Hata mm simkubali lkn ngoja tuone!Huyu hafai ataharibu nchi
Prominent past members of the African Network of Constitutional lawyers https://ancl-radc.org.za/user/2136 Member for 1 year 9 months John Palamagamba Kabudi
About:
Dr Juris, LLM, LLB
The ANCL is an association of judges, lawyers, academics, activists, NGOs, research or academic institutes and bar associations that are interested in constitutional law and the development of constitutionalism in African countries. https://ancl-radc.org.za/member?page=4
Anafaa nani sasa mmeoHuyu hafai ataharibu nchi
Things change mkuu.CCM hawajawahi kutaka Umoja wala maridhiano. Haya maridhiano unayoyaona ni baina ya Mwinyi na ACT bali si CCM na ACT kama ilivyokua ya Karume na CUF na si CCM na CUF, na ndio maana baada ya Kurume kuondoka madarakani tu kila kitu kilivurugika.
CCM wa Zanzibar ni wabaya Zaidi kuliko hata CCM wa bara.
no ni crusader huyoHuyo siyo jihadist kweli.
Samlimie Vuga ChachechacheKaribu tena
Bora afukuzjwe kwa kutetea haki kuliko kuwa mpumbavu wa kushangilia upumbavuAkileta ujinga atafukuzwa tena
We Mtanganyika yanakuhusu nini. Hayakuhusu.Huyu hafai ataharibu nchi
Katika simulation ya Mapinduzi Zanzibar kulikuwa na Waziri mmoja akiitwa Othman Sharriff, je, ndiye huyu, I mean ni wa uzao huu? Kama ni hivyo basi Zanzibar I ekwisha, kwa vile vyeovyote wanachukya uzao wa waaasisi wa ASP walioigomboa Zanzibar utumwani. Is thi so?Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.
Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na Chama cha ACT-Wazalendo.
Uteuzi wa Othman Sharif unaanza leo na ataapishwa kesho Machi 02, 2021 Ikulu Zanzibar.
Pia soma
- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo
- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aikataa katiba
- Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Z’bar aibua mazito ya Katiba Mpya
- Othman: Shein akae pembeni, Jaji Mkuu aongoze Zanzibar
- Mwanasheria Mkuu Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana
- Aliyekuwa Mwanasheria mkuu Zanazibar: Masauni amelewa Pombe gani?
- Siri ya kutimuliwa AG wa Zanzibar siku 1 kabla ya makabidhiano ya rasimu hii hapa
Ashangilie au asishangilie haitusaidii wala kukusaidia, ni faida na hasara ya familia yake, haya mengine ni mbwembwe tu. Hata marehemu Maalim alishalitambua hilo.Bora afukuzjwe kwa kutetea haki kuliko kuwa mpumbavu wa kushangilia upumbavu
1 Oct 2014
Mwanasheria Mkuu Zanzibar aibuka BMK, apiga kura kukataa Ibara muhimu Katiba inayopendekezwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.