Poleni sana waumini wa Osama, sio wewe tu wanaojaribu kujifariji, ila mzungu sio muarabu, mwaka huu mtakufa kwa ugonjwa wa moyo, anayefuata sasa ni Gadaffi. Nakumbuka wakati ule saddam ilipoelezwa kuwa amekamatwa wenye ufuasi naye walikataa kuwa siyo yeye. Kama Uongozi wa Pakistan wamepongeza na kuthibitisha kutokea kwa kifo hicho cha Osama ndani ya ardhi yake wewe mtu wa tandale utakataa?Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Nyie wengine ni akina Tomas ktk Biblia, haya picha hiyo.
Hapo lazima makomandoo wa Israel wametumika wale watu ni vichwa balaa
Mzee Obama na timu yake wakishuhudia Operation ya kumkong'ota Chinjachinja Osamah.
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Hali zenu great thinkers wenzangu! Naomba mnijuze wadau bahari alipozikwa huyu gaid nambari moja wa al-qaeda ambaye kwasasa hatunaye tena duniani, hapa namaanisha Osama bin laden, Nawasilisha.
Hata wewe unatudanganya. Kama yupo hai, tuambie yuko wapi na anafanya nini.
kama hujui kitu afadhali kunyamaza kuliko kujivunjia heshima.
kama hawajamuuwa tuambie basi yupo wapi?
Hapo ingekuwa ndio nchi za kiafrika ungemuona raisi yupo na mke wake na watoto wake kwa kutaka sifa,hii manake nini ni kuwa kwa wenzetu mke na familia yake hawaingilii wala kunufaika na nafasi za mume au baba yao katika uongozi wa nchi,After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: Weve IDed Geronimo
Read more: After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: Weve IDed Geronimo | Swampland
Mzee Obama na timu yake wakishuhudia Operation ya kumkong'ota Chinjachinja Osamah.
duh.hi mpya binadamu anazikwa baharini?beside haki yake ya imani imevunjwa!waislam hawaziki baharini.