Wale watu walioshikiliwa na serikali ya Pakistan wakianza kuongea ndio tutapata picha kamili na ukweli wote.Zaidi ya kutokuwa na silaha inasemekana mkewe ana miaka 19 na alipewa zawadi na jamaa mmoja wa yemen miaka minne iliyopita. So huyo dada alikuwa ana miaka 15. akikabidhiwa kwa Osama kama mke......
Kama ni kweli na sio propaganda za CIA hii ni doa lingine
kwa OSAMA na wale wanamuona kama mfano wa kuigwa.
And yet still some people claim that osama is alive and kicking. So who is telling the truth: his daughter who is admitting he is dead or his supporters who insist he is alive?
its a fallacy for bin laden's supporters that he is alive-but always the truth prevail-
Bin laden supporters will keep their mouths shut in few days to come
Are we talking in the same bandwidth my dear, or is this post a result of your own infertile imaginations?Try to be rational. Did the Americans give an answer to you and the families of those who died in New york as to how it was possible to plan and carry out the hijackings in America and subsequent fall of the twin towers? I guess if the did don't be an hypocrite.
There is no way that the Pakistan Army or the ISI(Pakistani Intelligence ) coul NOT have known that Osama was right uder their noses, thats what is worring.Could they be accomplices to the murders in Tanzania and Kenya in 1998?
Ni supporters wangapi wa Osama waliwahi kumuona in personal mpaka useme wakionyeshwa mwili wake ndio wataamini kuwa ni kweli amekufa?They wont because they have not been given an opportunity to see the body, and the pictures will most likely have been photoshopped.
Umeanza kupanda ndege lini? Maana pre 911 sheria zilikuwa sio kama sasa hivi, heck nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kupanda na mazagazaga mengi tu na tour ya kwenye cockpit ulikuwa unapata. Magaidi walitumia hiyo loophole.Try to be rational. Did the Americans give an answer to you and the families of those who died in New york as to how it was possible to plan and carry out the hijackings in America and subsequent fall of the twin towers? I guess if the did don't be an hypocrite.
Mkuu.
Baada ya ile miripuko, uhusiano wetu na US ukoje? Au US wameweza kujitanua kwa kiasi kipi?
Pitia hizi links, uone kama unaweza kuunganisha dots!
Mkuu waachie hao wanafika majuu kwa internet tu!Umeanza kupanda ndege lini? Maana pre 911 sheria zilikuwa sio kama sasa hivi, heck nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kupanda na mazagazaga mengi tu na tour ya kwenye cockpit ulikuwa unapata. Magaidi walitumia hiyo loophole.
Zaidi ya kutokuwa na silaha inasemekana mkewe ana miaka 19 na alipewa zawadi na jamaa mmoja wa yemen miaka minne iliyopita. So huyo dada alikuwa ana miaka 15. akikabidhiwa kwa Osama kama mke......
Kama ni kweli na sio propaganda za CIA hii ni doa lingine kwa OSAMA na wale wanamuona kama mfano wa kuigwa.
[/QU
kwani mzee hujui kuwa hata tanzania unaruhusiwa kumuoa mtoto wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi wake?
its a fallacy for bin laden's supporters that he is alive-but always the truth prevail-
Bin laden supporters will keep their mouths shut in few days to come
Unless his supporters see the body, Osama is very much alive notwithstanding what his daughter is saying. After all, who's certain that she's the real daughter of Osama and witnessed his killing??
utajuaje kama hana silaha na unamjua tabia zake? na kama angekuwa kategesha mabomu na labda angebofya sehemu yalipuke je? haya ndo mambo ya tofauti ya kucheza mpira uwanjani na kuangalia mpira nje ya uwanja. utaweza kuona uwezekano wa kufunga na nafasi za wazi but kwa alie ndani ya uwanja hana nafasi hiyo ujue. wamepekua baada ya kumuua na hawakupata silaha na ndo jibu lake.
kumbe alikuwa muislam...?
wanataka azikwe kiislam mbona watu aliokuwa akiwatuma kujilipua hawakupata nafasi hata ya kuoshwa..? kwani yeye ni bora zaidi kuliko suicide bombers wanaopotelea kwenye majivu ya milipuko..?
kaka umeongea maongezi makubwa sn...ww ni bahari katika ilmu..inshaAllah mola akupe jaza njema
kwani ukiona kwenye sinema rambo anaua mtu unadhani kiuhalisia huyo mtu ameuawa. Tulichoonyeshwa ni hollywood movie tu. kama Osama amekufa basi hakufa juzi alishakufa siku nyingi sana na hawajui lilipo kaburi lake
wewe jamaa umehangaika kuandika maelezo meeengi na kupoteza nguvu zako nyingi . majibu ya maswali yako yote marekani walishayajibu
kwa kukusaidia tu ni kuwa
- marekani bado hawajarelease picha za osama
-walimtupa baharini baada ya saudi arabia kukataaa kuuchukua mwili wa osama n akitu kilichopelekea wauzike baharini ni kuwa wameogopa kaburi la osama likiwa nci kavu watu wanaweza kulifanya kuwa kivutio na kuanza kulitukuza kaburi lake
-kabla ya kuzikwa taratibu zote za kidini zilifuatwa na wamesema watarelease video/clip jini dua ilivyofanya kama kuna watu wataihitaji
The more it proves Osama is dead!