonaje naye ni chawa na danga ?Kwahiyo hujaona point kabisa kwenye hili andiko la padre?
Na.kuhusu huyu unasemaje?Mimi Ni mkristo lkn hii trend ya akiingia rais Muislam then RC na madhehebu mengine ya kikristo kujifanya yanamuwashia Moto sio fair.Enzi za JPM walitulia kimya na ujinga wote ule aliokua anafanya.
Pamoja na yote niliyosema lkn ujumbe wa Kitima Ni Valid.
Nipe mfano wa Kanisa Katoliki.Ukweli unabaki ukweli! Kama huliungi kanisa mkono ni sawa umetumia haki yako ya msingi!
Wakati wa mwendazake, wako viongozi wa kanisa waliendelea kukemea serikali akiwemo Bagonza, Niwemugizi, Kitima, Emmaus Mwamakula na wengine! Wako vile vile waliotishwa na vishindo vile wakafyata mkia, na wako wanafiki pia!
Suala la Kusifia sifia liko pia ndani ya viongozi wa kanisa, haliko serikalini tu! Kwa hiyo statement ya Fr. Kitima inakata pande zote.
Nakazia mkuu,,,,nashukuru umeliona hiloMimi Ni mkristo lkn hii trend ya akiingia rais Muislam then RC na madhehebu mengine ya kikristo kujifanya yanamuwashia Moto sio fair.Enzi za JPM walitulia kimya na ujinga wote ule aliokua anafanya.
Pamoja na yote niliyosema lkn ujumbe wa Kitima Ni Valid.