Sioni shida kabisa....mtu kurudi nyumbani kama bado hajaoa. Labda anataka kubana matumizi ajenge kama alivyosema.Hana mpango wa kumwacha Ila binafsi naboreka
Je kwao kungelikuwa ni Katavi, Sumbawanga au Ileje angerudi ili ajipange?Home is the best place katika kupanga mashambulizi pindi mambo yanapokua mazito
Uzi unakuhusu huu...One of the rubbish thread jf
Bnafc nadhangaa..., tunajenga au tunabomoa...!!?Mnamtetea Sana twin wangu ,au na nyie Bado mnaishi kwenu??
Bnafc nashangaa..., tunajenga au tunabomoa...!!?