Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Osama gani huyo alikuwa bado kijana namna hiyo.Mhhhh

Hii ni prikisi za kumrudisha Obama kumalizia miaka 4. walimuonyesha Saadam walivyomnyonga ndo nje Osama?
 
Intense interest surrounds dog who may have participated in bin Laden raid.

doggle.jpeg


Americans are fascinated by the anonymous U.S. Navy SEALs who daringly raided Osama bin Laden's Abbottabad, Pakistan compound this week, but one canine commando is attracting especially fervent interest.
According to the New York Times and the British tabloid The Sun, a military dog (not pictured) was strapped onto one of the assault team members as he was lowered out of a Black Hawk helicopter and began the operation that killed the notorious terrorist on Monday. But who is this canine hero?
Sadly, we know very little, and the Pentagon hasn't confirmed that a dog was even on the mission, much less release information about the canine's name or breed.
"Little is known about what may be the nation's most courageous dog," the Times' Gardner Harris writes. He speculates that the dog was most likely a German shepherd or a Belgian Malinois, since those are the breeds most often found in the military's 2,700-strong military dog program. (A new breed, however, is becoming popular with the troops. Labrador retrievers have begun to "wander off-leash 100 yards or more in front of patrols to ensure the safety of the route.")

The Pentagon and White House are keeping tight-lipped about the details of the operation, but that, of course, hasn't prevented commentators from speculating on the dog's role based on the functions of other war dogs in combat. "It's possible that the commandos brought a specialized search dog, which would have been sent in ahead of the humans to find explosives or people hidden inside the building," Slate's Brian Palmer writes. Or the dog could have been a "combat tracker"--canines who are specially trained to sniff out individuals and then follow their trail. Saddam Hussein was found in a hole under a hut--the assault team could have decided that they needed a good tracking dog in case bin Laden had a similar idea.
Dogs are increasingly important in America's combat operations abroad, and some have been outfitted with special (and adorable) "doggles" to protect their eyes, oxygen masks to protect their lungs as they parachute out with soldiers at high altitudes, and even waterproof vests that contain infrared cameras that transmit video back to servicemen watching a monitor yards behind them. Check out Foreign Policy's beautiful photo essay on military dogs here.
Luckily for this courageous and anonymous furry creature, there is some precedent for war dogs receiving military honors. The Navy awarded a Silver Star in 2009 to a dog named Remco who gave his life charging "an insurgent's hide-out in Afghanistan," Harris writes. According to Foreign Policy, another dog named Eli fiercely guarded his Marine, Private First Class Colton Rusk, after he was shot by Taliban sniper fire in Afghanistan. Rusk's bomb-sniffing dog would not even let fellow Marines approach the wounded Rusk, who did not survive the attack. Eli now lives with Rusk's family.
The dog's role was not mentioned in any of the public White House press briefings on bin Laden's death. Pentagon spokeswoman Elizabeth Robbins wrote in an e-mail to The Lookout in response to our question about the dog that the Pentagon has "no additional operational details, or comments on operational details, to make at this time."
(Doggles: image from the U.S. Army's Flickr photostream)
 
doggle.jpeg

Mbwa huyu pia katika mauaji yaliyosababisha kifo cha Osama Bin Laden kama wamarekani wanavyodai kua wamemuuwa naye pia alipatikana katika tukio hilo! Ni mengi sana tutayashuhudia na kuyaona kwenye tukio hili la kihistoria.
 
Sawa yawezekana mbwa aliuwawa ila kuhusu osama bado ni utata na kula nying zinasema tukio hilo la juz linaloelezea kifo ni maigizo tu yaliyoambatana na siasa .
 
Watu wanadhani ya kuwa Osama bin laden alikuwa adui wa marekani lakini ukweli ni kuwa Osama alikuwa rafiki kipenzi cha marekani
 
doggle.jpeg

Mbwa huyu pia katika mauaji yaliyosababisha kifo cha Osama Bin Laden kama wamarekani wanavyodai kua wamemuuwa naye pia alipatikana katika tukio hilo! Ni mengi sana tutayashuhudia na kuyaona kwenye tukio hili la kihistoria.

dah....bonge la dogii......halafu hiyo miwani amevaa si ndio zile.......?
 
Alikuwa kipenzi pale alipocheka kwenye video wakati akielezea ndege ilivyoangusha jengo. Alikuwa rafiki pale alipotoa pesa ya kuwahudumia magaidi kulipua ubalozi wa TZ na Kenya na kuuwa wa TZ na wa Kenya. Alikuwa rafiki wa Marekani alipokimbia Afighanstan. Alikuwa rafiki wa marekani alipouliwa!!.
 
<font size="2"><font color="black">Watu wanadhani ya kuwa Osama bin laden alikuwa adui wa marekani lakini ukweli ni kuwa Osama alikuwa rafiki kipenzi cha marekani</font></font>
<br />
<br />


Unatoka usingizini au umekunywa Ugimbi?
Hauwezi kutoa hoja halafu hauifanyii utetezi!!
 
Wanaobisha Osama hajauawa hayeni, but Marekani uwezo wa kumkamata USAMA inao na hilo liko wazi! tusichukulie mambo kshabiki tuuu, Hivi wewe unadhani mtu mwenye position ya rais wa nchi kama Obama anaweza kutoa uongo kama huo bila woga hata kidogo!

Au nafikiri Naye ni kama raisi wetu kilaza! Hewala wa kuchakachua!
think big mkubwa hao watu wajuu na wenye elimu ndio waongo wakubwa hasa wanapotaka kupata kitu flani au kuaminika kwa jambo flani.ok na huyo rais unayemuamini wewe pia kadanganya kwa ufundi mkubwa ikiwa ni moja ya kampeni kisiasa.*
 
................ Mafundisho mema huwezi kuwapa NGURUWE ! ndio maana NGURUWE wamemzushia MUNGU kuwa ana MTOTO !! Hakika MWENYEZI MUNGU AMETAKASIKA, YEYE HULIAMBIA JAMBO........ "KUWA" nalo "LINAKUWA". Alimuambia ADAM kuwa na akawa !:happy:

TATIZO LAKO HUJUI NI KWANINI YESU ALIPITIA KWA MWANAMKE!
NA PIA ALIYETAMKA NENO LA CHAKULA CHA WATOTO USIWAPE MBWA NI YEDU HUYO HUYO NA SIYO ASSA. NAFIKIRI UNGEHANGAIKA ZAIDI NA QURAN ACHANA NA BIBLE NDG HAIKUHUSU KWA SASA LABDA UKIAMUA KUBADILIKA.
NAKUSHAURI KWA HILI TUACHANE NALO MAANA KILA MTU ANA UHURU NA IMANI ANAYOTAKA,HATA AKIAMUA KUMWABUDU MKEWE AU MBWA AU JINI. CHA MSINGI NA CHA SEKONDARI WATANZANIA TUPENDANE HATA KAMA IMANI NI TOFAUTI.
NAFIKIRI HABARI YA OSAMA NA MAREKANI ZOTE HAZINA MSINGI, MAANA WOTE NI WAOVU TU. WAUAJI WOTE WADHAMBI TU.
TUANGALIE TUSIJESHABIKIA KWA JIRANI NA KWETU KUNAFUNGWA GOLI.
TUPENDANE WATZ, WAPAGANI, WAKRISTO, WAISLAM, BUDHA,Hindu hata marasta. Kataa huu ndio ukweli maana Mungu ndiye hakimu mkuu
 
...................... Usiwe na wasi wasi ! ametakasika nabii Issah (YESU) na Uzushi wenu, yakuwa MUNGU alivishwa nepi na akawa anakula mikate ! na akaenda choo !

Siwezi jibizana na wewe tena maana nimeshajua akili yako iko wapi! Maandishi yako yanakutambulisha. Thanx Watz tuwe wamoja pia dini ikitugawa hiyo yatokana na shetani haijalishi ni dini gani hiyo. Turudi kwenye topic
 
Alikuwa kipenzi pale alipocheka kwenye video wakati akielezea ndege ilivyoangusha jengo. Alikuwa rafiki pale alipotoa pesa ya kuwahudumia magaidi kulipua ubalozi wa TZ na Kenya na kuuwa wa TZ na wa Kenya. Alikuwa rafiki wa Marekani alipokimbia Afighanstan. Alikuwa rafiki wa marekani alipouliwa!!.
wamarekani walilipua hili wapate sababu za kushambulia nchi za watu na ndio maana walishambulia Iraq na kupata sababu ya kuweka majeshi yake kwenye nchi zenye mafuta na rasilimali
 
Picha hizi za kutisha za maiti za watu waliouliwa ndani ya nyumba ya Osama bin Laden unaweza ukaziona lakini picha za maiti ya Osama bin Laden mwenyewe hautaiona kamwe kwani rais Barack Obama wa Marekani ameishatangaza kuwa picha hizo hazitatolewa kamwe.
Picha hizi za kutisha zinaonyesha maiti za wapambe wa Osama bin Laden ambao waliuliwa wakati kikosi maalumu cha jeshi la Marekani kilipovamia nyumba ya Osama bin Laden na kumuua Osama bin Laden.

Picha hizi zilipigwa na maafisa usalama wa Pakistan ambao waliingia kwenye nyumba ya Osama bin Laden mapema asubuhi ya jumatatu baada ya Marekani kuvamia kwenye nyumba hiyo kumuua Osama bin Laden na kisha kuondoka na maiti yake.

Maafisa usalama wa Pakistan ambao hawakutaka kutaja majina yao walizipiga picha hizo na kisha kuziuza kwa gazeti la The Gurdian la Uingereza.

Shirika la habari la Reuters limethibitisha kuwa picha hizo ni za kweli na zilipigwa eneo la tukio.

Kuhusiana na picha ya maiti ya Osama bin Laden, Rais Barack Obama wa Marekani alisema kuwa picha hizo hazitaonyeshwa kamwe kwani zitasababisha mtafaruku na pia zitatumiwa na wapinzani wa Marekani kueneza propaganda za chuki.

Rais Obama alisema kuwa picha za maiti ya Osama bin Laden hazitatolwa na wala picha au video zake wakati akizikwa hazitatolewa lakini aliwahakikishia watu kuwa Osama ameuliwa kweli na kamwe hataonekana tena akitembea kwenye ardhi ya dunia hii.

Gonga linki chini kuona picha za hali ilivyokuwa ndani ya nyumba ya Osama bin Laden na picha maiti za watu waliokuwa ndani ya nyumba hiyo.

ONYO: PICHA ZINATISHA KAMA UNA MWEPESI USIANGALE!!


NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
 
................ "SHAKA" ni pale YESU anaposema 'Bwana MUNGU wetu ni MUNGU MMOJA mpenda kwa akili zako na nguvu zako zote, hawa watatu ndio shaka yenyewe !(3=1) hiyo hesabu wengi wameshindwa kuproof !:happy:

Acha kusema takataka weye. Kolani lenu limejaa SHAKA, na halijanyooka ndio maana allah wenu akatunga Sahihi Hadeeth kuziba MASHAKA ndani ya KOLANI.

Zaidi ya hapo, lete aya kutoka Biblia inayosema hayo maneno yako, usikimbie weye. Nyie Maislam mnaabudi ALLAH, na allah wenu kesha sema kuwa HAKUNA MUNGU ILA ALLAH NA MAREHEMU MUHAM-MAD.

Lete aya tuone Allah anaposema MIMI ALLAH NI MUNGU.
 
Mambo ya kufikirika, japo inakuuma lakini kitu kimoja kinabaki - Osama will never walk on planet earth again!!! Obama nae atapita kama sisi sote lakini angalau tutaishi siku kadhaa bila OBL!! Hakuna mchezo wowote hapa - Osama ni marehemu!!
Osama ni marehemu kweli lakini kifo chake hakikutokea Jumapili ya Mei mosi kwa kuvamiwa nyumba kule Abottabad.Mchezo walioucheza usalama wa Pakistan na CIA wameshindwa kujipanga vizuri.Vyenginevyo Mungu kawatia kizunguzungu kwa uovu wao.Hapo ndipo ninapoona maiti ya Osama ndiyo itakayompiga Obama.
Tayari hata Marekani kwenyewe wanataka picha na hata UN,picha hakuna na haitowezekana kuzipata.Katika ulimwengu huu kudanganya kwa kutengeneza ni tabu watu watagundua.Hivyo visingizio vya kuzuia picha vitamfanya raisi mzima aitwe muongo na hapo ndipo atakapoangushwa kwenye uchaguzi.Kumbuka Bush kwa vita hii aliondoka madarakani akiwa dhalili na hata watu kujiamini kumrushia viatu.Obama haya yako njiani kumkuta kutokana na Osama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom