P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Wamevaa vizuri… Nimependa
 
Jigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana

Jigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana.
Kweli kabisa udogo nnaosemea hapa ni kimuziki maana tangu kitambo Didy alishaanza kuwa Mogul katika muziki maana alikuwa pale uptown Records kama A&R excutive kabla ya baadae kufukuzwa na kuunda label yake ya badboy Records wakati ambao Jay Z bado anahangaika kutoka kwenye maisha ya kigangster na kuwa mwanamuziki tayari Combs alishakuwa na jina
 
Yaani duniani kila mtu na mtu wake, jlo apinduwi kwa Ben jamaa alimpiga chini vibaya, sasa sijui jlo kaenda ku revenge.
🤣 itakuwa yaani mie huyu niwe na hela zangu nibwagwe kizembe alafu bado nirudishe majeshi aaah wapi
 
Back
Top Bottom