Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Unajua kumbe! Ila unatakiwa ujue hata watoto wa baba mmoja hawalingani. Na hata urithi hawawezi kupata sawa, hata kupendwa hawapendwi sawa ingawa mzazi ni mmoja

............. kwa waislaam wototo wote urithi wao ni sawa ! hilo halina mjadala, kuchaguwa mtoto wa kumpenda ........... hiyo ni sifa ya kiibinaadam inaeleweka, lakini si sifa ya kiuungu ! Mungu sio msahaulifu, Mungu hujua ya kesho ! binaadam hana sifa hizo. Tia akili !:happy:
 
Huyu Al-Zahawir kwa mi ninavyojua ndio the most dangerous terrorist ever..ontop of that he is also proffessional,na huyu ndie inasadikiwa alikuwa dokta wa Osama.he is physician actually. Osama alikuwa well-world knw kwa sababu yeye ndiye alikuwa msemaje wa matukio, lakini kwenye ishu za intelegensia na practical field huyu Zahawir ni next level...wamarekani hawawezi kulala hata siku moja kwa sababu ya huyu mtu. Na hii ni kutokana na ukimya wake....coz anatunga sharia sasa hivi.
 
Baada ya ustaarabu kushinda watu naona hii ni "Halali ya Mshenzi" Wameua ndugu zetu...hawana budi kufa as well!
 
Hiyo list mbona iko mitandaoni siku nyingi tu nenda
FBI - Most Wanted Terrorists
FBI - Ten Most Wanted

Mkuu usijihangaishe. Hawa vijana bado wanahangaika na laana ya ngozi nyeusi. Hawafuatilii mambo. Suala la Al-Zawahir linafahamika miaka kibao sasa. Wao wanaona hii ni ishu mpya. Achana nao. Hangaikia maendeleo ya nchi yako, utaishia kubishana na watu wanaoendekeza emotions badala ya hoja na utafiti. Wao mambo ya dini ni kama Yanga na Simba. Sasa hivi thread hii itageuka mahubiri na mihadhara.
 
Unamwaminije mtu mwongo wewe? Mtu ambaye hata hakujua anakoenda akifa akawaomba mumswalie! Ajabu! Hata mjinga hakosi wa kumsindikiza kumbe, ilimradi tu umewapofusha kwa majini.

........................ Wewe ni muimbaji wa mapambio tu ! Muhammad SAW ni bin adam, kama YESU alivyojiita mwana wa ADAM mara kadhaa katika BIBLIA. Ibrahim, Musa, Yakobo, Harun, Daudi, Suleiman ! hawa walikuwa malaika ? Musa alionywa na Mwenyezi MUNGU kwa Hasira zake, na MUSA aliua "MTU" kwa mikono yake, unalijua hilo !:happy:
 
........................ Wewe ni muimbaji wa mapambio tu ! Muhammad SAW ni bin adam, kama YESU alivyojiita mwana wa ADAM mara kadhaa katika BIBLIA. Ibrahim, Musa, Yakobo, Harun, Daudi, Suleiman ! hawa walikuwa malaika ? Musa alionywa na Mwenyezi MUNGU kwa Hasira zake, na MUSA aliua "MTU" kwa mikono yake, unalijua hilo !:happy:

wewe subiri tu mabikira 100 wanakusubiri ahera, kwani mtume Osama Bin Laden ameshatangulia kwenda kuwaandalia.
 
Pia ujue Isaah siyo Yesu! Mmoja kazaliwa chini ya mtende, mwingine kwenye hori la ng'ombe! Hadi hapo hujajua tu kuwa mmoja ni wa kweli na mwingine ni kivuli? Hata matendo na vifo vyao havijafanana bwana.

.................... hapo pakujua yupi ni wa kweli na yupi wa kuchonga ndio patamu na yupi alitundikwa MSALABANI kwa "KUFURU" fanya hiyo home work yakujua ni wa kweli ili upate kweli !:happy:
 
Kwani jamani watu kuacha wosia lazima wajue watakufa karibuni?
Mbona na mimi nimeandika wosia japo ni mzima wa afya tele? Sembuse Osama aliyejua anawindwa usiku na mchana!

Mkuu kwani wosia wako ulioandika unatembea nao mfukoni?

Huo wa Osama wameupata wapi?

Unless tupate taarifa za ziada za wapi wamepata wosia huo, nitaendelea kuwa upande wa wale wanaotilia shaka taarifa hizo
 
Mkuu kwani wosia wako ulioandika unatembea nao mfukoni?

Huo wa Osama wameupata wapi?

Unless tupate taarifa za ziada za wapi wamepata wosia huo, nitaendelea kuwa upande wa wale wanaotilia shaka taarifa hizo

Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha Osama aliuwawa sokoni na sio nyumbani kwake! Masheikh wenzake wanalia wewe bado unatilia shaka taarifa, karagabao.
 
Msitake kulazimisha kitu ambacho hakipo, ebo mbona Mkapa hatokei popote anapoalikuwa na JK na hatuulizi? Bush kama Republican hataki kumpa ujiko Obama (democrat) especially kwenye kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi, Alishatoa press release na kutoa pongezi hiyo inatosha vile vile tangu ameondoka madarakani amekuwa haonekani sana hadharani.

Hakuna anayetaka kumlazimisha mtu chochote, bali tulikuwa tunawaza kwa sauti tu!!!

Na jinsi taarifa zinavyokwenda zikijipindua, tutasikia mengi tu kabla vumbi halituama!
 
KUNDI la Al Qaeda, huenda likamteua Ayman al Zawahiri, ambaye ni mzaliwa wa Misri, kuwa kiongozi wake, baada ya kuuawa kwa muuasisi wake, Osama Bin Laden, mapema wiki hii.

Maofisa wa usalama wa ngazi za juu nchini Marekani wamesema ingawa hakuna mambo mengi yanayojulikana kuhusu Zawahiri, lakini ndiye mtu aliyekuwa wa karibu na bin Laden.

Imeelezwa kuwa mtu huyo ndiye aliyekuwa akipanga mashambulizi kadhaa dhidi ya Marekani.Kutajwa kwa Zawahiri katika kumrithiri bin Ladeni, kumetokana na watu kumwelezea kuwa ni mtu jasiri na anayeweza kutetea kile anachokiamini kuwa ni haki. Lakini wanamtandao wengi wa Al-Qaeda, hawamwamini kutokana na tabia yake ya kuamini kuwa anachofanya yeye ndicho sahihi zaidi na kusimamia imani hiyo bila kukubali kubadilika.

Bin Laden aliita namna hiyo ya kudai haki kuwa vita ya jihadi au vita vitakatifu dhidi ya Marekani.


Mmarekani ana bahati kua they already know Ayman al Zawahir hivyo they will always beware and be wary of him; Issue iko kwa born agains ambao wako brainwashed and so obssesed na Bin Laden plus his beliefs and principles... These people with the willing, focus, means are very dangerous; huwezi na ni vigumu kumtushia mtu yoyote ambae anaamin kifo chake its a blessing to God, his society and the his/her future generation.

Lakini hata hivyo lets watch and see....
 
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha Osama aliuwawa sokoni na sio nyumbani kwake! Masheikh wenzake wanalia wewe bado unatilia shaka taarifa, karagabao.

Sitilii shaka kifo chake mkuu, natilia shaka wosia, kwamba:

-Amezuia watoto wasijiunge al qaeda

-Kwamba wake zake wasiolewe tena ( Hii sio kanuni za Waislamu- mke ana haki ndani ya uislamu kuamua kuolewa au asiolewe baada ya kifo cha mume, kumkataza asiolewe ni kunyume na uislamu)

-Hayo mkuu wangu ndio kati ya machache yanayonipa mashaka juu ya wosia huo.
 
Many people say that "Since Osama admitted that he planned the september 11 attacks in one of those videos", then conclude that really he was the perpetrator of those attacks!. but never questioned the authenticity of those videos!.

However There are accounts in which Osama denied strongly about his involvement in those attacks. here is an interview with Ummat Newspaper of Pakistan in 2001, in which he strongly rejected any involvement!. here is a link for that interview.

Bin Laden Denies Involvement in the 9/11 Attacks , page 1

My Take: One day i hope, the truth about september 11 attacks will come out!!
 
Mkuu usijihangaishe. Hawa vijana bado wanahangaika na laana ya ngozi nyeusi. Hawafuatilii mambo. Suala la Al-Zawahir linafahamika miaka kibao sasa. Wao wanaona hii ni ishu mpya. Achana nao. Hangaikia maendeleo ya nchi yako, utaishia kubishana na watu wanaoendekeza emotions badala ya hoja na utafiti. Wao mambo ya dini ni kama Yanga na Simba. Sasa hivi thread hii itageuka mahubiri na mihadhara.

mkuu labda hujaelewa nilichomaanisha, nilifikiri baada ya kuuliwa kwa Osama Mambo ya kupiga na kukalia nchi za watu eti wanatafuta Gaidi yangepungua, wamemtoa Osama sasa wanasema Al-Zawahiri ndio mtu tishio zaidi so bado wataendelea kukalia nchi za watu kisa wanamtafuta, kama Tanzania kungekuwa na mafuta usishangae wangekuja hapa pia kujidai wanatafuta magaidi..... mpaka lini???
 
Sitilii shaka kifo chake mkuu, natilia shaka wosia, kwamba:

-Amezuia watoto wasijiunge al qaeda

-Kwamba wake zake wasiolewe tena ( Hii sio kanuni za Waislamu- mke ana haki ndani ya uislamu kuamua kuolewa au asiolewe baada ya kifo cha mume, kumkataza asiolewe ni kunyume na uislamu)

-Hayo mkuu wangu ndio kati ya machache yanayonipa mashaka juu ya wosia huo.

Kwahiyo kuuwa watu ndio mafundisho ya uislamu?
 
My take is that no matter who was behind the attack I am pretty sure even if Bin Laden was not behind it he was in some ways connected. Unfortunately I pity the US for how they have resolved the issue simplifying matters which has been their main headache for 10 years plus millions of dollars.

The conclusive part of whether Bin Laden was behind the 9/11 attacks or not are drawn directly from his quotes, principles and hate he had on the Americans. To him the Americans where nothing but animals who deserved to die... from his Fatwa the following is part of his whole fatwa;


First, for over seven years the United States has been occupying the lands of Islam in the holiest of places, the Arabian Peninsula, plundering its riches, dictating to its rulers, humiliating its people, terrorizing its neighbors, and turning its bases in the Peninsula into a spearhead through which to fight the neighboring Muslim peoples. If some people have in the past argued about the fact of the occupation, all the people of the Peninsula have now acknowledged it. The best proof of this is the Americans' continuing aggression against the Iraqi people using the Peninsula as a staging post, even though all its rulers are against their territories being used to that end, but they are helpless.

And thus when he say that he was not involved.... Logically who would believe him??? This is a part of his speech of denial... As much as he is refusing his words are very contradictory..

I have already said that I am not involved in the 11 September attacks in the United States. As a Muslim, I try my best to avoid telling a lie. I had no knowledge of these attacks, nor do I consider the killing of innocent women, children and other humans as an appreciable act. Islam strictly forbids causing harm to innocent women, children and other people. Such a practice is forbidden even in the course of a battle. It is the United States, which is perpetrating every maltreatment on women, children and common people of other faiths, particularly the followers of Islam. All that is going on in Palestine for the last 11 months is sufficient to call the wrath of God upon the United States and Israel. There is also a warning for those Muslim countries, which witnessed all these as a silent spectator.
What had earlier been done to the innocent people of Iraq, Chechnya and Bosnia? Only one conclusion could be derived from the indifference of the United States and the West to these acts of terror and the patronage of the tyrants by these powers that America is an anti-Islamic power and it is patronizing the anti-Islamic forces. Its friendship with the Muslim countries is just a show, rather deceit. By enticing or intimidating these countries, the United States is forcing them to play a role of its choice. Put a glance all around and you will see that the slaves of the United States are either rulers or enemies of Muslims.


Read the rest here 911review.com...
 
Asha D, in those Quotes which you have quoted!, Osama has only aired his discontent on the American policies just like much of the Arab Population do ,but not on the American civilians, the statement of Americans being Animals is yours , it is not found anywhere in that article.

Concerning the issue of believing or not believing him, You and I, and everybody should demand and find the truth, most of us have heard one side of the story, we haven't heard or taken any trouble to hear the other side.

Why should all allegations against Osama be conclusive that it is indeed he who had done all those stuffs, why dont you ask yourself if indeed it is he who is the mastermind of september 11, while he had on numerous occasion denied his involvement?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom