Huyu padri watakuja kusema c mtanzania!!
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Huyu Padre si angefuata mwenzake Slaa ijulikane moja.
-Kilaini alivyokuwa anampigia debeJK 2005 alikuwa anahubiri mambo ya Mungu au siasa?
yaani na wewe hapo ndiyo etc yako? mnaposema viongozi wawasaidie kuombea amani huwa mnatafuta amani gani?
Nyie Kanisani kwenu si mnafundishwa ufisadi kama viongozi wenu kina Askofu Kilaini mafisadi nyie wafuasi mtakuaje.hivi katika misikiti unafundishwa mambo ya roho na mwili au ni mambo ya ahera tu.
si kila anae amini katika kweli ,kuinena kweli na kuitenda kweli ni mfuasi wa vyama vya upinzani bali dhamira na utayari wa kuyahitaji maendeleo kwa watu wote
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Nyie Kanisani kwenu si mnafundishwa ufisadi kama viongozi wenu kina Askofu Kilaini mafisadi nyie wafuasi mtakuaje.
Hawataki ufisadi wala kichaka chenu yani ccm maana nijanga hilo delete mafisadi delete ccmMjinga sana huyu Padre,sasa si aseme tuchague chamagani!au tuchague chama cha padre mwenzake yule MZIZI slaa?MAPADRE na MAASKOFU wa RC walisababisha MAUWAJI ya KIMBARI kule RWANDA.tuwe makini.
Mzalendo sababu yupo Chadema?Huyu Padri ni Mzalendo kweli kweli na ninampenda sana kukumbuka alivyo kuja Dar niliweka bandiko lake
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari