Padre 'ajilipua' kwa askofu Mwamakula kuhusu "Matembezi ya hiari"

Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili, kinyume cha hapo hamna kiongozi wa kikristo hapo ni mbwa mwitu tu aliye ndani ya uongozi wa kanisa

Hakuna kiongozi wa kikristo anayetumwa na Mungu kuhubiri kuhusu katiba au tume za uchaguzi sababu katiba duniani kila nchi ina zake na zinatofautiana kati ya nchi na nchi na tume zinatofautiana kati ya nchi na nchi na nchi zingine hazina kabisa sababu hazifanyi chaguzi hutawaliwa kifalme nk lakini injili ni ile ile kwa mataifa yote dunia nzimandio maana Yesu akaagiza viongozi wake waende duniani pote wahubirie watu watubu na kuiamini injili ambayo ni ile ile jana leo na hata mile haibadiliki.Katiba zitabadilika injili haibadiliki.TUME ZA UCHAGUZI ZITABADILIKA INJILI HAIBADILIKI

Mtaalamu mmoja alisema ili nchi iendelee inatakiwa kila mmoja asimame kwenye nafasi yake afanye kile alichopewa mkulima alime sana kwa nguvu zake zote na akili zake zote az
Mtume Yohana(mbatizaji) aliwekwa gerezani kwa kosa la kumkosoa Gavana kwa kuoa mtoto wa ndugu yake.Kwa hiyo kazi ya mtumishi wa Mungu haiishii hapo unapodai wewe.Popote pale kwenye uovu lazima akemee.Ndiyo maana mtumishi wa Mungu lazima awe kichwa na si mkia.Yaani pamoja na mengine,yampasa aelewe mambo yote na awe na uwezo kukemea mabaya.
Hivyo acha kupotosha.
 
Wewe unajihusisha na shughuli gani kati ya hizo ulizotaja? Nchi imepata uhuru miongo Kazaa iliyopita ukienda hapo RUFIJI TU barabara hazina lami ni tope hasa wakati wa mvua hayo mazao utapitisha wapiiii
Mi najihusisha na Ujenzi wa nyumba za kiwango cha makazi, na nilisomea Veta, napata tenda za kujenga hadi wakati mwingine naajiri watu kunisaidia.
Na mwenyewe nina nyumba ya gholofa.
Wewe una Fani gani ?

Na unahamasisha vijana waandamane ili iwasaidie nini katika maisha yao binafsi ?

Hebu nijibu hayo maswali mawili.
 
Sumu ni nzuri sana pale inapotumika kufanya kazi iliyokusudiwa na ni mbaya sana inapotumika kufanya isichokusudiwa

Haki na wajibu vinaenda pamoja, kutumia neno haki kuvunja taratibu na kuhujumu nchi haviwezi kubalika na wastaarabu wa nchi yoyote duniani.

Watu wanaweza kuua watu lakini serikali ya Tanzania haiwezi na haijawahi tumia vyombo vyake kuua watu uliowataja.

Mheshimiwa Mwakyembe aliwahi nusurika kifo, je serikali ndio ilitaka kumuua? Mheshimiwa rais aliwahi ongelea kupewa sumu, je serikali ndio ilitaka kumuua?

Tujifunze kuwajibika kwa matendo yetu zaidi ya kulaumu serikili kwa kila kitu
Mpumbavu wewe Chadema ndio waliompa Mwakyembe Sumu ? , Ndio waliomteka na kumshambulia Dr Ulimboka ? ,Ndio waliomteka na kumuua Ben Saanane ? , Kifo cha Mtikila ?, Kolimba ? , Azory Gwanda ? , Kushambulia Kwa risasi Tundu Lisu ?, Utekwaji wa Mo Dewji ? , Stupid bitch !
 
Nimeuliza swali wewe unahanyahanya nini sasa? Kuna mahali nimeandika chama hapo? Jamaa una jazba kama vile umepokea taarifa kwamba uliokotwa dampo mfyuuuu
Tumia akili zako za kichwani sawasawa kijana. Watu huumiza na kuua watu na sio serikali

Wacha jazba wewe kijana bimkubwa wako ndio huyo stupid bitch ulimuandika hapo... hadi kazaa mtoto usiyejulikana babako nani
 
Sumu ni nzuri sana pale inapotumika kufanya kazi iliyokusudiwa na ni mbaya sana inapotumika kufanya isichokusudiwa

Haki na wajibu vinaenda pamoja, kutumia neno haki kuvunja taratibu na kuhujumu nchi haviwezi kubalika na wastaarabu wa nchi yoyote duniani.

Watu wanaweza kuua watu lakini serikali ya Tanzania haiwezi na haijawahi tumia vyombo vyake kuua watu uliowataja.

Mheshimiwa Mwakyembe aliwahi nusurika kifo, je serikali ndio ilitaka kumuua? Mheshimiwa rais aliwahi ongelea kupewa sumu, je serikali ndio ilitaka kumuua?

Tujifunze kuwajibika kwa matendo yetu zaidi ya kulaumu serikili kwa kila kitu
Kwako neno "SUMU" ni sawa na neno haki ?!. Hupendi kuona kada nyingine tofauti na itikadi yako ikipata haki ?!

Uwajibikaji gani unaouongelea ?!. Huu wa kada nyingine kumiminiwa 38 na hakuna uchunguzi ?!. Au hii ya kukata majina ya wapinzani wenu na hawana chombo cha sheria cha kuwatetea ?!. Uwajibikaji gani, huu wa wakurugenzi kuwafungia wapinzani wenu ?! Au upi huo unaoutaka ?!

Katiba nzuri ya wananchi isingekubali ujinga huo, wala tume huru isingeingiliwa na wapenda madaraka kama kina Trump . Uwajibikaji ni pamoja na kuwajibika

Odhis *
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
Mpumbavu wewe Chadema ndio waliompa Mwakyembe Sumu ? , Ndio waliomteka na kumshambulia Dr Ulimboka ? ,Ndio waliomteka na kumuua Ben Saanane ? , Kifo cha Mtikila ?, Kolimba ? , Azory Gwanda ? , Kushambulia Kwa risasi Tundu Lisu ?, Utekwaji wa Mo Dewji ? , Stupid bitch !
 
Wewe unajihusisha na shughuli gani kati ya hizo ulizotaja? Nchi imepata uhuru miongo Kazaa iliyopita ukienda hapo RUFIJI TU barabara hazina lami ni tope hasa wakati wa mvua hayo mazao utapitisha wapiiii
Mzee tafuta sababu nyingine
 
Kila siku anasema atatembea..toka mwaka jana..utasikia juni hiyo mara disemba..huyo anatafuta tu vijana wa kafara..aanze yeye na mabango sie tutamkuta mbele ya safari.
 
Nathan Peter (pichani) au Padre Haule ambaye ni Kasisi wa Kanisa Anglikana Tanzania ameamua kujilipua kwa kuandika yafuatayo katika kuchangia andiko langu katika ukurasa wangu:

"Kama unatumwa na wenye mihimili hiyo sawa usintamaze kwani nawe ni wao, lakini Kama unajituma, Anza kutafiti alipo mzee mtikila na anachokifanya kwa Sasa."

Maneno ya Padre huyo siyo ya kupuuza. Anagusia wenye mihimili na anaongea kuhusu Mtikila pasipo kumtaja Mtikila yupi! Inawezekana Padre anajua kilichompata Mtikila anayemtaja na sababu za kumpata hayo yaliyompata. Kuna uhusiano gani kati ya yaliyompata Mtikila na yanayoweza kumpata Askofu Mwamakula, hatujui. Labda Baba Padre anajua! Askofu anajua kuwa huyo Padre ni kada wa chama kimoja cha siasa nchini ingawa hajui uhusiano wake na hao wenye mihimili au Mtikila

Nilipokuwa mdogo, jirani kulikuwa na Kambi ya Jeshi kule Ipyana na Kibugujo (Kyela)! Tulifundishwa kutokuwapuuzia watu tukikutana nao maporini! Kuna mmoja alikuwa anajifanya kichaa na kuishi mwituni kumbe kule msituni alikuwa ameweka ofisi yake shimoni! Bila shaka ujumbe wa Padre kwa Askofu Mwamakula umefika!

Ni vizuri Padre na wengine wakatambua kuwa Askofu ataongoza hayo "Matembezi ya Hiyari" nchi nzima na wala hahitaji kufanya utafiti wa kazi anayoifanya huyo Mtikila aliyetajwa! Askofu alizaliwa siku moja na atakufa siku moja iwe kwa ugonjwa, risasi, sumu, ajali, uzee, au kuliwa na wanyama wakali, nk haijalishi!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 1680849
Tatizo la watanzania kwa kuandika hamjambo, ila utekelezaji sifuri kabisa! Huyo askofu hebu amuulize Dada wa taifa au mzee wa ubelgiji watanzania walivyo. Anajisumbua tu, kwanza mwamakula ni muasi kutoka kanisa la Moravian
 
Mtume Yohana(mbatizaji) aliwekwa gerezani kwa kosa la kumkosoa Gavana kwa kuoa mtoto wa ndugu yake.Kwa hiyo kazi ya mtumishi wa Mungu haiishii hapo unapodai wewe.Popote pale kwenye uovu lazima akemee.Ndiyo maana mtumishi wa Mungu lazima awe kichwa na si mkia.Yaani pamoja na mengine,yampasa aelewe mambo yote na awe na uwezo kukemea mabaya.
Hivyo acha kupotosha.
Achana na Yohana mbatizaji au sijui manabii hata akina Eliya tuko wao pia walipojaribu kutoka nje ya wito wa kuhubiri watubu na kuamini Mungu walikiona cha mtema kuni nabii eliya wakiwemo na Yohana mbatizaji wakiwemo na akina Kakobe wakiwemo
Yohana mbatizaji angeendelea kuhubir i alichoitiwa kilichofanya uyahudi yote na yudea waenda kubatizwa huku wakiziungama dhambi asingepata shida.Alihubiri hakutaja jina la mtu lakini ujumbe wake ulichoma mioyo Jerusalem yote na miji yote wakafurika kuungama dhambi kwake na akawabatiza alipiacha wito akaparamia watawala akakatwa kichwa

Sina shida na kiongozi anayejitosa kukemea wanasiasa badala ya kuhubiri kuwa watu watubu na kuiamini Injili as long as wanakubali kitakachofuata .Wakimwiga Yohana mbatizaji earlier tu kukemea bali wawe tayari kwa kilichomkuta Yohana Mbatizaji akaondoka nyikani akaenda ikulu ya herode kukemea alipoacha wito huo akakatwa kichwa.Huduma yake ilikuwa nyikani ikulu akifuata nini wakati Jerusalem yote na yuda walimfuata porini aliko?

Viongozi wa Kikristo simameni kwenye wito wenu wa kuhubiri watu watubu na kuiamini Injili.Rudini kwenye mstari haraka
 
Wakuu msitengeneze history mpya. Mtikila alikuwa anampinga kwa nguvu zote mgombea wa Ukawa na alipata ajali akiwa njiani anakuja Dar kufanya press conference.
Ukawa haikuwa madarakani, hivyo haikuwa tishio kwa mustakabali wake.....
 
Sijaelewa mnisaidie,kwamba mwl afundishe tu bila kujihusisha na mambo mengine na mkulima slime tu muda wote mvuvi avue tu,daktari atibu tu na Wala asijihusishe na Jambo jingine! Sijaelewa nielimisheni wadau.
 
Mwamakula sio askofu huyo ni mwanaharakati wa kidini kama walivyo wengine duniani. Wajikite katika TIBA ya ROHO hayo mahitaji mengine ya nafsi na mwili yatarekebika kutokana na watu kuwa na mioyo ya unyoofu, kutenda mema na haki ikiwa pamoja na serikali maana inaongozwa na watu wenye nafsi, mwili na roho. Viongozi wa kidini ambao kutwa kucha ni kuzua fikra chonganishi watatoa hesabu ya matendo yao mbele za mwenyenzi Mungu aliye hai. Kutetea haki za watu za kidunia hazihesabiki kutakasa roho inayokubalika na Mungu.
Andiko lako hili ungelifungamanisha na rejea za maandiko matakatifu kuliko kulibebesha hisia zako tu!
 
Theolojia ni elimu ya kuhusu Mungu sio wanadamu!!! Is the study about God Not about people people!!!! Hizo study about people waachie wataalamu wa biolojia,siasa na wanaharakati

Rudi kasome tena hiyo theolojia yako koko
Mwache Askofu Mwamakula afanye kile ambacho amekipokea kutoka kwa muumba wake. Acha kujifanya mjuzi wakati huna unachokielewa katika theolojia, divinity, na hata katika mambo ya kawaida tu kuhusu neno la Mungu. Nenda zako...
 
Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili, kinyume cha hapo hamna kiongozi wa kikristo hapo ni mbwa mwitu tu aliye ndani ya uongozi wa kanisa

Hakuna kiongozi wa kikristo anayetumwa na Mungu kuhubiri kuhusu katiba au tume za uchaguzi sababu katiba duniani kila nchi ina zake na zinatofautiana kati ya nchi na nchi na tume zinatofautiana kati ya nchi na nchi na nchi zingine hazina kabisa sababu hazifanyi chaguzi hutawaliwa kifalme nk lakini injili ni ile ile kwa mataifa yote dunia nzima ndio maana Yesu akaagiza viongozi wake waende duniani pote wahubirie watu watubu na kuiamini injili ambayo ni ile ile jana leo na hata milel haibadiliki.Katiba zitabadilika injili haibadiliki.TUME ZA UCHAGUZI ZITABADILIKA INJILI HAIBADILIKI

Mtaalamu mmoja alisema ili nchi iendelee inatakiwa kila mmoja asimame kwenye nafasi yake afanye kile alichopewa mkulima alime sana kwa nguvu zake zote nk na akili zake zote na kiongozi wa dini asimame nafasi yake aliyopewa na Mungu
Shallow in deep water
 
Sumu ni nzuri sana pale inapotumika kufanya kazi iliyokusudiwa na ni mbaya sana inapotumika kufanya isichokusudiwa

Haki na wajibu vinaenda pamoja, kutumia neno haki kuvunja taratibu na kuhujumu nchi haviwezi kubalika na wastaarabu wa nchi yoyote duniani.

Watu wanaweza kuua watu lakini serikali ya Tanzania haiwezi na haijawahi tumia vyombo vyake kuua watu uliowataja.

Mheshimiwa Mwakyembe aliwahi nusurika kifo, je serikali ndio ilitaka kumuua? Mheshimiwa rais aliwahi ongelea kupewa sumu, je serikali ndio ilitaka kumuua?

Tujifunze kuwajibika kwa matendo yetu zaidi ya kulaumu serikili kwa kila kitu
Kama serikali hii ingejaribu lay kufanya uchunguzi na kutuambia nani alijaribu kumuua Lisu ingeweza kuaminika, lkn hizi blabla.....

Ben Saa 8 hajulikani alipo baada ya kuhoji PhD ya Magu, mpaka Leo hakuna uchunguzi uliowahi kufanyika...sasa, no kwanini serikali isibebeshwe hizi tuhuma?
 
Kiongozi sahihi, imara na makini ni yule anayeweza kuyaona makosa yaliyo ndani ya mfumo, asiyekubali na akayafanyia kazi makosa hayo hata kwa gharama ya kuwajibika yeye na kuwajibisha watendaji wake. Na hicho ndicho aluchofanya Mkapa.

Raia wanalinda haki bila kuvunja sheria
Kuwapiga risasi? Hao raia walikua na bunduki? Yupo wapi sasa mida hii
 
Back
Top Bottom