Huo uchaguzi alikuwa anashindwa na kina Trump au Michelle Bachmann? Uchaguzi uko November 2012 leo ni May 2011 kama ingekuwa ni propaganda ya uchaguzi si angesubiri mpaka mwakani.Obama anaelekea kushindwa uchaguzi mwaka kesho kwahiyo ametafuta nitoke vipi ili isaidie kurudisha imani kwa wananchi wa Marekani kusudi wasimpige chini mwaka kesho.
Let alone hao watu i am not expecting much from them but Obama right now he's in a bad shape, halafu hapo kwenye red hiyo timeline there is so much of coincidence any wayz ya kwao tuwaachie wao wenyeweHuo uchaguzi alikuwa anashindwa na kina Trump au Michelle Bachmann? Uchaguzi uko November 2012 leo ni May 2011 kama ingekuwa ni propaganda ya uchaguzi si angesubiri mpaka mwakani.
Hiyo picha imeanza kuzunguka mitandaoni miaka miwili iliyopita, heck unaweza kukuta ilitengenezwa na wapambe wa Osama mwenyewe, kuhusu mazishi tuangalie timeline
-Operation imeanza saa saba usiku ya Pakistan (saa kumi jioni muda wa Washington D.C.)
-Obama katoa maelezo saa 11:30 usiku Washington time (Saa mbili asubuhi Islamabad)
-Wamemtupa baharini kati ya saa 1:00 - 2:00 am (Saa tano asubuhi Islamabad)
Wakuu mnasherehekea msiba na majonzi? Mnafahamu watu wangapi watapoteza ajira zao kwa kutokuwepo Osama? Ma-bodyguard, ma-security, pamoja na wafanyakazi wa viwanda vinavyotengeneza mashine za kusachi watu Airport.
Wanazikaje?...........mm hizi habari za kuzika baharini zinanifanya niwe na maswali yasiyo hesabika kichwani mwangu,.......Wa-Hindu(Hindi) wanazika Baharini!
Mmmm nimeshingwa kukudefinemi mwenyewe siamini........tutaaminije kwa kuambiwa tu......hebu tusubiri lazima kuna kitu kinakaangwa hapa
Niliangalia serie 1 ya hawa jamaa baada ya agent wao mmoja kufa wakamchoma moto na majivu wakayatupa baharini ndio wakasema wamemzika baharini. Sasa cjui sheikh Osama wamemfanyaje?Kwanza Mazishi ya baharini huwa yanafanyikaje?
Kuna binadamu mwingine yeyote aliyewahi kuzikwa chini ya bahari?
Ni suala lenye utata sana hili!