The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,655
Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.
unataka akupore wewe! Punguza wivu bahat yako itakuja tu utampata mwanaume mzuri
Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.
Acha dhihaka na post zenye kukejeli imani za watu wengine. Nchi yetu imefikia kufanya maamuzi au kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zao na wala si weledi wa kazi husika. Hapa jukwaani mara nyingi unakuja kuitetea ccm huku ukitumia uislamu kama kinga kwa hoja za kipuuzi. Unaonekana hujui ama unafanya maksud kama hapa jf imekuwa sehemu ya kushinda viongozi wa siasa ambao sasa wamejikuta hawana uwezo wa kimaamuzi bali kutoa maamuzi na kuteua viongozi kwa mitazamo ya kidini. Leo hii mmefanya propaganda za kipuuzi kwa kutumia dini kama kinga mpaka kupelekea kufanya kwamba ccm ianze kuonekana ya kiislam na cdm ya kikristo. Upuuzi huo mnaoufanya hapa jukwaani umepelekea waislim kujiona hawatendewi haki na mfumo huu dhaifu mpaka wanajikuta wanadai mahakama ya kadhi, badala ya kupambana kuibana serekali iwapelekee waumini wao maji safi, umeme, elimu na afya bora inajitahidi serekali iwapatie mahakama ili washitakiane waache kudai huduma bora za kijamii. Sasa upuuzi wenu utawafanya waislamu wajivunie taasisi ya mashitaka kana kwamba waislam ni watu wasio na maadili huku ukiacha wakristu na wengineo wakikazana kuleta huduma muhimu za kijamii, kwani waisilamu watakuwa mahakamani kushitakiana.
Nikukanye kabisa, ukiingia hapa jukwaa la siasa changia kisiasa na sio kutumia uislamu kuharibu mada na kuleta fitina za kidini kwa maslahi ya kisiasa.
Ee MUNGU Wangu,naja Mbele Yako,natubu Dhambi Zangu Zote,nilipokea RUSHWA Ya PESA,PILAU,KITENGE,TISHETI Na MAKOFIA Nikachagua Chama Hiki,ambacho Sasa Kimenigeuka,kimefisadi Kila Mahali,nikiuza Bidhaa Kariakoo,makoroboi Navamiwa Na Mgambo Wanachukua Bidhaa Zng,nikawa Mama Ntilie Mgambo Wakataifisha Pilau Langu Wakapeleka Majumbani Kwao, Nikawa Bodaboda Nikakamatwa Kwa Kuingia Mjini Faini Laki 1,Nimehamia Kijijini Kujaribu Bahati,nikafanikiwa Kuwa Na Ng'ombe 1.Wakaja Mgambo Wakamchukua Kisa Sijachangia Ujenzi Wa Maabara!Wao Na ESCROW Yao Hawajawahi Kutangaza Wametoa Ngapi Kwenye Mishahara Yao Kuchangia Ujenzi Wa Maabara? Mtoto Wangu Nyarugusu Kafaulu Kwenda Chuo, Kakosa Mkopo, Mtoto Wa Mbunge Wangu Ambae Pia Ni Waziri AMEBAHATIKA Amepata Mkopo Wa 100%.EWE MUNGU Sikia Tubio Langu Hili,naomba Ukafanye Miujiza Yako 2015,Kila Fisadi Ukamtetemeshe Na Asiweze Kupita Kuwa Rais.Naomba Ukawaangazie Na Wenzangu Ambao Hawajaona Udharimu Huu.Angalia BIMA YA AFYA TUNAVYONYONYWA HAKUNA WA KUKE
amen asante kwa kitubio murua natumaini dua hii itasikika na kuwaeleweka sitarudia makosa mwezi 10.
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Kwani na wewe ulisharudiana na mumeo baada ya kupora mume wa mtu?
Huyu padri namfahamu vizuri toka miaka ya mwanzo ya 2000 huwa anaongea ukweli bila kupepesa macho,yaani nyeusi anasema nyeusi na nyeupe anasema nyeupe,anasemaga kweli na siku zote kweli humweka mtu huru.
Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.
CCM bana,mtu akiwakosoa au kuwaambia ukweli wananchi anaitwa mchochezi na mvunja amani ya nchi.Ila rais na mwenyekiti wenu anapotetea wezi na wakati huo huo akifukuza mawaziri wake na kubagua watanzania hadharani(aliyepokea milioni 40 yupo mahakamani,aliyepokea bilioni yupo uraiani)anadumisha amani na mshikamano wa Taifa letu.Likiwa la CCM ndio la kweli... La upinzani siyo la ukweli. Ulishawahi kumsikia huyu padre akiongea vibaya kuhusu upinzani?
Atakayeitumbukiza hii nchi kwenye vita ni huyu padre kwa uchochezi wake na wala si akina rejao