ACT Wazalendo: Tatizo la Tanzania siyo Fundi Mkuu (Rais) bali Mkandarasi ( CCM). CCM Kazi imewashinda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud amesema tatizo la Tanzania siyo Fundi Mkuu (Rais) bali tatizo ni Mkandarasi ( CCM) Ndio ameshindwa Kazi

Masoud amewataka watanzania kuipa Kandarasi ya Uongozi ACT Wazalendo Watu wa KAZI

Credit: The Chanzo
 
KAZI GANI MMEWAHI KUIFANYA MPAKA TUWAPE NYINGINE KAMA SIO USALITI WA ZITTO KWA UPINZANI
 
Aliwekewa Sumu kwenye kitimoto, au alikula Sumu aina ya kitimoto?
 
Kigugumizi kimeanza. Utamuepushaje Fundi Mkuu na mapungufu ya Mkandarasi? Anataka CCM aondolewe lakini Rais abaki huyu huyu? Does it even make any sense?

Amandla...
 
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud amesema tatizo la Tanzania siyo Fundi Mkuu (Rais) bali tatizo ni Mkandarasi ( CCM) Ndio ameshindwa Kazi

Masoud amewataka watanzania kuipa Kandarasi ya Uongozi ACT Wazalendo Watu wa KAZI

Credit: The Chanzo
ACT inasubiri kuzikwa rasmi
 
..Act inaweza kufa huku Tanganyika.

..kwa upande wa Zanzibar Act haiwezi kufa.

..Act / Cuf ilikuwa imefungiwa toka 1964 mpaka 1992, na Ccm / Asp walibaki peke yao wakitamba. Lakini uchaguzi wa vyama vingi uliopitishwa mwaka 1995 Act / Cuf waliibuka kidedea.
Subiri uone, nguvu ya Maalim haipo tena
 
Kigugumizi kimeanza. Utamuepushaje Fundi Mkuu na mapungufu ya Mkandarasi? Anataka CCM aondolewe lakini Rais abaki huyu huyu? Does it even make any sense?

Amandla...

tatizo ni uislamu, angekuwa raisi mkristo ungesikia matusi angetukanwa na kejeli ambazo angepewa.
Dunia nzima hakuna mtu analaumu chama mambo yakienda hovyo bali kiongozi wa chama ambaye ni raisi wa nchi, tanzagiza hatuchagui chama kama AK au Ulaya bali tunachagua mtu raisi kama USA hivyo nchi ikishindwa kama ilivyo sasa hivi tatizo ni raisi na siyo chama …
 
Nchi haijashindwa, BoT wamesema mzunguko wa noti za 10,000 mtaani umeongezeka kwa 43%
 
fungua tu mlango wa nyumba yako na angalia jirani yako anavyoishi achana na mambo ya bot, nchi ambayo karne ya 21 mtu literary anakufa njaa halafu m slamu anafanya birthday na kukata keki …
 
Back
Top Bottom