Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Marekani ndio waliotangaza kumuua na mwili wake wanao, sasa kama kuna mtu mwingine anayedai kumuua si ajitokeze na hata kama amejiua mwenyewe kwa presha ya marekani si yaleyale tu!! Nadhani tuache majungu na kupingapinga vitu kwa misingi isiyokuwepo. Tujadili mambo ya maana kwa manufaa yetu mkuu. Marekani itabakia kuwa marekani na wataendelea kuwa wababe tu penda usipende. Hata Nyerere alikubali hilo, alilisema na alitoa angalizo zuri sana jinsi ya kudili na hao watu, Ref hotuba yake kwa NEC (ccm) ya 1991, inarudiwa mara nyingi na SIBUKA TV
 

Ameanza kucheza Sinema kwa ajili ya uchaguzi mwaka ujao, take care !
 

Hakuna tafsiri yoyote hapo.
Kapost kwenye blog yako; hakuna wasomaji nini huko?
 
Zipo taarifa zinasema kuwa kauawa tarehe 24/4, je alizikwa lini hasa kama taarifa zimetolewa tarehe 1/5:A S 39:
 
A congressional source familiar with the operation said bin Laden was shot in the head.
A U.S. official told CNN that bin Laden was buried at sea. The official said his body was handled in the Islamic tradition, but did not elaborate
CNN
 
America wana uongo unaofanana na ukweli na propaganda yao ni ya hali ya juu.

Hakuna kitu kinaitwa Alqaida. America kwa maslahi yake mwenyewe ndio ameanzisha hiyo kitu ili apate kutimiza malengo yake.

Sitoona ajabu baada ya taarifa hii kutoka mambo mengine maana vita ya Iraq na Afghanistani waliipika America wenyewe na sasahivi wanaonesha dalili ya kuchoka na kushindwa kwani wakiondoka tu mambo yatarudi palepale.

Kufa kwa Osama haitapunguza chuki dhidi ya Amwrika bali itaongezeka mara dufu!!!
 
Al Qaeda is now a movement..there are bound to be 'commanders' in place!!
 
Kuna siku tutasema:

1. Alikuwepo Osama.

2. Alikuwepo CCM.....

3. Alikuwepo Ridhiwan ................

Ajabu ni kuwa, wakiwa TOP, wanajisahau kuwa wanaweza kuanguka mweleka mbaya sana.....
 
Siwezi kuchangia thread za kishetani, nilitalajia uulize je ni mbinu gani zifanyike kumaliza masalia ya Al qaida? na sio kujuwa nani atakuwa kiongozi wa uovu.
 

Tafsiri gani hapo? na wewe unaandika pumba siku hiz?
 
Kuna millitary intelligence alerts kwamba Osama aliambiwa ajisalimishe akagoma that was before he was shot, instead akakamata bunduki, hii inaonyesha nini?
 
STUPID, KWA NINI WAKIMBILIE KUUA NA SIO KUFANYA ATTEMPT YA KUMKAMATA??? WANGEWEZA KU EXTRACT A LOT OF INFORMATION FROM HIM.

:A S-cry:
 
Na isitoshe pia ni kwamba baada ya mauaji hayo ya Osama Bin Laden Marekani imezitahadharisha balozi zake zote duniani kuwepo na ulinzi mkali sana baada ya kifo cha huyu gaidi
 
Hakuna tafsiri yoyote hapo.
Kapost kwenye blog yako; hakuna wasomaji nini huko?

Tafsiri yake ni kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, chenye mwanzo kina mwisho, sasa jamaa kakosa nini? Kwani wewe lazima uchangie? Watu mnakuwa na chuki ambayo haina sababu ka wajawazito. Angalia vizuri na wewe unaweza kuwa mjamzito ,ujauzito ulioupata kwenye mkesha, maana we mkeshaji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…