Padre aliye kuwa akisoma chuo cha Ardhi Dar Celestine John Nyaumba wa kanisa katoliki Homboro Dodoma, amemjeruhi mpenzi wake vile vile ni mzazi mwenzie wa maili mbili Dodoma alimwita Dar aje ale bata akatoka nae nje ya jiji Kibaha, hapo ndipo alimjeruhi kwa kumgonga na gari kisha kumkata panga kichwani.
Uzinzi ni kiboko
Chanzo cha kumjeruhi ni nini?
Kama namuona vile. Yaani dada kasimamishwa hapo. Akarudi rivasi akamgongelea mbali. Afu akashuka na panga akamkata kichwani!
Padri alinogewa the forbidden fruit ehh?
chezea utamu wa tunda? Kuna wengine hawari, hawalali kwa sababu ya kulimendea.
Padre aliye kuwa akisoma chuo cha Ardhi Dar Celestine John Nyaumba wa kanisa katoliki Homboro Dodoma, amemjeruhi mpenzi wake vile vile ni mzazi mwenzie wa maili mbili Dodoma alimwita Dar aje ale bata akatoka nae nje ya jiji Kibaha, hapo ndipo alimjeruhi kwa kumgonga na gari kisha kumkata panga kichwani.
kumbe siku hzi mapadiri wanatafuna waziwazi?

Inawezekana ni kweli lakini sikubaliani kabisa na maelezo yaliyotolewa, Wanajamvi kumbukeni kanisa katoliki halina kiongozi yoyote wa kiroho anayeoa! Hivyo kama huyo ameoa siyo padre tena bali ni mwanajumuia kama kawaida, Inawezekanaje padre huyo akafanye tukio litakalomharibia nadhiri yake huku akijua haruhusiwi kuwa na mke?

Wakiwezeshwa hawavungi aisee.kumbe siku hzi mapadiri wanatafuna waziwazi?