Labda nigusie kidogo the sensitivity of the 3 cases.
Zipo dhana/3 kuhusu hilo.
Sadamu alinyongwa hadharani. Nadhani ukifa hadharani, utaonekana hadharani.
Watawala wa Iraq ambao ni majority Muslims walimchukulia Sadam kama mlaaniwa who deserves to die and go to hell.
Ikumbukwe Hata yeye Sadam hakutaka kupelekwa nchini Iraq ili kuhukumiwa nchini kwake kwakua alijua asingeshinda kesi angekandamizwa. Alitaka kesi yake ihamishiwe mahakama za kimataifa. Lakini sio Iraq wala USA. Utawala wa Iraq uliweka shinikizo ahukimiwe kwao kwakua aliwakosea wao. Na ni raia wao.
Akiwa anapelekwa kunyongwa aliambiwa yeye ni Mlaaniwa.Aliposema Iraq bila mimi haiwezi kuwepo.niliipigania tangu ujana. Nitakufa kama mpiganaji.
So hasingekua na impact yoyote kwa majority Iragismuslims kumtendea watakavyo. So long wanamchukulia kama mlaaniwa.
Mtu mwenye image mbaya anaanzaje kupewa heshima?
Na ikumbukwe dhana nzima ya kutokuonyesha mwili moja wapo inalenga kumsitiri marehemu.
Both Saddam Hussein na Gadafi are equal the same.
Cause hata miili ya wanajeshi ya uSa yaliwahi kuburuzwa kule somalia kipindi fulani. Kwakua wanakuchukulia kama mbwa.
with the exception of Osama bin Laden ambaye yake ilikua case sensitive, kwakua Bwana Jela wake alikua ni USA(Non-Muslim Country).
USA, Israel na kama zilivyo nchi zilizostaarabika Ulaya zina tendecies ya kum withhold mtu kwa ustaarabu wake anaostahili kuupata bila kujali intensity ya madhara aliyoiletea jamii au uzito wa makosa untill justice decides.
Like i said earlier Mashekhe wamekiri hadharani kumfanyia mazishi ya kiislamu Shekh Osama,Bin Laden ndani ya Meli ya kijeshi.
Pia Alqaeda team yake ya Ugaidi duniani wamekiri kiongozi wao Osama kauwawa Na USA. japo wakaahidi kuendelea kupambana na UsA.
Na USA officials wamekiri kuruhusu Osama azikwe kwa kufuata taratibu za imani yake ya kislamu.