Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Kuusema ukweli ni kuingilia ya "Kaisari?"?Hivi ni kweli huielewi hali ilivyo kwa waliowengi wanateseka kwa umaskini au unajitoa ufahamu? kweli anyebeba hela kwenye rumbesa wakati waliowengi wanakimbizana na matonge ya ugali unamtaka akuongoze kukupeleka wapi..Rejao jinsi wewe na wenzio mnavyochukulia mambo mnaitumbukiza nchi katika vita
Likiwa la CCM ndio la kweli... La upinzani siyo la ukweli. Ulishawahi kumsikia huyu padre akiongea vibaya kuhusu upinzani?
Atakayeitumbukiza hii nchi kwenye vita ni huyu padre kwa uchochezi wake na wala si akina rejao
 
Huyo jamaa namfahamu tangu miaka ya 90 siyo mnafiki!

Hakika, mapunda si mnafiki hata robo, na ni mfano Wa viongozi Wa dini wanavyotakiwa kuwa. Useme kweli hata kama upo na mhusika.
 
Padre Baptis Mapunda yupo vizuri sana katika kuwaelimisha kondoo wake wasije wakachagua udhalimu na kutia doa wokovu wao kwa kushiriki kuchagua wauaji, watesaji, wapigaji, wadhulumaji, washenzi, mafisadi, maabidu
 
Nakushangaa sana unapofananisha soccer which is a social issue na katiba ambayo ni issue za kisheria zenye politics ndani yake. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na mwitikio wake ni tofauti kabisa.

Huyu padre inabidi akome na kuichambua biblia cuz guidance ya kazi zake za kila siku ni biblia na siyo katiba. Nimekwisha eleza huko juu kuwa anachofanya huyu fadha ni siasa za kipinzani na siyo mahubiri ya kiroho. Muda mwingi anautumia kuchambua siasa za Tanzania badala ya kuichambua biblia

Kwanamna ulivyochangia kutokana post yangu nimegundua nazungumza na mtu mwenye upeo gani. Hata mfano wango wa soka umeshindwa kujua nimeutumia kupima nini.

Ajabu lingine nililoliona kwako, unasema eti katiba hamhusu padri. Siamini kama hujui katiba ni sheria mama ya nchi na kila mwananchi ni mdau katika hili. Hivi nyie viongozi wa ccm hamuoni watu wamekuwa waelewa na nyinyi mnapaswa kuupgrade kulingana na mahitaji ya wakati ya jamii!? Hivi bila aibu unaweza kusema padri katiba haimihusu kwa kuwa ni ya wanasiasa. You can't be serious. Ccm acheni utani, kama hawa watu mliowaweka jukwaani wanazidiwa na hoja kwanini akina EL,Membe, Nape, Wassira nk msije wenyewe!?
 
huyu padre huwa aogopi kitu na kazi ya viongozi wa dini kuikanya serikali inapokosea nawaomba watanzania kufuatilia mahubiri yake
 
Huwezi kumsifia mtu kwa kuachana na misingi ya kiapo chake cha upadre na kufanya mambo ambayo hayamuhusu. Siangalii kama kaisifia CCM au upinzani... Isssue ni kuwa anaingilia kazi isiyo yake.
Wote tunamfahamu kuwa huyu padre anatambulika kwa jina “padri mwanasiasa wa kambi ya upinzani nchini” amekwishawahi kupewa maonyo mbali mbali na viongozi wake ikiwa ni pamoja na kuzuiwa kufanya ibada lakin bado hakomi.Hapa mmnamshangilia lakin anajipalia mkaa wake mwenyewe. Akiendelea hivi ataishia pabaya




hivi wivu,choyo,uongo,wizi,uzinzi ni mambo ya kiimani au? soma biblia uwe huru , acha kusoma majarida ya..........
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari

Kaisari kama anaviolate yale ya Mungu kwa Maksudi na akakemewa na mtumish wa Mungu ni kosa?
 
Kama umewahi kumsikia huyu padri mahubiri yake sidhani kama ni agizo la Kanisa Katoliki, hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo. Huyu padre siku zote amekuwa akipandikiza kwa wananchi na waumini wake chuki, fitina na uchonganishi dhidi ya serikali yetu sikivu ili ajinufaishe yeye kisiasa.

We are all aware that huyu fadha role model wake ni padre wilbrod Slaa... Na sasa anaandaa mazingira ya kuingia kwenye ulingo wa siasa baada ya kuona upadre haulipi. Anaitumia vizuri sana forum ya ibada za jumapili kanisani kwake. Kwa hilo nampa hongera.



umelalama sana ebu pinga kwa vielelezo visivyo na shaka juu ya tuhuma za ccm
 
Huyu Padre aungwe mkono kwa sababu chini ya utawala wa CCM,Watanzania ni kama tupo Utumwani.Tuungane kuiondoa CCM Madarakani kwa ustawa wa maisha yetu na watoto wetu.
 
Likiwa la CCM ndio la kweli... La upinzani siyo la ukweli. Ulishawahi kumsikia huyu padre akiongea vibaya kuhusu upinzani?
Atakayeitumbukiza hii nchi kwenye vita ni huyu padre kwa uchochezi wake na wala si akina rejao



anauchochezi gani? heri ukweli wa wakati uliopo kuliko ukweli umalizao mda. kama unaumwa kichwa sema unaumwa kichwa na siyo kusema unaumwa mguu
 
Hawa mapadri ndiyo huwa wanaleta chokochoko za umwagaji damu kwenye nchi. Hivi yeye siasa inamuhusu nini? someni kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda hao hao ndiyo walikuwa wahusika wakuu.
 
Mzalendo sababu yupo Chadema?

Amemkemea na kilain! Kilain yuko sisiem? Kwenye ukwel funguka, hebu nikumbushe nii baya gan ambayo we unaweza kuikemea?
Hawaikemei sisiem ila hila zake, fanyeni kazi ambayo wananchi wamewapa
 
Mjinga sana huyu Padre,sasa si aseme tuchague chamagani!au tuchague chama cha padre mwenzake yule MZIZI slaa?MAPADRE na MAASKOFU wa RC walisababisha MAUWAJI ya KIMBARI kule RWANDA.tuwe makini.

Kama wewe co mzinzi kuwa wakwanza kumtukana hapa sasa hv, usiww unaropoka kama yuda escariote, na padrw ajampigia mtu kampeni umesikia amesema chagua chadema au cuf au nccr ? aliyekuloga ameshakufaga
 
Hawa mapadri ndiyo huwa wanaleta chokochoko za umwagaji damu kwenye nchi. Hivi yeye siasa inamuhusu nini? someni kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda hao hao ndiyo walikuwa wahusika wakuu.

Faidha kwa hili naenda kinyume na ww ,we nahisi kwenu nje kuna bendera ya ccm au kibao cha vijana wakereketwa, acha kushabikia dhambi ya kuwaweka madarakan watu wanaotesa watu, angalia juzi watu walivyopigwa, kuna video moja ukiangalia kama ww unaroho ndogo au yule aliyekuwa anapigwa na askari kumi ni ndugu yako ungezimia mtu anapigwa na askari kama vile wanaponda kuoukuchua mahindi. Mungu anaona tutakutana MAIN STREAM october cjui mtashangilia nani
 
Hawa mapadri ndiyo huwa wanaleta chokochoko za umwagaji damu kwenye nchi. Hivi yeye siasa inamuhusu nini? someni kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda hao hao ndiyo walikuwa wahusika wakuu.
Nikweli kabisa Ajuza hata alqueda Boko haramu na alshabaab makundi yote hayo ya kigaidi yanaongozwa na mapadri
 
Back
Top Bottom