Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Kauliwa jana na keshazikwa baharini. Why baharini? Nani anazikwa baharini?

Wapi picha? Wapi video?

Oyaa! Ina maana hufahamu kwamba bahari ndiyo imezika watu wengi kuliko eneo lolote lile, by the way pictures, videos will be coming, just waiting for another Donald.
 
Oyaa! Ina maana hufahamu kwamba bahari ndiyo imezika watu wengi kuliko eneo lolote lile, by the way pictures, videos will be coming, just waiting for another Donald.

I can't wait to see the video especially the one of the firefight if they have it.
 
Mamako pia ni mjamzito, kwa sababu ni CD na huwa anakesha, naye kapewa ujauzito na mtu asiyejulikana. Na wewe ulipatikana kwa njia hiyo hiyo.

Yaani, your thinking capacity is so small!!!! I wonder if your head doesn't hurt every single day...
 
Kama kweli kafa basi kafa kishujaa. Siyo kama Saddam.

Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu kumgunduwa Nyani Ngabu sasa ameamuwa kuwaonesha rangi zake halisi. Leo ningependa kuitangaza kama siku ya ushindi mkubwa katika dunia ya wastaraabu. leo hata bia za chupa sitaki, mwendo ni vibia vya kopo tu. HONGERA U.S.A
 
Huyu jamaa alikuwa anapeperusha tweets zake kutoka Abbottabad bila kujua kwamba mauwaji ya Osama yalikuwa yanaendelea. Uandishi wa habari umebadilika!

Osama Raid Live Tweets


Published by Damon Clinkscales (@damon) - RSS Feed | Embed


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Helicopter hovering above Abbottabad at 1AM (is a rare event).
May 01, 2011, 7:58 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Go away helicopter - before I take out my giant swatter :-/
May 01, 2011, 8:05 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
A huge window shaking bang here in Abbottabad Cantt. I hope its not the start of something nasty :-S
May 01, 2011, 8:09 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@m0hcin all silent after the blast, but a friend heard it 6 km away too... the helicopter is gone too.
May 01, 2011, 8:44 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@m0hcin Pakistan News: Helicopter Crashed in Abbottabad, Pakistan, Near Military Academy of Kakool seems like my giant swatter worked !
May 01, 2011, 8:46 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@m0hcin the few people online at this time of the night are saying one of the copters was not Pakistani...
May 01, 2011, 8:48 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
RT @han3yy: OMG :S Bomb Blasts in Abbottabad.. I hope everyone is fine 🙁

May 01, 2011, 8:50 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Since taliban (probably) don't have helicpoters, and since they're saying it was not "ours", so must be a complicated situation #abbottabad

May 01, 2011, 9:02 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
The abbottabad helicopter/UFO was shot down near the Bilal Town area, and there's report of a flash. People saying it could be a drone.
May 01, 2011, 9:10 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@wqs figures, if they have the right to shoot planes flying over the president house, the must have the same instructions for PMA
May 01, 2011, 9:14 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@smedica people are saying it was not a technical fault and it was shot down. I heard it CIRCLE 3-4 times above, sounded purposeful.
May 01, 2011, 9:15 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@tahirakram very likely - but it was too noisy to be a spy craft, or, a very poor spy craft it was.
May 01, 2011, 9:16 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Here's the location of the Abbottabad crash according to some people >>> Special Service Group (S.S.G) - Pakistan Army - Commandos's Photos - Wall Photos | Facebook

May 01, 2011, 9:34 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Two helicpoters, one down, could actually be the training accident scenario they're saying it was >> Latest Pakistani News, Breaking News, Helicopter crashed in Abbottabad

May 01, 2011, 9:43 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
and now I feel I must apologize to the pilot about the swatter tweets :-/
May 01, 2011, 10:05 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
And now, a plane flying over Abbottabad...
May 01, 2011, 10:39 PM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Interesting rumors in the otherwise uneventful Abbottabad air today
May 02, 2011, 3:00 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Report from a taxi driver: The army has cordoned off the crash area and is conducting door-to-door search in the surrounding
May 02, 2011, 3:02 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@kursed What really happened doesn't matter if there is an official story behind it that 99.999% of the world would believe
May 02, 2011, 3:08 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@kursed Another rumor: two copters that followed the crashed one were foreign Cobras - and got away
May 02, 2011, 3:10 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Report from a sweeper: A family also died in the crash, and one of the helicopter riders got away and is now being searched for.
May 02, 2011, 3:21 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@kursed Well, there were at least two copters last night, I heard one but a friend heard two, for 15-20 minutes.
May 02, 2011, 3:24 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
@kursed I think I should take out my big blower to blow the fog of war away and see the clearer picture.
May 02, 2011, 3:24 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
RT @ISuckBigTime: Osama Bin Laden killed in Abbottabad, Pakistan.: ISI has confirmed it << Uh oh, there goes the neighborhood :-/
May 02, 2011, 3:31 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
I need to sleep, but Osama had to pick this day to die :-/
May 02, 2011, 4:03 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
Uh oh, now I'm the guy who liveblogged the Osama raid without knowing it.
May 02, 2011, 4:41 AM


ReallyVirtual_m
ReallyVirtual
and here come the mails from the mainstream media... *sigh*
May 02, 2011, 4:42 AM
 
Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu kumgunduwa Nyani Ngabu sasa ameamuwa kuwaonesha rangi zake halisi. Leo ningependa kuitangaza kama siku ya ushindi mkubwa katika dunia ya wastaraabu. leo hata bia za chupa sitaki, mwendo ni vibia vya kopo tu. HONGERA U.S.A

Hunijui wewe. Ungenijua wala usingeandika hayo mavi ya kuku.

I'm almost as American as they come.
 
Tatizo hata hizo picha authenticity zake watu watazihoji maana tayari sasa zipo picha kadhaa zinazo make rounds kwenye mtandao na inasadikika zote ni feki.

Nakubaliana nawe NN hapa ni lazima dunia ipate ushahidi wa kutosha kwamba Osama kweli ameuwawa na si ajabu ushahidi huo upo na kama upo utatolewa siku za usoni, lakini hata kama ushahidi huo utatolewa bado baadhi ya watu katika nchi mbali mbali duniani hawataukubali ushahidi huo na kuendelea kuamini kwamba Osama bado anadunda.

CNN wanasema sasa hivi kwamba sample toka kwenye mwili wa huyo Osama zinafanyiwa DNA matching na ndugu wa karibu wa Osama.
 
picha bado wamarekani hawajatoa wamesema watazitoa baada kukamilisha sample za dna.

according to cnn.
 
Nakubaliana nawe NN hapa ni lazima dunia ipate ushahidi wa kutosha kwamba Osama kweli ameuwawa na si ajabu ushahidi huo upo na kama upo utatolewa siku za usoni, lakini hata kama ushahidi huo utatolewa bado baadhi ya watu katika nchi mbali mbali duniani hawataukubali ushahidi huo na kuendelea kuamini kwamba Osama bado anadunda.

CNN wanasema sasa hivi kwamba sample toka kwenye mwili wa huyo Osama unafanyiwa DNA matching na ndugu wa karibu wa Osama.

picha bado wamarekani hawajatoa wamesema watazitoa baada kukamilisha sample za dna.

according to cnn.

Kumbe hata ulinganishaji wa DNA hawajamaliza? Unajua mimi nijuavyo haya mambo ya DNA yanachukuaga hata siku kadhaa. Sasa jamaa eti tunaambiwa wamemuua jana na kupata DNA match jana hiyo hiyo. Mweh!

Hapa Wamarekani bila kutoa conclusive proof itakula kwao. Watatengeneza a larger than life figure more than he already is.
 
Hunijui wewe. Ungenijua wala usingeandika hayo mavi ya kuku.

I'm almost as American as they come.

Hapa mkuu hatujuwani kwa sura, hapa tunajuwana kwa mitazamo tu mkuu, anza kuhesabu post zako ulizopost kwenye thread hii unavyojaribu kushindana na ukweli kwenye dunia ya kistaraabu ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. Labda ndugu yangu wewe sio msafiri, Huyu shetani Osama amebadilisha utaratibu mzima wa maisha ya binadamu katika dunia ya leo, kuanzia kuomba viza za nchi za magharibi, airport sasa hivi tunasachiana mpaka matakoni,natumeletewa mpaka electronic finger print mashine, unafikiri dunia ya kistaraabu tunapaswa kudhibitiwa kiasi hiki! fikiria na dadisi kwa makini ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. wewe mtu ambae haujawahi kuvumbuwa hata sindani ETI unafanya argument na CIA! kichekesho cha karne.
 
Yaani, your thinking capacity is so small!!!! I wonder if your head doesn't hurt every single day...

"Akhsante" "Wewe wajisemea ama wengine wamekuambia useme hivyo?"
What the hell do you think you are? A great thinker? You must be kidding you toddler.
Ulitakiwa uisome hii hapa kwanza kabla ya kukurupuka.

quote_icon.png
Originally Posted by Ta Muganyizi
Tafsiri yake ni kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, chenye mwanzo kina mwisho, sasa jamaa kakosa nini? Kwani wewe lazima uchangie? Watu mnakuwa na chuki ambayo haina sababu ka wajawazito. Angalia vizuri na wewe unaweza kuwa mjamzito ,ujauzito ulioupata kwenye mkesha, maana we mkeshaji.
 
Hapa mkuu hatujuwani kwa sura, hapa tunajuwana kwa mitazamo tu mkuu, anza kuhesabu post zako ulizopost kwenye thread unavyojaribu kushindana na ukweli kwenye dunia ya kistaraabu ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. Labda ndugu yangu wewe sio msafiri, Huyu shetani Osama amebadilisha utaratibu mzima wa maisha ya binadamu kuanzia kuomba viza za nchi za magharibi, airport sasa hivi tunasachiana mpaka matakoni, tumeletewa mpaka electronic finger print mashine, unafikiri dunia ya kiistarabu tupaswa kudhibitiwa kiasi hiki! fikiria na dadisi kwa makini ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. wewe mtu ambae haujawahi kuvumbuwa hata sindani ETI unafanya argument na CIA! kichekesho cha karne.

Mimi sijabisha chochote kuhusu kufa kwa Osama. Nimeelezea kutoridhishwa kwangu na ushahidi uliopo sasa ambao unaonyesha kuwa kafa. Hivyo nikipata ushahidi unaoniridhisha nitakubali. Sikataagi ukweli mimi lakini nina viwango vyangu mwenyewe.

Kuhusu kusafiri, ndo maana nasema hunijui. Ungenijua wala hayo mengine usingesema. Look up the word globe-trotter and you will see my name right next to it.
 
Hivi ni kawaida watu kuzikwa baharini?! Eti wamemzika Osama bahari! kunani hapa?
 
Kumbe hata ulinganishaji wa DNA hawajamaliza? Unajua mimi nijuavyo haya mambo ya DNA yanachukuaga hata siku kadhaa. Sasa jamaa eti tunaambiwa wamemuua jana na kupata DNA match jana hiyo hiyo. Mweh!

Hapa Wamarekani bila kutoa conclusive proof itakula kwao. Watatengeneza a larger than life figure more than he already is.
mpaka sasa hivi habari zinachanganya changanya jinsi zinavyotoka japo inaonekana wana huakika wamemuua.

Haikuwa na haja Obama kutoa habari kama bado wajamaliza dna tests na hawako tayari kuonesha picha zake .
 
Hapa mkuu hatujuwani kwa sura, hapa tunajuwana kwa mitazamo tu mkuu, anza kuhesabu post zako ulizopost kwenye thread hii unavyojaribu kushindana na ukweli kwenye dunia ya kistaraabu ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. Labda ndugu yangu wewe sio msafiri, Huyu shetani Osama amebadilisha utaratibu mzima wa maisha ya binadamu katika dunia ya leo, kuanzia kuomba viza za nchi za magharibi, airport sasa hivi tunasachiana mpaka matakoni,natumeletewa mpaka electronic finger print mashine, unafikiri dunia ya kistaraabu tunapaswa kudhibitiwa kiasi hiki! fikiria na dadisi kwa makini ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. wewe mtu ambae haujawahi kuvumbuwa hata sindani ETI unafanya argument na CIA! kichekesho cha karne.
Kwani hizo mashine katengeneza Osama?.Mbona unataka kubebesha makosa watu yasiyokuwa yao!.
 
mpaka sasa hivi habari zinachanganya changanya jinsi zinavyotoka japo inaonekana wana huakika wamemuua.

Haikuwa na haja Obama kutoa habari kama bado wajamaliza dna tests na hawako tayari kuonesha picha zake .

Shukrani! Naona wewe umenielewa ninachoongelea.
 
Puppet Masters
warwhore.png
Years of Deceit: United States Openly Admits Bin Laden Long Dead


Mon, 18 Apr 2011 11:51 CDT

Gordon Duff
The Soveriegn Independent / Veterans Today


Bin laden never mentioned in McChrystal report or Obama speech

"Hunt for bin laden" a national shame

Conservative commentator, former Marine Colonel Bob Pappas has been saying for years that bin Laden died at Tora Bora and that Senator Kerry's claim that bin Laden escaped with Bush help was a lie. Now we know that Pappas was correct. The embarrassment of having Secretary of State Clinton talk about bin Laden in Pakistan was horrific. He has been dead since December 13, 2001 and now, finally, everyone, Obama, McChrystal, Cheney, everyone who isn't nuts is finally saying what they have known for years.

However, since we lost a couple of hundred of our top special operations forces hunting for bin Laden after we knew he was dead, is someone going to answer for this with some jail time? Since we spent 200 million dollars on "special ops" looking for someone we knew was dead, who is going to jail for that? Since Bush, Rumsfeld and Cheney continually talked about a man they knew was dead, now known to be for reasons of POLITICAL nature, who is going to jail for that? Why were tapes brought out, now known to be forged, as legitimate intelligence to sway the disputed 2004 election in the US? This is a criminal act if there ever was one.

In 66 pages, General Stanley McChrystal never mentions Osama bin Laden. Everything is "Mullah Omar" now. In his talk at West Point, President Obama never mentioned Osama bin Laden. Col. Pappas makes it clear, Vice President Cheney let it "out of the bag" long ago. Bin Laden was killed by American troops many, many years ago.



© Unknown

America knew Osama bin Laden died December 13, 2001. After that his use was hardly one to unite America, but rather one to divide, scam and play games. With bin Laden gone, we could have started legitimate nation building in Afghanistan instead of the eternal insurgency that we invented ourselves.

Without our ill informed policies, we could have had a brought diplomatic solution in 2002 in Afghanistan, the one we are ignoring now, and spent money rebuilding the country, 5 cents on the dollar compared to what we are spending fighting a war against an enemy we ourselves recruited through ignorance.

The bin Laden scam is one of the most shameful acts ever perpetrated against the American people. We don't even know if he really was an enemy, certainly he was never the person that Bush and Cheney said. In fact, the Bush and bin Laden families were always close friends and had been for many years.

What kind of man was Osama bin Laden? This one time American ally against Russia, son of a wealthy Saudi family, went to Afghanistan to help them fight for their freedom. America saw him as a great hero then. Transcripts of the real bin Laden show him to be much more moderate than we claim, angry at Israel and the US government but showing no anger toward Americans and never making the kind of theats claimed. All of this is public record for any with the will to learn.

How much of America's tragedy is tied with these two children of the rich, children of families long joined through money and friendship, the Bush and bin Laden clans.

One son died in remote mountains, another lives in a Dallas suburb hoping nobody is sent after him. One is a combat veteran, one never took a strong stand unless done from safety and comfort. Islam once saw bin Laden as a great leader. Now he is mostly forgotten.

What has America decided about Bush?

We know this: Bin Laden always denied any ties to 9/11 and, in fact, has never been charged in relation to 9/11. He not only denied involvement, but had done so, while alive, 4 times and had vigorously condemned those who were involved in the attack.

This is on the public record, public in every free country except ours. We, instead, showed films made by paid actors, made up to look somewhat similar to bin Laden, actors who contradicted bin Ladens very public statements, actors pretending to be bin Laden long after bin Laden's death.

These were done to help justify spending, repressive laws, torture and simple thievery.

For years, we attacked the government of Pakistan for not hunting down someone everyone knew was dead. Bin Laden's death hit the newspapers in Pakistan on December 15, 2001. How do you think our ally felt when they were continually berated for failing to hunt down and turn over someone who didn't exist?

What do you think this did for American credibility in Pakistan and through the Islamic world? Were we seen as criminals, liars or simply fools? Which one is best?

This is also treason.

How does the death of bin Laden and the defeat and dismemberment of Al Qaeda impact the intelligence assessments, partially based on, not only bin Laden but Al Qaeda activity in Iraq that, not only never happened but was now known to have been unable to happen?

How many "Pentagon Pundits," the retired officers who sold their honor to send us to war for what is now known to be domestic, political, dirty tricks and not national security are culpable in these crimes?

I don't always agree with Col. Pappas on things. I believe his politics overrule his judgement at times. However, we totally agree on bin Laden; we simply disagree with what it means. To me lying and sending men to their deaths based on lies is treason.

Falsifying military intelligence and spending billions on unnecessary military operations for political reasons is an abomination. Consider this, giving billions in contracts to GOP friends who fill campaign coffers, and doing so based on falsified intelligence is insane. This was done for years.

We spent 8 years chasing a dead man, spending billions, sending FBI agents, the CIA, Navy Seals, Marine Force Recon, Special Forces, many to their deaths, as part of a political campaign to justify running America into debt, enriching a pack of political cronies and war profiteers and to puff up a pack of Pentagon peacocks and their White house draft dodging bosses.

How many laws were pushed through because of a dead man?

How many hundreds were tortured to find a dead man?

How many hundreds died looking for a dead man?

How many billions were spent looking for a dead man?

Every time Bush, Cheney and Rumsfeld stood before troops and talked about hunting down the dead bin Laden, it was a dishonor. Lying to men and women who put their lives on the line is not a joke.

Who is going to answer to the families of those who died for the politics and profit tied to the Hunt for Bin Laden?





javascript:void window.open('http:/...tle)+'&t='+encodeURIComponent(location.href)) javascript:void window.open('http:/...'&title='+encodeURIComponent(document.title)) javascript:void window.open('http:/...'&title='+encodeURIComponent(document.title)) Share javascript:void window.open('http:/...'&title='+encodeURIComponent(document.title)) javascript:void window.open('http:/...ef)+'&h='+encodeURIComponent(document.title)) javascript:void window.open('http:/...'&title='+encodeURIComponent(document.title)) javascript:void window.open('http:/...bmit?url='+encodeURIComponent(location.href)) javascript:void window.open('http://twitter.com/home?status='+escape(document.location)) javascript:void window.open('http:/...ag=News, Politics, World Events, Pathocracy') javascript:void window.open('https:...'&title='+encodeURIComponent(document.title))




Reader Comments
 
Al qaeda in Yemen confirm death of Osama bin Laden
Source-Express 24/7
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom