Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Mpaka leo hii sina morali ya kwenda kanisani baada ya kilaini kuichukua hela ya escrow
 
I wish viongozi wengine wa Dini wangeiga mfano wa Padre Mapunda... Wapi Kilainisho?
 
Yes! Kwako ni Mwehu, kwetu ni katika viongozi wa dini wenye kujitambua! Nchi haikaliki haitawaliki kutokana na watu wachache sana kuendekeza Ufisadi na U-fascist wa kutumia vyombo vya dolla kuwatesa wanaharakati, wananchi wasiokuwa na hatia! Ponda anakosa gani hadi ateseke kiasi kile? Kile kiwanja cha Waislam kilichogeuzwa Dry Port ni halali? Ingekuwa ni RC ndo wameporwa kiwanja chao hali ingekuwaje? Dhulma dhidi ya Waislam, Wakristo na Wapagani zimezidi kutamalaki... CCM yafaa kuondolewa sasa ...
Hivi unadhani viongozi wa dini wote wangekuwa wehu kamu huyu padri babtista hii nchi ingekalika??
 
Yes! Kwako ni Mwehu, kwetu ni katika viongozi wa dini wenye kujitambua! Nchi haikaliki haitawaliki kutokana na watu wachache sana kuendekeza Ufisadi na U-fascist wa kutumia vyombo vya dolla kuwatesa wanaharakati, wananchi wasiokuwa na hatia! Ponda anakosa gani hadi ateseke kiasi kile? Kile kiwanja cha Waislam kilichogeuzwa Dry Port ni halali? Ingekuwa ni RC ndo wameporwa kiwanja chao hali ingekuwaje? Dhulma dhidi ya Waislam, Wakristo na Wapagani zimezidi kutamalaki... CCM yafaa kuondolewa sasa ...

Ndugu yangu rock spider, hizo changamoto ulizozitaja zipo sijakataa, ila nachukia mtu anapotumia dini au kabila kuwagawa wananchi , ni kitu hatari
 
HUYU HANA TOFAUTI KABISA NA WALE mapadri wa rwanda waliokuwa wanahamasisha MAUAJI YA HALAIKI kupitia makanisani.
frankly speaking.. huyu jamaa hata sura yake inamuwakilisha shetani. you can vividly see Satanin him. sasa ulimi wake ndio kabisa unathibitisha kile kinachoonekana katika sura yake.
uzuri wake ni kwamba UTAWALA ULIOKO MADARAKANI UNAMDHARAU HUYU PADRI SHETANI
SISI TUNAMDHARAU HUYU PADRI SHETANI
MIMI NAMDHARAU HUYU PADRI SHETANI
HATA MUNGU NA MBINGU ZINAMDHARAU HUYU KIZAZI CHA IBILISI
 
Safi sana Fr. Mapunda, Damu ya Yesu ikulinde na kukupa nguvu uzidi kukemea maovu.
 
mkuu uliutendea haki uzi huu............fikra chanya ndio huleta mapinduzi kwa muda mwafaka.
 
Back
Top Bottom