P-Funk naye aishukia Clouds FM


watu wanakula unga kwa starehe zao, mpaka wanausifia kwenye mziki. na sidhani kama hapo mwanzo wasanii wote wa bongo records alipkuwa anafanya nao kazi toka mwanzo walikuwa hawali unga.
siku hizi naona vifo ni promo kwa wengine na media zinaangalia upepo wa watu kuna ambao wakifa hata hakuna anaye ongelea sana lakini wengine wakifa promo kwa kwenda mbele
 
Huyo aliyepokea tuu nae huo Ujumbe Mi kanishangaza...... Mawazo ya Wavuta benge Mtu kakaa katandika bange zake anakurupuka Kutafuta njia za kutaka tumzungumzie tuu Anaropoka! Mnafiki tuu cku zote alikuwa wapi? Na Kwa nini asikataze nyimbo zote ana Chagua za Albert tuu? Mkubwa mzimaaa anatafuta njia tuu tumzungumzie.
 

Bange mbichi mbaya sana, jamaa kavuta kakurupuka
 
Huyo Majani ni ---- mkubwa. Dizaini na yeye akili zishaanza kumruka.
 
why always clouds?

....And not Tandahimba FM, Mkulima FM, Radio one, free africa, TBC, NYU, KASHAIJA FM.....

Yaani we acha tu....kuwa uyaone mwanangu...UKUBWA JALALA...
 


Kaa kimya ufiche upumbavu Wako,Majani na Ruge walishagombana tangu 2004, Enzi za uhusiano wa Sinta na Juma nature,Ruge alimmega Sinta na akamhamishia Mwanza kama mtangazaji na hata album ya Ugali ilipotoka single ya sitaki demu P-funk walizozana na Ruge na hatimae Ruge akasema speed tu wimbo utapigwa,kumbuka pia wimbo wa kisa demu pengine utaelewa!!!

Kwa nini kila siku clouds tu ili wakati vituo vipo vingi??!! Tafakari ILA nasisitiza clouds ni mafisadi tu na maharamia ya mziki!!!
 

Hizo lawama nyingi ni za akina nani ? Wana JF ama ? Kati ya wasikilizaji milioni moja wakilalamika watu elfu moja sioni ubaya.Wachina wanasema iwapo utaona mmekaa zaidi ya watu kumi mnaongea na wote mnakubaliana kwa kila jambo basi hapo kuna jambo halipo sawa.

Hebu sasa mtoe ushauri wa redio mbadala, Kwani kusema kweli wasanii ni wengi sana hapa bongo na wote wanaiangalia clouds, na nina uhakika clouds haina uwezo wa kuwafikia wote. Toeni ushauri wa redio mbadala ya kukimbilia tuachane na hawa "wanyonyaji" Tulalamike na kutoa ufumbuzi jamani watanzania wenzangu.
 

hujui kitu katika masuala ya haki miliki PRODUCER NDIO MMLIKI WA BEAT WHILE ARTIST ANAKUA ANAKOPESHA BEAT HACHA UMBURURA.
 
hawa kina P FUNK Wanatumia kifo cha ngwair kujipatia umaaarufu ilhali walishafulia kitambo! huyu p-funk si ndio alikuwa anafukuza watoto wanaokuja kurekodi katika studio zake eti hawana swaga na vipaji?? watoto wale wakaenda clouds kule wakatoka kimasomaso
 
Ni wakati sasa Joseph kusaga uitishe mkutano na Wasanii wote wenye nyimbo zinazopigwa clouds ukae nao wasikilize kero zao
 
Clouds ni chanzo kikubwa cha kifo cha ngwea maana kama wasingemdondosha kwa maksudi kimziki na kumnyonya leo asingejiingiza kwenye madawa ya kulevya kuondoa stress,wasanii wengi wamejingiza kwenye madawa ya kulevya ili kujifariji na kupata kipato kujikiimu ila icngekua hivyo mziki ungekua unawalipa sasa wa jf tujiulizee leo ndo clouds wanaujua umuhimu wa ngwea kwenye jamii na kuuanza kuporomosha mvua ya nyimbo zake wakati alipokua hai hawakumpa promo ---- clouds fm
 
Pfunk ana haki na ya kukataa nyimbo zilizotengenezwa bongo rec zsipigwe clouds maana ana haki ya msingi kama producer
 

'kwani umesahau bhandugu kwamba kufa ni kufaana jombaa,ndo ivyo sio...'
 
mi naomba kuuliza maana nakumbuka nilishawahi kumsikia p-funk akisema kuwa ameshawahi kutumia madawa ila akaacha (katika mkasi) sasa je? na yeye alisababishiwa atumie kisa hao clouds au??
na kama aliweza kuacha mbona alishindwa kumsaidia ngwair na wale wengine wanaodaiwa wanatumia hayo madawa ili waweze kuacha!!
huu c muda wa lawama zaidi ni kumuombea marehemu apumzike kwa amani!!
 
hujui kitu katika masuala ya haki miliki PRODUCER NDIO MMLIKI WA BEAT WHILE ARTIST ANAKUA ANAKOPESHA BEAT HACHA UMBURURA.

comment yako inaonyesha nani mburura kati yangu na wewe.......death row wanamiliki kazi za Dre ambazo nyingine ka-produce dre mwenyewe.....
 
Huyu mnafiki leo ameibuka baada ya kusikia ngwea amekufa.naona anatafuta sifa sasa baada ya kuuwa vipaji vya wasanii wengi huku akiwafundisha na kupuliza majani ambapo kwenye studio yake ilikuwa kama makao makuu ya bhangi dsm
P funk aliliuwa kundi la daz nunda akitaka kila msanii atoe album yake ili apate dili huku daz baba na ferooz kuwaweka karibu sababu walikuwa watumia majani
P funk aliliuwa kundi la chamber squard kisa kupatana na ngwea kwenye kutumia majani
Huyu huyu alimshawishi jay kuachana na hbc ili yeye apate dili la kurecord nyimbo

Soggy na bizman w anamjua kwani pamoja na kufanya kazi naye kwa muda waliambulia nyimbo zao kufutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…