P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Post yake ina hoja moja tu ya msingi: source of power ni nini?, ungejibu hilo kwanza kisha ndo ulete mahaba yako————————
 
Acha utani hata mza inatumia zaidi ya megawatt 100. Inaweza kuwa kweli maana tangu nizaliwe sijawahi ona kitu made in Rwanda.
 
Bado hujamjibu alie leta mada
Watu 11m kwa 100MW
Hii ipoje
Naomba unionyeshe kipya nje ya Kigali
Au hata hiyo hiyo Kigali Maendeleo yapi zaidi ya Usafi!!
Kamji nakatembea kwa miguu masaa 5 kameisha
 
Rwanda is a #shitshole,wezi wa mali za DRC,hata hicho kiwanda cha smartphone ni cha mwekezaji jamaa toka Dubai,I have been there,wananchi wake wanaishi kwa woga,they are not comfortable at all.FEAR FEAR FEAR...!
 
Nothing there in rwanda zaidi ya kujimwambafai,na kujipigia promo za kufa mtu mpaka huko U.K, Ni nchi ambayo haina lolote zaidi ya kujipamba USONI KWA LIPI STIKI NA SHADOW NA TABASAMU FEKI LA NGUVU ILI IONEKANE IKO VIZURI,KUMBE NI NYOKO KABISA.
 
Unamisifa mingi, tabia zenu kama ndio hizo mnafaa kuitwa wayahudi wa kiafrika, hamna lolote baraka ya misifa mingi
 
A
Acha ramli hakuna kitu hapo you have nothing so far

Mtahitaji 50 years kuifikia Tanzania
 
M
Maisha mema ila msije Kujidanganya Udogo wa Kijiografia ndiyo Ushindi wenu Kwetu. Tutawapigeni kama Kuku vile na hamtoamini. Naomba kujua Mkuu Wewe unatoke nchi gani kati ya Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
Mshapigwa kijiiografia
 
Anatafuta huruma pindi wale wakimbizi wahutu walikimbilia Congo wataporudi kumfurusha asaidiwe eti kaleta maendeleo Kigali
 
Elezeni hiyo 100 mw itafanyaje kazi acheni kujamba na kujifanya mabingwa wa matusi jibu HOJA. Ukisha jibu hoja ndio ongelea hiyo 1500mw.

Jibuni HOJA acheni kulia lia na kujijambia na kujifanya sijui mna IQ Kubwa. Kama IQ kubwa mbona mnashindwa kujibu Hoja ndogo kama hiyo.

Naona niishie hapo dada zenu wazuri sana msije mkachukia nikakosa vyote samahani kama nimewauzi shemeji zangu.
 
Wewe siyo Mnyarwanda, Mnyarwanda hawezi kuongea hivyo, hayo ni mambo sensitive sana kwa Wanyarwanda wote, na hawawezi kuyaongelea juu juu hivyo kama ufanyavyo wewe.

Sema uko obsessed na Wanyarwanda lkn wewe siyo Mnyarwanda!
Big point...... Wanyarwanda wako very sensitive on issue of tribal hawaropoki hovyo nimeishi nao nimesoma nao nimezaa nao, iknow them ni wasiri sana on such issues
 
NINA HAKIKA WEWE NI MTUSI MFIA NA MFUASI WA kagame UNA CHUKI NA WA TZ NA NCHI YETU HIVYO THREADS UNAZOANZISHA HUMU JF KUHUSU TZ TUTAKUA HATUCHANGII MBAGUZI SANA ILA NYUZI ZA KWENU HUKO TUTAKUPA USHAURI
N.B UBAGUZI WENU NA KUJIONA BOTA UTAWARUDISHA 1994
 
Shithole country
 
Usikonde huyo mbona anajulikana. Alishawai kuanzishiwa uzi wa kumjadili humu Upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…