Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Hapa sasa hivi tunajadili picha zinazohusiana na kifo cha Osama zilizotoka.Ikitoka na ya Osama tutaendelea.....
Inakuwaje maiti wote watatu wamekufa namna moja kwa kulala chali na wote wamelalia damu nyingi mno.Si lazima mtu atoke damu yote mwilini ndipo afe.Mmoja wapo amevaa kanzu safi kama kwamba alikuwa msikitini na si yule aliyeshtushwa na kishindo kikubwa cha vita.
Picha inayoelezwa ni ya Khalid Osama inaonekana kama kwamba imevimba hasa mikononi.Kwa taarifa zilizotoka haikuchukua muda mpaka askari wa Pakistan walipokuja kupekuwa ile nyumba.Huyu Khalid kama ni kupigana ndiye alikuwa mkali zaidi mbona hana dalili za kifo cha mtu aliyechoka.
Kuhusu picha ya mke wa Osama na hata hao maiti wote si lazima ziwe za 2 MAy 2011.Nijuwavyo vyombo vya usalama huwa vina rundo la picha za matukio mbali mbali.Inawezekana kama ni Khalid kweli ni ya zamani ilitunzwa tu ifae baadae.
Osama mwenyewe alikwishatenganishwa na ndugu na marafiki zake zamani.Taarifa za wake zake na watoto hakuna wa kuzitetea kwa kuzikulbali wala kuzikataa mbali na CIA na ISI.Huyu sheikh juhudi yake kubwa ilikuwa ni kujificha na kuombea dua vita dhidi ya Marekani na washirika wake.Hakuhitaji compyuter za ofisi wala mafaili.Na hivyo vya nini wakati dalili inaonekana alikuwa kifungo cha nyumbani chini ya ISI na CIA? mpaka hapo alipokufa yapata miaka 3 iliyopita.

Vyovtote iwavyo ISI ya Pakistan na CIA ni kitu kimoja na wanashiriki mchezo huo huo huku wakilindana kinamna.Makeke ya waziri wa mambo ya nchi za nje wa Pakistan ni makelele ya bure wala hajui kinachoendelea.Na Pakistan haina tena huo uwezo kujilinda na kutoa funzo kwa Marekani au taifa jengine likitaka kuingia na kufanya operesheni nchini mwake kama alivyojidai huyu waziri.Wangekuwa ni wakweli wangefanya hivyo au angalau kuwa pamoja na wanacnhi wao wenye ghadhabu wanaouliwa kila leo.Wangekatisha mahusiano na Marekani ndipo wangeeleweka.
 
Osama: Umetuletea balaa na tafran kubwa huku ughaibuni hasa huku US. Kabla ya Sept 11 kila kitu kilikuwa shwaaaaaariiiiiiiii tambarareeeeeeeeeeeeeeee. Umeleta balaa za deportations, E-verify, kero za airport, FBI misikitini, sheria mpya za makaratasi kule INS kila kukicha etc.
Familia zimetenganishwa, marafiki wamekuwa deported etc. Mungu akuchome moto mara trillion moja. Ukawe kuni zetu kwenye moto wa kiama.
ROT AND ROT IN HELL, B-ASTARD USAMA!!
 
As I mentioned earlier, hamtaona picha wala video na zikitoka wikileaks zote zitakuwa hoax, hili ni gemu la Washington DC, no dead body, no corpse, no burial, no photos, no videos, no questions, no answers. Mwenye kichwa haambiwi 'think'.
 
Osama: Umetuletea balaa na tafran kubwa huku ughaibuni hasa huku US. Kabla ya Sept 11 kila kitu kilikuwa shwaaaaaariiiiiiiii tambarareeeeeeeeeeeeeeee. Umeleta balaa za deportations, E-verify, kero za airport, FBI misikitini, sheria mpya za makaratasi kule INS kila kukicha etc.
Familia zimetenganishwa, marafiki wamekuwa deported etc. Mungu akuchome moto mara trillion moja. Ukawe kuni zetu kwenye moto wa kiama.
ROT AND ROT IN HELL, B-ASTARD USAMA!! :A S-baby:
 
vuvuzela, pole kwa machungu yote yaliyoletwa na tukio la 9.11 na juhudi za mataifa ya magharibi kupiga vita vitendo vya kigaidi dhidi yao na si dhidi ya raia wasio na hatia kama ilivyo nchini somalia kwa miongo kadhaa sasa. But, si lazima kuishi ughaibuni especially kama adha na karaha zimezidi unga na kuondoa ladha ya maisha ya raha , rudi nyumbani, as you know - home sweet home! Lastly but not least, if you have good brains nobody needs to tell you what to think, what to do, or what to say, life is too short to grumble about for nothing!
 
Nina biashara nimeanzisha na naziendesha huku. Rizki hutafutwa popote
 
It was so unecessary sababu waungwana hawakuwa na silaha

Wale waliokuwa World Trade Center, Pentagon, kwenye ile ndege ya Pennsylvania, Tanzania na Kenya walikuwa na silaha! Osama kafa kifo kizuri ukilinganisha wa wale aliyowaua! :evil:
 
wamarekani na vibaraka wake ndio magaidi wa kwanza duniani wao ndio humtengeneza m2 au kikundi na pale utakapo simama na kuukataa ukatili au maslahi yao wanakugeuzia
 
Hebu upe ubongo wako kazi uwe bize kidogo utueleze vizuri kinachokupelekea uje na hiyo school of thought mpya. Ukweli wa yaliyojiri utabainika lini kutoka source ipi? Bahati mbaya media za magharibi ziko unmatched na hizo pro-Osama media, na hata hiyo Al jazeera imeajiri Wazungu kama news anchors!

Source zipo nyingi hata websites zinaweza kutoa Ukweli wa yaliyojiri, naona usama kafa zaidi ya mara tatu sasa, kabla ya miaka mitatu walisema kauliwa huko pakistani.

Hawa jamaa wana agenda zao binafsi hata kanda za Bin laden wanazotoa katika television zote ni fake (wana ekti ili wapate sapoti ya watu wengi)

Nia yao ni kuiba pentroli na kutroll inchi za watu kwa mabavu.

Hata hiyo 11 september wamefanya wao wenyewe (si Bin Laden).
 
Wakati mwingine hauhitajiki kuwa msomi wa Decree kuyajuwa mambo haya, wakati Yesu yupo hapa duniani hakukuwapo na kitu kinaitwa dini ya kiislamu, baada ya Yesu kuondoka Miaka mingi baadae tena zaidi ya miaka 700 ndio akaja Muhamad SW na koran. na ukumbuke Mtume Muhamad alikuwa hajui kusoma wala kuandika, kwa hiyo kama hujui kwanza uislamu usidandie kitabu kingine usichokijuwa. ukitaka kuujuwa ukristo soma kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo na usisome ili kwenda kubishana kwenye mihadhara hautaelewa kitu.

Kama hajakuelewa ni mwana wa kupotea kama Yuda. Achana naye maana kimjazacho mtu ndicho kimtokacho
 
.................. kwa hiyo siku tukiamua kutumia akili zetu kikamilifu tutawapita WAYAHUDI ! aanha !.............. basi hakuna haja kuwasifia hao mabwana, kumbe tuko nao sawa ! ni uvivu wetu tu wa kutumia akili !

Unajua kumbe! Ila unatakiwa ujue hata watoto wa baba mmoja hawalingani. Na hata urithi hawawezi kupata sawa, hata kupendwa hawapendwi sawa ingawa mzazi ni mmoja
 
............... " nimekuusia DINI ile ile niliyomuusia Ibrahim,kisha Musa na Isaah (Yesu) ndio hiyo hiyo nimekuusia ewe Muhammad !"
kwa taarifa yako ADAM na HAWA walikuwa WAISLAAM na YESU pia ni MUISLAAM (unaju Dini ya YESU?) (KRISTO kiyunani maana yake ni.... MUNGU !)

Unamwaminije mtu mwongo wewe? Mtu ambaye hata hakujua anakoenda akifa akawaomba mumswalie! Ajabu! Hata mjinga hakosi wa kumsindikiza kumbe, ilimradi tu umewapofusha kwa majini.
 
vuvuzela, pole kwa machungu yote yaliyoletwa na tukio la 9.11 na juhudi za mataifa ya magharibi kupiga vita vitendo vya kigaidi dhidi yao na si dhidi ya raia wasio na hatia kama ilivyo nchini somalia kwa miongo kadhaa sasa. But, si lazima kuishi ughaibuni especially kama adha na karaha zimezidi unga na kuondoa ladha ya maisha ya raha , rudi nyumbani, as you know - home sweet home! Lastly but not least, if you have good brains nobody needs to tell you what to think, what to do, or what to say, life is too short to grumble about for nothing!

Haujui kama sept. 11 imefanywa na wazungu na wayahudi ?
 
............... " nimekuusia DINI ile ile niliyomuusia Ibrahim,kisha Musa na Isaah (Yesu) ndio hiyo hiyo nimekuusia ewe Muhammad !"
kwa taarifa yako ADAM na HAWA walikuwa WAISLAAM na YESU pia ni MUISLAAM (unaju Dini ya YESU?) (KRISTO kiyunani maana yake ni.... MUNGU !)

Pia ujue Isaah siyo Yesu! Mmoja kazaliwa chini ya mtende, mwingine kwenye hori la ng'ombe! Hadi hapo hujajua tu kuwa mmoja ni wa kweli na mwingine ni kivuli? Hata matendo na vifo vyao havijafanana bwana.
 
............... kwani mnakawia kuchemka ! wapi imeandikwa UKRISTO ndio DINI ? YESU alikua DINI gani ? ................... hapo sasa ! sana sana utaleta kejeli tu, maana kazi yenu kudakia nyimbo tu ! ............ MUNGU anazaliwaje na MTU ?!:happy:

Huwezijua maana hujui maandiki ya kweli. Hata ukifundishwa kama hujataka huwezijua maana yuko akuzuiaye usijue ili umsindikize kule asikokujua. Nafikiri unamhitaji Yesu lakini kuna anayekuzuia. Shtuka ndg
 
Credible source please! Sitaki hizo conspiracy theories nimechoka nazo

9/11: The biggest lie in history!

Watch this video from White-Americans proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and no luggage were found! Also, no noise was either recorded or detected by any ordinary person!

Watch them here,

9/11: The biggest lie in history! - SEKENKE FORUMS.
 
I need credible evidence and not hanky panky sources like the above since there are thousands of them online. Thanks
 
Hivi allah ameishiwa nguvu namna hii!!!

Hukujua! Hali mbaya toka zamani, maana alishindwa kukabiliana na majini akaamua kusema ni viumbe wake watakatifu ! Kumbuka msemo usemao Kama huwezipigana naye jiunge naye! Ila jua allah siyo yule Mungu anayepingana na shetani! Huyo anamkubali shetani maana majini pia ni shetani. Akili mu kichwa.
 
Kuna utata mwingi kwenye suala zima. Hivi mtu fugitive anayetafutwa masaa 24 anaweza kupanga nyumba na kuishi na wake zake na watoto?. Pia aliyesema mipira ya watoto ikianguka ndani kulikuwa na mtu alikuwa anatoka na kuwalipa tu pesa watoto-huu nao ni utata mkubwa!. Huyo anayelipa pesa si angeokota tu hiyo mipira na kuwarushia hao watoto!?. Kulikutwa na mipira mingapi humo ndani?. Habari nyingi zinakosa uzito but i think it is just a matter of time mwanga utapatikana.

Osama alikuwa kaanza kufulia siku nyingi tu. Hukuona hata record za misaada yake kwa vikundi vya kigaidi ilikuwa imepungua kama siyo kwisha kabisa? Mzee wa watu alikuwa kajikatia tamaa، tatizo bwana shetani hafai kutumikia, siku akipata mwingine mwenye jitihada na mbinu mpya anakutosa ili uuliwe akakuhukumu vizuri. Maskini alitimika vibaya na shetani alipomaliza mambo yake kamtupa kama condom iliyokwishatumika kwenye starehe pasipo yenyewe kupata starehe. Ilipomaliza ikatupwa ichomwe moto.
Jamani tuwe wajanja na tumwombe Mungu atusaidie Wakristo kwa Waislam tusimtumikie shetani maana mshahara wake ndio huu. Mungu tusamehe maana hata sisi hatukupendezi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom