Sikatai, kwamba hivyo vikundi vinafanya uovu, ila ninachojaribu kukwaambia ni hivi mara nyingi vikundi hivyo huwa vina mzizi katika Mashirika ya Kijasusi kama CIA, wakati mwingine wale member wanaokwenda kujilipua au kuteka hao huwa hawana clue zozote za mzizi wa vikundi vyao, hao huitwa "Patsies" au "scape-goats", Masterminds wenyewe wako nyuma, na kweli they make a lot of money. Hivi wewe unaposikia CIA clandstine missions unafikiri ni nini?, ni kama hiyo ya kudeal na kuvicontrol vikundi vya Kigaidi kwa ajili ya benefit fulani ya kiuchumi au ya kisiasa.
Hizi Clandestine Missions hutengewa pesa kubwa na Congress, na kazi yake ni kudestabilize serikali au watu fulani wanaokwenda kinyume na maslahi ya Wakubwa. Sasa katika Makundi haya ya Kigaidi kuna watu wanatengeneza pesa ya kutosha, na CIA inajua hilo, inauwezo wa kuwafanyizia ikitaka, lakini inawaacha kwa sababu inajua inachokifanya.
Usiangalie katika Surface tu, angalia deep katika mzizi wa kitu.
Anyway hebu tafuta kitabu kinachoitwa "9/11 Synthetic terror", ukikisoma hicho kitabu utaelewa hii game inavyochezwa, na pia tafuta kitabu cha "Confession of an economic hitman". hivyo vitabu vinapatikana online, hiki cha confession of an economic hitman niliwahi kukiweka hapa JF kwenye International forum, hebu itafute hiyo thread!.