P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Ukute na usalama wa taifa wanasoma nyuzi zake za chuki .. Tiss ingebidi mbwa Kama hawa ndio iwasake na kuwafikisha mahakaman kwa uchochezi
 
Hii ID uliipumzisha mkuu,naikaribisha tena.
 


Sawa, elezea wanawezaje kuishi ni 100 MW zaidi ya watu milioni 11 na kuwa na maendeleo yote hayo mnayoyasema?
 
Nothing there in rwanda zaidi ya kujimwambafai,na kujipigia promo za kufa mtu mpaka huko U.K, Ni nchi ambayo haina lolote zaidi ya kujipamba USONI KWA LIPI STIKI NA SHADOW NA TABASAMU FEKI LA NGUVU ILI IONEKANE IKO VIZURI,KUMBE NI NYOKO KABISA.

Hopeless!
 
Maisha mema ila msije Kujidanganya Udogo wa Kijiografia ndiyo Ushindi wenu Kwetu. Tutawapigeni kama Kuku vile na hamtoamini. Naomba kujua Mkuu Wewe unatoke nchi gani kati ya Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
Hamna kipya kabisa huyo Kagame mwenyewe alikua anajitutumua kwa Kikwete huku akijua kabisa kikinuka atachezea kipigo cha mbwa koko tu..Kikwete akamuonyesha Trela kwanza kule Congo kwenye maslahi yake..halafu akawa anamsikilizia angeendelea tu kuimba taarab angeona kitu ambacho kingemkuta tungekuwa tumeshawaoa mademu wa Rwanda muda huu
 
Tatizo ni landlocked country kwa East Africa nchi ambayo ipo karibu zaidi kuwa free economic zone ni Kenya
 
Hiyo airport mpya haifikii ata ukubwa wa Terminal 3. Bugesera airport inategemewa ku handle 1.7 million passengers kwa mwaka wakati T3 yetu peke yake capacity yake ni 6 million passengers kwa mwaka sasa wewe unaposema itakua kama Bole una maana gani!! Na yenyewe mwaka wa nane unapita sasa toka mradi utaganzwe wajenzi wa kwanza wameshindwana na Kagame wametoka site, Kagame anajitahidi ila watu mpo less informed mnaongeza chumvi ili habari zionekane "zinasisimua" mnanu over rate Kagame.
 
Wanapenda mihemko tu
Kama uchumi wa Rwanda kama tunavyoaminishwa, Kigoma, Kagera, Tabora, Rukwa, Katavi, Mwanza nk kungekuwa kumefurika bidhaa za Rwanda. Lakini tunachokiona ni kinyume chake!

Lakini kama haitoshi kwa aina ya uchumi unaopigiwa kelele tusingekuwa tunawaona Wanyarwanda wakimiminika mipakani kwetu kuishi au kufanya vibarua.

Again thread inahusu Megawat 100 kwa Watu milioni 10
 
Huu ni ukweli ambao hao akina gentmycine hawawezi hata kutolea ufafanuzu wa ku comment
 
Sawa, elezea wanawezaje kuishi ni 100 MW zaidi ya watu milioni 11 na kuwa na maendeleo yote hayo mnayoyasema?
Nenda kaone mwenyewe usingoje kuambiwa. Ni rahisi tu mabasi yapo. Kama siyo ya Rwanda chukua mpaka mpakani halafu utakuta daladala kibao mpakani. Nenda mwana kwenda kaone mwenyewe. Hata watu wakubwa serikalini wanajua hilo mpaka wamenyosha mikono kuhusu Rwanda.
 

Sifa hizi anazopenda Kagame bana!

Mara magari,holla,wameenda Kenya!

Mara smartphone,akishirikiana na muhindi tapeli Thakkar!

Feki feki feki!

These dudes full of fakery!
 
Na huo ndio ujinga mlio nao kuua uana kisa ukabila

Soon huko kutalipuka tena mtajazana makambi ya kagera
 
Heheheh jeshi la rwanda lenyewe halina displine ndio maana tumewawekea majenerali kule kagera alitoka major Jen akaja brigedia mkizingua anasogeza batalions tu fasta anapiga kigalj wote mnaingia msituni

Kukiibuka mtifuano huko kwenu priority ya kwanza ni kuwatafuta dada zenu wa tutsi kama big jii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…