.................... hapo pakujua yupi ni wa kweli na yupi wa kuchonga ndio patamu na yupi alitundikwa MSALABANI kwa "KUFURU" fanya hiyo home work yakujua ni wa kweli ili upate kweli !:happy:
Jangwani maji ni mali kubwa sana we fikiria…… waamerika wakiingia hapo hayo maji wanaweza kukuletea mpaka bongo wakakuuzia kibepari. Huuo ndo mchezo mbaya wanaofanya wenye nguvu dunia hii wewe unaweza zania maji siyo kitu lakini huko majagwani ni almasi mafuta hayafikii hapo.yaani massive water project ndio iwe sababu ya US kuwa jealous na kutafuta sababu ya kuipa kibano Libya? Kwa hiyo na JK na CCM nao wakianza ile Stiegler project na kuanza kuijenga Kigamboni satellite city na sisi TZ tutavamiwa? Labda kama sijakuelewa
Sheikh Osama hajafa
Noriega aliyekamatwa na Bush Sr. alikuwa feki. Noriega original yuko Colombia
Sadam yu hai. Yule alienyongwa ni feki/double wake
Carlos the Jackal bado hajakamatwa. Wamemkamata Carlos feki
2Pac is still alive and kicking!
Elvis Presley hakufa
Obama was born outside US
Princess Dina hakufariki, yule aliepata ajali was fake!, inasemekana anaishi na mtoto wa Al Fayed ktk kisiwa kimoja cha makazi ya siri
Sept 11 ilitengenezwa
Nyerere aliuliwa na mama Maria
JK ni mnyarwanda tena toka ukoo wa Kagame
Sokoine aliuwawa na JKN
NASA hawakutua kwenye mwezi
Mandela ni freemason
Babu wa Loliondo ni mradi wa Lowassa na Rostam
Shekilango, Namfua, Kleruu, Sokoine, Kolimba, Gov. Rutihinda, Prof. Malima waliuawa kwa siri
Balali yuko hai amefanyiwa plastic surgery na anaishi Mbezi beach
Dr. Slaa ni CCM damu
JFK yuko hai na anaishi makazi ya siri South America
Hitler yuko hai anaishi Argentian ila ni mzee sana
Polycarp Pengo ni mafioso
Mama Lwakatare is a freemason
Kakobe is a cult
Freeman ni CUF damu
Na mengineyo meeeengiiiiii
Kwani waarabu/Al Qaida wao hawawezi ku-hack na kuposti chochote?
................ "SHAKA" ni pale YESU anaposema 'Bwana MUNGU wetu ni MUNGU MMOJA mpenda kwa akili zako na nguvu zako zote, hawa watatu ndio shaka yenyewe !(3=1) hiyo hesabu wengi wameshindwa kuproof !:happy:
I thought BBC website is one of credible 'sources'..
Jangwani maji ni mali kubwa sana we fikiria…… waamerika wakiingia hapo hayo maji wanaweza kukuletea mpaka bongo wakakuuzia kibepari. Huuo ndo mchezo mbaya wanaofanya wenye nguvu dunia hii wewe unaweza zania maji siyo kitu lakini huko majagwani ni almasi mafuta hayafikii hapo.
Dubai wamekopeswa madeni kibao kwa maprojec yao na nimakampuni ya mabepari ndo yanabeba hela uko.. zile projects za Qadafi ni bila deni siwalimukea vizuizi miaka hiyoo. Sasa wanataka wapeleke madeni huko libya wakiweka kibaraka wao hapo iwe kama bongoDubai kuna projects kibao tena kiboko, wamevamiwa? Your argument doesn't hold any water!
Dubai wamekopeswa madeni kibao kwa maprojec yao na nimakampuni ya mabepari ndo yanabeba hela uko.. zile projects za Qadafi ni bila deni siwalimukea vizuizi miaka hiyoo. Sasa wanataka wapeleke madeni huko libya wakiweka kibaraka wao hapo iwe kama bongo
Musa alikuwa taifa gani na aliua mtu wa taifa gani? Jifunze kwenye hilo! Ila naona huku hatuko kwenye malumbano ya dini. Turudi kwenye mada. Osama hafai!
Siku zako za kufa zefika nini mkuu! Maana mtu anayetegemea kuiona kesho hawezi kusema hii kitu hii!
This OBL had a very cunning brain! Rest in peace of hell comrade.
Wenye mpepo hawawezijua hiyo! Waachie waliotakaswa akili.
Na hutakiwi sana ujue maana chakula cha watoto wakati mwingine ni makosa kuwapa ..............wa!
Hebu tembelea haka kaukurasa hapo online uone jinsi ilivyo kuwa hapo2005 na utofautishe na 2009-10 mzee Qadafi alipoanza kutumia zile ela alizokuwa anawekeza kwa jeshi katika maaendeleo.Umeshafika Libya na kujionea hali halisi ya watu na maendeleo yao? Nakushauri ufike ujionee halafu ndio utaona kwa nini watu wana usongo na Colonel. Nilikuwa huko last year, inatia aibu nchi yenye utajiri wa wese kama ile wakati kila kitu ni shaghalabagala, raia wengi ni maskini na hawana mbele wala nyuma. Tembea ujionee.
................ Mafundisho mema huwezi kuwapa NGURUWE ! ndio maana NGURUWE wamemzushia MUNGU kuwa ana MTOTO !! Hakika MWENYEZI MUNGU AMETAKASIKA, YEYE HULIAMBIA JAMBO........ "KUWA" nalo "LINAKUWA". Alimuambia ADAM kuwa na akawa !:happy: