Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?

Kaka umenena cha ukweli kabisa,watuoneshe picha na sio alikuwa ana wanawake sita,anaangalia porn zote ni bra bra tu hatuzihitaji
 
Yaani huyu OBL ameoa wake sita halafu bado unaangalia porn? Huu sasa ni ulafi mtupu

jamani si mumuache mzee wa watu ajipatie mbinu za madeni katika kuwabinua akina mama gaude wake...msimfanyie hivi bana
 
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?

Mkuu bado haujaamini kwamba Osama ameuwawa kweli? Kama hutaki kuwaamini wamarekani hata watoto wake waliojitokeza kulaani jinsi baba yao alivyouwawa na jinsi alivyozikwa nao hauwaamini?

Yumkini wewe ni mmoja wapo wa akina Tomasso!!!!

Tiba
 
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?

Kwa hiyo mkuu hata watoto wake kupiga kelekel kuwa haki za binadamu hazikufuatwa wakati wanamuua pia ni propaganda??
 
Duh hii ndio mara ya kwanza naisoma, kwa hiyo tulidanganywa tulipoambiwa alisomea Engineering?
Mkuu kwa akili yako unafikiria Osama alikuwa hajui kutumia computer? Also kutokuwa na course ya computer hakumaanishi shule haiwezi kuwa na computer.

Mimi sijawahi kusoma computer cource popote pale hapa duniani. na wala sijawahi kufundishwa kuendesha gari.
 
NBC News and news services
updated 5/13/2011 10:43:25 PM ET
WASHINGTON — A stash of pornography was found in the hideout of Osama bin Laden by the U.S. commandos who killed him, current and former U.S. officials said on Friday.

The pornography recovered in bin Laden's compound in Abbottabad, Pakistan, consists of modern, electronically recorded video and is fairly extensive, according to the officials, who discussed the discovery with Reuters on condition of anonymity.

Three other U.S. officials familiar with evidence gathered during investigations of other Islamic militants said the discovery of pornography is not uncommon in such cases.

My thought
Je inawezekana OBL (puh) yule ambaye Mullah Omar, kiongozi wa serkali ya Taliban Afhiganistan alikataa kumkabidhi kwa Bush baada ya 9/11 kwa madai kwamba ni muislam mzuri mno hastahili kukamatwa na kafri, naye alikuwa mjasilimali kwenye hii biashara ya ukahaba?

Pia baadhi ya madawa yaliyokutwa chumbani mwake, mojawapo inafanya kazi kama viagra

Halafu jamaa yangu pale magomeni mwembechai kambebea bango G W Bush akimshutumu kuwa shetani mkuu...... Haki ya nani Duniani kuna mambo!!!!
 
Kuna watu wameamini "distortion of facts" kwamba eti Mtoto wa Osama amelalamika jinsi baba yake alivyouwa bila kufikishwa Mahakamani, ukweli ni kwamba Mtoto wa Osama naye amesema kwamba hana Uhakika kama kweli Baba yake ameuawa, na ameomba ushahidi ili ajiridhishe kwamba kweli huyo aliyeuwawa ni baba yake. hebu cheki hii habari kutoka Los Angeles Times.

Osama bin Laden's son says U.S. broke international law 'if' his father is dead

May 10, 2011 | 12:35 pm

Osama bin Laden's son Omar says he always disagreed with his father about violence, and is now disagreeing with the violence purportedly used against his father.
In a statement written by the Bin Laden family but signed only by Omar, 30, the United States is accused of breaking international law by killing the unarmed terrorist leader without a trial. That is, they said, if the mission was indeed successful.
Omar bin Laden began the statement by saying that he and the family do not believe that the Al Qaeda leader is dead and, like the so-called deathers in this country, want to see photographs and/or video evidence as proof.
"We are not convinced on the available evidence in the absence of dead body, photographs, and video evidence that our natural father is dead," Omar bin Laden wrote in a statement that was released to the New York Times. "Therefore, with this press statement, we seek such conclusive evidence to believe the stories published in relation to 2 May 2011 operation Geronimo as declared by the President of United States
Barrack Hussein Obama in his speech that he authorized the said operation and killing of OBL and later confirmed his death."
If his father were "executed," Omar said, he wonders why people such as Saddam Hussein and Slobodan Milosevic were given a chance in front of a judge while his father "was not arrested and tried in a court of law."
In the statement, Omar bin Laden identified himself as "the fourth-born son of our father," and said he "always disagreed with our father regarding any violence and always sent messages to our father, that he must change his ways and that no civilians should be attacked under any circumstances."
When it was announced earlier this month that the elder Bin Laden was dead, U.S. Atty. Gen. Eric H. Holder Jr. maintained that the mission was indeed legal.
"Let me make something very clear," Holder said. "The operation in which Osama bin Laden was killed was lawful. He was the head of Al Qaeda, an organization that conducted the attacks of September the 11th [2001]. He admitted his involvement."

Au unaweza kuipata hapa:http://latimesblogs.latimes.com/washington/2011/05/osama-bin-ladens-son-full-text.html
 
Usiwe na akili za kushikiwa. UKiona jambo/habari jaribu nawe kutafakari kwa akili yako[mbayuwayu].
 
Kaazi kweli kweli kwa mfuwasi wa allah. Mimi nilifikiri deen yao inapinga hilo, kumbe ndo wapo mstari wa mbele. Hivi wake SITA hawakumtosha? Ndio maana allah anawapa 7two na kujumlisha wale ..... 28(SIRI)
 
Uongo mwingine hauingii akilini. Kwa uongo huu wamerekani wamechelewa kidogo.
 
Kaazi kweli kweli kwa mfuwasi wa allah. Mimi nilifikiri deen yao inapinga hilo, kumbe ndo wapo mstari wa mbele. Hivi wake SITA hawakumtosha? Ndio maana allah anawapa 7two na kujumlisha wale ..... 28(SIRI)

Nadhani kutokana na George Michael, Elton John et al kuwa watoa jicho wazuri basi na sie Wakristo dini yetu inaruhusu kuliwa Kisamvu... Huna uhakika na validity ya habari yenyewe halafu kurupu, unaanza kuleta hoja zako za udini(upumbavu). Vitu vingine havihitaji uwa na M.A. kama mimi ili uvielewe...
 
Mara wamekuta bangi,mara wamekunda picha za ngono,tusubiri US watasema wamekuta pombe na cocaine muda si mrefu!ili mradi kumchafua osama! R.I.P Osama kamanda wa ukweli
 
Kufa kufaaana Wakiitaja hiyo movie lazima itauza au watu wataidowload sana.
 
Nadhani kutokana na George Michael, Elton John et al kuwa watoa jicho wazuri basi na sie Wakristo dini yetu inaruhusu kuliwa Kisamvu... Huna uhakika na validity ya habari yenyewe halafu kurupu, unaanza kuleta hoja zako za udini(upumbavu). Vitu vingine havihitaji uwa na M.A. kama mimi ili uvielewe...
kuwa na M.A si kuwa eti una akili au uelewa mkubwa kuliko wengine-la hasha-kila mtu akitaja mambo yake tutaanza kukimbiana-wengine utakuta ni walimu wako hapa-
WATOA JICHO WAPO KILA SEHEMU,KILA NCHI, NA KATIKA DINI ZOTE-HATA HAPA TZ UKIWATAFUTA UTAWAPA KINA AUNT ALI,AUNT JOHN N.K
 
na wao wanatutangazia kwan tumewatuma c mambo yao na upashukuna wao...?
Sidhani kama 'wamekutangazia', they hardly even care kama kuna nchi inaitwa Tz let alone ur own existence. Wanatoa hizo taarifa kwa tax payers wao, na akina sisi tunatega mashkio coincidentally ili tupate cha kusimulia kijiweni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom