Muda mwingi tunadhani maisha tunayotaka ndugu zetu wawe nayo ndiyo wayawazao.
Kuna muda unatamani kaka/dada yako awe hivi...lakini haiwezekani nao wana picha ya maisha wayatakayo.
Achana nae huyo loffaKivipi
Unamuwaza Lissu wewePacha wako amefuata ushauri wa Lisu wa kuuza kila kitu ili kukwepa maendeleo ya vitu.
Siyo kuolewa tu Ni mama wa watoto wawili
One of the rubbish comment ever...One of the rubbish thread jf
Asa hyo n rubbish thread kivipi au na wewe ulitaka uonekane umeandika kingereza(poor you!)One of the rubbish thread jf
Kama ni temporary measure is ok. kurudisha mpira kwa kipa ni sawa. ila kama ni hatua ya kudumu si sawaKichwa Cha habari hapo juu Cha husika
Mimi ni pacha ke na me
Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau
Sasa pacha wangu ni mkubwa tu kamaliza Chuo yapata miaka mitano Kama siyo sita imepita akapata kibarua kwenye NG'O alivyopata tu akukaa Sana akaenda Kupanga geto Kama miaka miwili hivi sijui ilikuwaje mwaka Jana akarudi home anatoka nyumbani anaenda kazini, vitu vyote akauza friji, tv, kitanda pasi na Kila kitu.
Ukimuuliza anasema alipunguza gharama za maisha Mana mama anamtegemea(kumbuka anakaka zake na dada wengine plus Mimi ) na yeye kulipa kodi anaona Bora akae tu nyumbani. Je, kiuanaume hii Ni sawa mtu wa miaka 30 kukaa kwao?
Wapendwa nisaidieni kumshauri nimemwimbia Sana nimechoka, Kila mtakachonishauri nitamweleza kinaga ubaga Ili angalau abadilike.
Achana nae maana jf kuna watu wa kila aina mbwa,kuku,mbuz wote wako hmuMwaaa love u mapanga
Mpigie mapanga huyu kenge
Ili tutarijadiri badala ya kupiga kura za kumchinja mtusiKichwa Cha habari hapo juu Cha husika