P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

Mwamba hajaoa ila anakula bata na wanae.

Kuna wanga utasikia "bila ndoa hakuna maisha" HAYA NI NINI?

#YNWA
Ilibidi awapeleke mwenyewe kwani wote ni minor hawawezi kusafiri bila mtu mzima. Huyu wa 15 mama yake ni marehemu.
 
Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
Ulitaka kumaanisha mapacha ni mama tofauti pia😂😂😂🙌
 
Halafu hata hivyo nimeshangaa kwa umri wa hao watoto na kwa tabia za black Americans wenye hela angekua na watoto wakubwa zaid ya hapo

Jamaa alikua mstaarabu sana. Tabia za getto aliziacha
Anawatoto wakubwa hao mapacha wana kaka yao...halafu kuna kijana hakosi 25 au 26 ndio mtoto wake wa kwanza diddy
 
It's easy to be Puff, but it's harder to be Sean
What if the twins ask why I ain't marry their mom (why, damn!)
How do I respond?
What if my son stares with a face like my own
And says he wants to be like me when he's grown
Shit, but I ain't finished growing....katika Watanzania wachache waliomuona Pdiddy live in stage ni Mimi alifanya show na Snoopy dog ..muwe na heshima na sio Bingo😂😂😂😂
 
View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Hapa vibinti vimepiga vigauni utasema vitoto vya mchungaji, eh! Mdingi anapiga kinjunga.
 
Huyo pacha mmoja kiatu chake kikubwa sana ila wenzetu mbele they dont care.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom