Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
21,714
2,000
Yuko paradiso huko akila maisha na wake zake watano na watoto kibao, analipwa dolla za kimarekani 100,000/= kwa mwezi. Nasikia hata Balali alikimbilia huko; hivi huko Bahamas kuna nini?
Screenshot_2017-12-03-08-18-36.png======================================
Hii picha ya upande wa kulia ni photoshop ya upande wa kushoto, hii picha ya akiwa amekufa ni photoshop, tumelishwa matango pori
Screenshot_2017-12-06-08-49-44.png
 

Koplo prof

Senior Member
May 7, 2017
176
250
Eti dunia hii kuna watu wanaamini Osama ni marehemu. Duniani hakuna kikundi cha kigaidi kisichokuwa na usajili US. Hauwezi kuendesha kundi la ugaidi bila ridhaa ya wakubwa. Hata bin laden kikundi chake kilikuwa kimesajiliwa na CIA, utaendesha kundi lako kwa maelekezo yao. Sasa swali la msingi ni lini aliwasaliti mpaka wamgeuke na kumwua?
 

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
892
1,000
Osama Bin Laden alishauwawa. Acheni kupoteza Muda conspiracy. He's gone forever..no coming back...

Itakuwa hajauwawa kweli; kwani Kwa Akili ya kawaida tu wamarekani wasingekubali kumzika baharini Mtu waliyekuwa wanamtafuta kwa udi Na uvumba. Lazima wangempeleka mahakamani ili iwe fundisho kwa magaidi wengine; ila walishindwa kufanya hivyo kwa sababu CIA ndo walimtengeneza hadi kufikia hapo. Siri nyingi angezianika hadharani. Hii story itakuwa kweli, jamaa yupo alive.
 

Ilitarakimura

JF-Expert Member
Feb 7, 2016
2,513
2,000
Osama Bin Laden alishauwawa. Acheni kupoteza Muda conspiracy. He's gone forever..no coming back...
Wewe una uhakika gani? kama aliuwawa na nani? alishuhudia maiti yake kama siyo propaganda za Marekani;maana Nchi za magharibi na kiongozi wao Marekani kwa propaganda ni vinara Duniani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom