samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,262
Waislamu siku nyingi saana wamekuwa wakiipinga CCM misikitini na kwenye mihadhara mkasema wanachanganya dini na siasa au mmesahau jamani... Kama tungewaunga mkono waislamu kwenye harakati zao za kupambana na CCM basi siku nyingiii ingekuwa haipo!!! anyway kama na kanisani vita hii imeingia safi saana,, huyu shetani mweusi sasa hana pakukimbilia,,,, masheikh, mapadri,wachungaji CCM ni pepo lakukemewa mchana na usiku.