beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.
Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na Chama cha ACT-Wazalendo.
Uteuzi wa Othman Sharif unaanza leo na ataapishwa kesho Machi 02, 2021 Ikulu Zanzibar.
Pia soma

- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo
- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aikataa katiba
- Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Z’bar aibua mazito ya Katiba Mpya
- Othman: Shein akae pembeni, Jaji Mkuu aongoze Zanzibar
- Mwanasheria Mkuu Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana
- Aliyekuwa Mwanasheria mkuu Zanazibar: Masauni amelewa Pombe gani?
- Siri ya kutimuliwa AG wa Zanzibar siku 1 kabla ya makabidhiano ya rasimu hii hapa