Sisi tuliozoea kuhojiana na watu huwa tunagundua uwongo kirahisi.Njia ya muongo ni fupi.Kwani Afghanistan wanakosema waliupeleka mwili wa Osama kuna bahari?
Natangaza msiba mkubwa wa shujaa Sheikh Osama muhamad Bin Laden ambae ameuawa na madhalimu wa marekani ambao wao ndio wanajiona wana haki ya kuishi kwa amni na kumiliki mali za dunia nzima chini ya utawala wa ki freemason na iluminat amabo upo chini ya matakwa ya sheitwan rajjiiim, kiukweli imeniuma sana na pia ni pigo kubwa saana kwa sisi ambao ni maadui wa ubepari dunia nzima. ikumbukwe kua wamarekani walimuua saddam na kuharibu amani ya iraki hao hao walikua wanachochea vurugu somalia na kuwapatia silaha baadhi ya watu hao hao wanahusika kuchafua amani kongo na sehem mbalimbali duniani kwa maslahi yao. Inna li Lillah Wa inna Ilaih rajiuun, khafuu Llah wala Takhfu nnasu.amekufa kiume kama shujaa na sio kama wengine ambao hufa kwa ulevi wa pombe na ngono, tumuombee kheri na Mungu ailaze roho yake katika Jannah ya Firdaus karibu na Mtume mUhammad S.a.w
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Ure contradicting youself . Inakuwaje kitu kisicho na usichokipa umuhimu kiasi hicho unapata muda wa kutoa comment tena zaidi ya Nne. Na huko kwenye thread zinazongela issue ya theft of public monies unakochangia ni wapi?
Ha ha ha... People bwana, very very...
MAREKANI WAMECHAKACHUA KIFO CHA USAMA BIN LADEN
Ni kweli hajafa hiyo ni propaganda ya ki-inteligencia,Saddam Udei na Qusssei waliwaua na kutuonesha miili yao hadharani tena Saddam ndie waliemnyonga hadharani kabisa.Iweje leo OSAMA BIN LADEN walie sema WANTED DEAD OR ALIVE wamuue na kupiga kaicha kama passport size na kupaka ndevu damu waseme kafa? huo ni usanii na ukweli utajulikana kuhusu kifo cha OSAMA mie siamini kwani story za kwamba kafa torabora sijui wapi zilianza muda mrefu.We need EVIDENCE MWILIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIiii wa OSAMA tuuuuuuuuuuuuuuuuonne kama ule wa SADDAM DNA haitasaidia,WAMECHAKACHUA KIFO CHA USAMA BIN LADEN YU HAI
Issue ya osama itafanya watu wamsahau Gaddafi
osama is dead!
Sidhani kama Marekani wamekulazimisha uamini,kama huamini au unaamini hiyo ni wewe tu na roho yakoNdugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!