Pacha wangu hataki kuondoka nyumbani

Pacha wangu hataki kuondoka nyumbani

Tofautisha kujipanga na kurudi kukaa home. Una kazi halafu unarudi nyumbani kufanya nini? Baba yako angerudi nyumbani kwao kwa baba yake hata huo mji unaoitwa kwenu usingekuwepo. Maisha yakikaa vibaya unarudi home, unajipanga kisha unaondoka kwenda kutafuta mji wako.
Kila mtu anapaswa atafute mji wake. Mwanaume ukikaa nyumbani utadharaulika mpaka na kuku (believe it or not)
mbona mimi wa katavi nilirudi kujipanga, kwamba wa mikoa hiyo haturuhusiwi rudi kujipanga ama
 
Kama alipanga ujue mambo yamemshinda .
Ndo maana karudisha mpira kwa kipa
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mimi ni pacha ke na me. Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau

Sasa pacha wangu ni mkubwa tu kamaliza Chuo yapata miaka mitano Kama siyo sita imepita akapata kibarua kwenye NG'O alivyopata tu akukaa sana akaenda Kupanga geto Kama miaka miwili hivi sijui ilikuwaje mwaka Jana akarudi home anatoka nyumbani anaenda kazini, vitu vyote akauza friji, TV, kitanda pasi na Kila kitu.

Ukimuuliza anasema alipunguza gharama za maisha Mana mama anamtegemea(kumbuka anakaka zake na dada wengine plus Mimi ) na yeye kulipa kodi anaona Bora akae tu nyumbani. Je, kiuanaume hii Ni sawa mtu wa miaka 30 kukaa kwao?

Wapendwa nisaidieni kumshauri nimemwimbia Sana nimechoka, Kila mtakachonishauri nitamweleza kinaga ubaga Ili angalau abadilike.
Ulimuimbia nyimbo mbaya, hebu jaribu kumuimbia 'ChechE- Zuchu Ft Platnumz'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom