Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

Huyu Padre anapatikana station gani siku hizi na muda gani, maana nimemiss sana
 
Vitu vingi vinaongelewa Ila ni irrelevant,ni rahisi kuyaongea Ila si rahisi kuyatekeleza,nna jamaa yangu mmoja akimzalisha mke mtoto WA Kwanza WA pili mke wake anazaa na mwingine Ila mimba anampakazia mshikaji,anawatoto wawili sio halali yake wameenda kanisani wamayaongea wamesameheana, japo jamaa anaumia mioyoni,naw shemela wetu anapigwa nje kama kawaida mimba Tu ndo haleti,au mtu unasema mi nawashangaa wanaooa mke zaidi ya mmoja,we huoi Ila mademu WA nje unafumua kama kawaida unatofauti gani na mwenye tamaa alafu akaoa mke zaidi ya mmoja na akabakia mwaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maelezo hayo kuwa na mausihano nje ya ndoa na mtu asiye damu yako hakupelekei talaka?

swali la pili Mfano mume akifanya pornie nani anaomba talaka ni mume au mke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa kwa mujibu wa sheria za dini za kikristo zimeruhusiwa katika maeneo mawili, moja uchawiiodhihirika na pili uzinzi. Nasikitika mchambuzi kajikita katika tafisiri za kiislamu halafu akaziingiza kama za kikiristo. Iko mifano mingi na ya msingi katika dini za kikiristo zinajibu hoja yake. Wakiristo kama mmojawapo wa wanandoa kakamatwa amezini without doubt huhitaji maridhio ya aliyetendewa katika ndoa ili kuona kama kuna msamaha failure of which hutoa kibali ndoa ikavunjwe mahakamani kwa kuwa kanisa halipendi kuwa sehemu ya kuvunja ndoa ya mungu
 
Fornea may directicly mean fornication in other languages, which is a reason through which any Christian marriage may be dissolved biblically
 
Tusiingize siasa na mijadala isiyokuwa ya msingi katika dini, dini ziachwe nje kwa watu wanaojua bible au kurani
 
Na niombe kusema, kinyume na anavyotuaminisha anayejiita padri, katika biblia imeandikwa, na alaaniwe yeye alalaye na mamaye au umbu lake always yeyote. So kuoa au kulala na ndg awaye yeyote ni dhambi yenye laana kuu. Hapa mke wa ndoa hayumo na wala si pornea kama anavyotuaminisha padri fake
 
Yaani mtu anakuwa naviashilia vyakutaka kukuua au kukujeruhi,nahata nikuletee magonjwa sasa eti kwakua tu uliapa kiapo kanisani basi usiachane naye.je utasema "acha tu nife simeshaapa kanisani siku ya ndoa" amekukosa kukupa sumu,au kukupiga panga harafu bado uendelee kuishi naye more eti uliapa kiapo kuwa mtavumiliana kwa shida na raha,hiyo haipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uasherati na uzinzi ndio sababu ya talaka, kwa muongozo wa Biblia. Huyu padre anapotofautisha ati ngono na mwanafamilia au uhusiano wa damu, haina mantiki. Umeshiriki ngono na asiye mwenza wako wa ndoa na imethibitika, mwenza wako ana sababu na haki ya kukutaliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na niombe kusema, kinyume na anavyotuaminisha anayejiita padri, katika biblia imeandikwa, na alaaniwe yeye alalaye na mamaye au umbu lake always yeyote. So kuoa au kulala na ndg awaye yeyote ni dhambi yenye laana kuu. Hapa mke wa ndoa hayumo na wala si pornea kama anavyotuaminisha padri fake
Ungejikita kwenye kujenga HOJA kumpinga ingependeza zaidi....tatizo kwako ni Upadri au Hoja iliyoletwa na Padri? Jifunze kujenga HOJA na sio kuattack watu usio wajua.
 
Mimi ninachotaka kujiuliza katika majibu ya Padre ni je,
Wayahudi walimuuliza Yesu swali la ubishi wa marabi wawili kinzani au ni kwa nini Musa aliruhusu talaka?
Pili lazima ijulikane kuwa uasherati na uzinzi ni vitu viwili tofauti japo kimatendo ni moja.
Uasherati ni mahusiano ya kingono nje ya ndoa na
Uzinzi na mahusiano ya kingono nje kwa wanandoa.
Bwana Yesu katika Mathayo 19
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
.
Alimaanisha mwasherati ndiye anaeweza kuachwa katika wanandoa.
Mwanamke aliyechumbiwa na kulipiwa mahari alihesabika kuwa mke wa mtu japo hawajaruhusika kuishi pamoja. Na hili linakubalika na kwa ushahidi wa Mariam na Yoseph. Malaika akimwambia Yoseph usiache kumchukua mkeo..... na kwa wakati huo bado walikuwa hawajaruhusika kuishi maisha ya kujuana.
Ninachomaanisha hapa ni kwamba mwanamwali aliyechumbiwa na kulipiwa mahari ikibainika amevunja kiapo kwa uasherati wa kutembea na mwanamume mwingine ndiye Yesu aliyeruhusu kwamba aachwe.
Kwa habari ya uzinzi yaani baada ya wanandoa kuruhusika kuishi pamoja na kujuana hapo ndipo hatuoni mlango ulio wazi wa kuvunja ndoa. Na hii ndio kanuni kanisa linatumia kwamba hakuna talaka katika ndoa za kikristo.
Hata katika torati kijana wa kiume aliyefanya uasherati na kijana wa kike aliyechumbiwa adhabu yao ilikuwa ni kuuawa. Tofauti na uasherati uliofanywa na asiyechumbiwa, kjana alipaswa kumlipia mahari huyo mwanamke na kumwoa kwa ruhusa ya wazazi wa mwanamke. Na kama wazazi wa mwanamke hawakupenda huyo kijana mme kumuoa mtoto wao , walimlipisha gharama ya uharibifu na kumwacha aende zake.

Inabidi tumshawishi Father aje kuongea na umma wa huku. Ni mpenda mijadala yenye staha.

Mkuu uchumba huvunjwa na si kutolewa talaka. Talaka ni kwa walioona na si wachumba. Pia neno pornea linamaanisha mambo yote au dhambi zote za kingono haijalishi ni ndani ya ndoa, hujaoa, ngona na mnyama etc. Pornea kwenye agano jipya linaelezea dhambi za ngono. Sisi kwenye tafsiri tumelinarrow kwenye uasherati.
 
Mkuu mimi nionavyo kuvunjwa na talaka ni kitu kile kile maana huwezi vunja kitu ambacho hakijawahi unganika kisheria. Ukizingatia kwamba katika sheria zile zilizokubaliwa katika uchumba hakuna kinachokuja ongezeka pale zaidi ya tangazo la kuruhusika kwenda kuishi pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninachotaka kujiuliza katika majibu ya Padre ni je,
Wayahudi walimuuliza Yesu swali la ubishi wa marabi wawili kinzani au ni kwa nini Musa aliruhusu talaka?
Pili lazima ijulikane kuwa uasherati na uzinzi ni vitu viwili tofauti japo kimatendo ni moja.
Uasherati ni mahusiano ya kingono nje ya ndoa na
Uzinzi na mahusiano ya kingono nje kwa wanandoa.
Bwana Yesu katika Mathayo 19
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
.
Alimaanisha mwasherati ndiye anaeweza kuachwa katika wanandoa.
Mwanamke aliyechumbiwa na kulipiwa mahari alihesabika kuwa mke wa mtu japo hawajaruhusika kuishi pamoja. Na hili linakubalika na kwa ushahidi wa Mariam na Yoseph. Malaika akimwambia Yoseph usiache kumchukua mkeo..... na kwa wakati huo bado walikuwa hawajaruhusika kuishi maisha ya kujuana.
Ninachomaanisha hapa ni kwamba mwanamwali aliyechumbiwa na kulipiwa mahari ikibainika amevunja kiapo kwa uasherati wa kutembea na mwanamume mwingine ndiye Yesu aliyeruhusu kwamba aachwe.
Kwa habari ya uzinzi yaani baada ya wanandoa kuruhusika kuishi pamoja na kujuana hapo ndipo hatuoni mlango ulio wazi wa kuvunja ndoa. Na hii ndio kanuni kanisa linatumia kwamba hakuna talaka katika ndoa za kikristo.
Hata katika torati kijana wa kiume aliyefanya uasherati na kijana wa kike aliyechumbiwa adhabu yao ilikuwa ni kuuawa. Tofauti na uasherati uliofanywa na asiyechumbiwa, kjana alipaswa kumlipia mahari huyo mwanamke na kumwoa kwa ruhusa ya wazazi wa mwanamke. Na kama wazazi wa mwanamke hawakupenda huyo kijana mme kumuoa mtoto wao , walimlipisha gharama ya uharibifu na kumwacha aende zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kuelewa kusudio la jambo fulani kuwekwa na Mungu inabidi usome kwa mapana kile alichosema kwenye maandiko tofauti ili upate ukamilifu wa fundisho la Mungu. Mume na mke ni mwili mmoja na kama Mungu anasema ni mwili mmoja iweje tena aruhusu kuwe na sababu ya kufanya mwili huo kutengana? Mantiki tu ya mwili mmoja ni kifungo kuwa hakuna kutengana.

Pili hata Yesu wakati anawajibu waliomuuliza habari za talaka kuwekwa na Musa aliwaambia Musa aliweka sababu ya mioyo yenu migumu! Maana yake talaka si mpango wa Mungu na hapo ndipo Yesu akawa ametilimiza torati kama alivyotimiliza kwenye mengine.

Kwa ujumla hako ka mstari ndio kamekuwa kakileta ushetani wa talaka kwa baadhi ya makanisa hasa binafsi. Hakuna mstari mwingine unaounga mkono talaka na ndio maana tunapopata wanazuoni kama hawa akina Padre Amigu kufafanua tunaelewa kwanini ilikuwa ha make sense huo mstari kuwepo kama umesoma maandiko yote juu ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua unapotaka kwenda, ila maana ya ndoa haitabadirika hadi hapo itakapobainika kulikua na nia tofauti. Sababu tu ya binaadam kutokuwa na uwezo wa kuyaona yaliyo jificha moyoni hiyo haindoiaana ya ndoa kuwa imeunganishwa na Mungu. Atakayefanya atapeli haina na heri iwe juu yake.
Hata katika maisha ya kawaida tinayaona kwamba sababu tu aliyeshinda mwingine akatangazwa mwingine, hiyo haiondoi aliyetangazwa kuendelea kutambulika na kuapishwa
Mstari wa pili ulivyoongea ni sahihi sana na hilo ndo nilitaka kuweka sawa lijulikane,
Maana kuna matapeli sana zama hizi,
Na wengine wanatumia viapo vya ndoa kuwatesa wenzao na kuwafanyia kila aina ya unyanyasaji na visa kwa kisingizio cha kutofanywa lolote sababu kuna ndoa,kwa hyo ndoa inatumika km kitu cha kujikinga ili tapeli atumize malengo yake,hii ndo changamoto kubwa ya ndoa za sasa kiasi nikaweka swali angalizo kuhusu uhalali wa ndoa,
Maana ndoa ili iwe halali ni kiapo cha hiari cha utayari wa kuishi na mwenza milele,
So mtu asiyelenga kuishi milele na mwenzake ama anaemdanganya mwenzake hata akienda madhabahuni ndoa hyo ni batili maana haina nia ya hiari ya kushikamana milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom