hahaha alafu baba amevaa hereni na shortsView attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.
Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Ulitaka kumaanisha mapacha ni mama tofauti pia😂😂😂🙌Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
Mbona ni warembo sana wanafanana na mama yao Kim, ni picha tu hawajatokea vizuri.Hela tu inawabeba. Hivi vya nyuma vibaya,vina sura ya kiume
Anawatoto wakubwa hao mapacha wana kaka yao...halafu kuna kijana hakosi 25 au 26 ndio mtoto wake wa kwanza diddyHalafu hata hivyo nimeshangaa kwa umri wa hao watoto na kwa tabia za black Americans wenye hela angekua na watoto wakubwa zaid ya hapo
Jamaa alikua mstaarabu sana. Tabia za getto aliziacha
Mapacha ndio mama yao marehemu,lady kpIlibidi awapeleke mwenyewe kwani wote ni minor hawawezi kusafiri bila mtu mzima. Huyu wa 15 mama yake ni marehemu.
Hahahahaaaaaaabado hujasikia kauli za viongozi wakisema Wananchi wamekubali Tozo. Lazima uchoke
Wamevaa Kiafrika sanaView attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.
Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Mkuu huku kibongobongo lazima uonekane mzee kutokana na mambo ya tozo za uzalendo mara tozo za majengo kwenye umeme mara hujakaa sawa unaambiwa hamia Burundi kwa hali kama hizi lazima utakuwa na stress za maisha na hatimae unazeeka kwa speed ya 5GAnaonekana kijana tu hata mikato yake ukilinganisha mtu wa umri huo kibongobongo
Hapa vibinti vimepiga vigauni utasema vitoto vya mchungaji, eh! Mdingi anapiga kinjunga.View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.
Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
HahahaCha mama yake
Kibongo bongo anashindia Pombe tuAnaonekana kijana tu hata mikato yake ukilinganisha mtu wa umri huo kibongobongo
Mbna wanaonekana kama wanatokea ngudu
wanawake mnatesa sana waume zenu...na wanaume hawajui kulalamika...heb ona like za hii post...utajua kuna shida....anyway endeleeni kulikeachana na hizo style..ukute una mke anakubully na kukusengenya utakua umekufa kabisa
HahahhaahaIla wakuu hivi mme-zoom kiatu alichovaa huyo pacha hapo nyuma lakini?