Pacha wangu hataki kuondoka nyumbani

Pacha wangu hataki kuondoka nyumbani

Usimwambie kitu kuhusu kumpa ushauri wa kujitegemea, wewe ulietoka home fanya mambo ili avutiwe na aone tofauti kati yako wewe usiye home, na yeye anaye ishi home
 
Kichwa Cha habari hapo juu Cha husika

Mimi ni pacha ke na me
Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau

Sasa pacha wangu ni mkubwa tu kamaliza Chuo yapata miaka mitano Kama siyo sita imepita akapata kibarua kwenye NG'O alivyopata tu akukaa Sana akaenda Kupanga geto Kama miaka miwili hivi sijui ilikuwaje mwaka Jana akarudi home anatoka nyumbani anaenda kazini, vitu vyote akauza friji, tv, kitanda pasi na Kila kitu.

Ukimuuliza anasema alipunguza gharama za maisha Mana mama anamtegemea(kumbuka anakaka zake na dada wengine plus Mimi ) na yeye kulipa kodi anaona Bora akae tu nyumbani. Je, kiuanaume hii Ni sawa mtu wa miaka 30 kukaa kwao?

Wapendwa nisaidieni kumshauri nimemwimbia Sana nimechoka, Kila mtakachonishauri nitamweleza kinaga ubaga Ili angalau abadilike.
Ana shida ya mahusiano. Chunguza hilo utapata majibu.
 
Kwa tuliotoka ktk familia za kimaskini kuzeekea home ni aibu lakini kwa familia tajiri anayezeekea home huonekana muungwana.
Vipi familia yenu iko kundi gani?
 
Je kwao kungelikuwa ni Katavi, Sumbawanga au Ileje angerudi ili ajipange?

Komaa kiume acha kujiendekeza.
mbona mimi wa katavi nilirudi kujipanga, kwamba wa mikoa hiyo haturuhusiwi rudi kujipanga ama
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mimi ni pacha ke na me. Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau

Sasa pacha wangu ni mkubwa tu kamaliza Chuo yapata miaka mitano Kama siyo sita imepita akapata kibarua kwenye NG'O alivyopata tu akukaa sana akaenda Kupanga geto Kama miaka miwili hivi sijui ilikuwaje mwaka Jana akarudi home anatoka nyumbani anaenda kazini, vitu vyote akauza friji, TV, kitanda pasi na Kila kitu.

Ukimuuliza anasema alipunguza gharama za maisha Mana mama anamtegemea(kumbuka anakaka zake na dada wengine plus Mimi ) na yeye kulipa kodi anaona Bora akae tu nyumbani. Je, kiuanaume hii Ni sawa mtu wa miaka 30 kukaa kwao?

Wapendwa nisaidieni kumshauri nimemwimbia Sana nimechoka, Kila mtakachonishauri nitamweleza kinaga ubaga Ili angalau abadilike.
Siyo sawa huyo ni mzembe, miaka 30 si mtoto akajitegemee
 
Mbinu ya kumuacha mpenzi wake ili awe huru.kuna wadada akijua upo kwako basi anajihamisha na anazusha ugomvi akiona una date na mwengine.
Sasa akiwa home anaweza jifanya yupo ndani kumbe katoka na akirudi ana chumba cha uani wala wazee hata wakijua wanajua MTOTO WA KIUME.
 
wewe kazi yako ilikuwa ni kumshauri tu nasio lazima yeye aupokee ushauri uliompa na kuufanyia kazi

Jambo lingine muache jamaa aishi maisha yake Kila mtu ana life style yake katika maisha haya epuka sana kutaka watu wengine wawe na life style Kama yako ...binaadamu tunatofautiana kimitazamo wakati wewe Unaiona namba 6 kuwa ni 6 kuna wngine wanaiona kuwa ni namba 9
 
Kwani wazazi wenu wanasemaje? I think you should just focus on ur life.

Kama keshamaliza chuo na yupo above 30, huyo anajua analolitenda na energy yako ihamishie tu kwenye kuyajenga maisha yako
100% correct😂
 
Yule pale Ni kwake

Wewe kwako Ni MUME wako

Acha wivu

Ulkitaka na wewe Rudi kwenu[emoji1]

Yeah Yuko kwa baba yake Miaka 2000 Sasa sembuse pacha wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom