Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Edward Snowden katika kituo kimoja cha tv huko Urusi alishawahi kudokeza kwamba Osama yupo Bahamas. Hapo Urusi wakamwambia aache kutoa siri za Marekani ndipo atapewa ruhusa ya kuishi Urusi. Tokea Siku hiyo Snowden yupo kimya mpaka Leo.
 
Zingatia kuonyeshwa rasmi na kuonekana umejifia ni vitu viwili tofauti.

Hoja ni pale kumtoa rasmi watu wa mtazame watoe heshima zao za Mwisho kama ishara ya kumuaga. Hii hairuhusiwi kwa mujibu wa dini.

Madai kua Ghadafi alionyeshwa sidhani kama yana ukweli. Kuhusu Saddam anaweza kua alinyongwa hadharani lakini, afterwards hakuonyeshwa mwili wake. Kama walimuonyesha basi hili swala wanapaswa walijibu wa Iraqis official wenyewe. Labda walimlaani na kutomtambua kwa mujibu wa imani zao.
Kwa hiyo Ghaadaf unataka kusema alioneshwa rasmi,mimi sina maana hiyo bali nnasema kutokana na yale yaliyojir kwa Watu hao,nnatambua Uislamu hauruhusu kuoneshwa live mwil wa marehemu,hoja hapa ni kwamba mbona Ghaadaf na Saddam walioneshwa kwa namna walivyouwawa ilikuwaje? Osama ikishindikana,kifo chake kina utata bado
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Gadaffi alikua mkristo??
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. USA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani. ........
.

Mbona Saddam Hussein na Gadaff maiti zao zilioneshwa hadharani je wao sio waislamu??
 
Kwa hiyo Ghaadaf unataka kusema alioneshwa rasmi,mimi sina maana hiyo bali nnasema kutokana na yale yaliyojir kwa Watu hao,nnatambua Uislamu hauruhusu kuoneshwa live mwil wa marehemu,hoja hapa ni kwamba mbona Ghaadaf na Saddam walioneshwa kwa namna walivyouwawa ilikuwaje? Osama ikishindikana,kifo chake kina utata bado
Sadam na Ghadafi hawakuonyeshwa hadharani kama inavyotafsiriwa na baadhi ya watu humu jamvini.
Inaweza kua Gadafi alionekana amekufa hadharani lakini sio kuonyeshwa hadharani.
 
Eti dunia hii kuna watu wanaamini Osama ni marehemu. Duniani hakuna kikundi cha kigaidi kisichokuwa na usajili US. Hauwezi kuendesha kundi la ugaidi bila ridhaa ya wakubwa. Hata bin laden kikundi chake kilikuwa kimesajiliwa na CIA, utaendesha kundi lako kwa maelekezo yao. Sasa swali la msingi ni lini aliwasaliti mpaka wamgeuke na kumwua?
Huyu ni marehemu siku nyingi sana
 
What I know, huyu bwana alishafariki by the end of 2001,alikuwa na shida ya njia ya mkojo na alikuwa akitembea na mashine ya kumsaidia.
Fake news ni pale Obama aliposema kamuua 2011 pale Abutabad.
It's said kuwa picha yake ya mwisho kupigwa ni 1998,na ndiyo iliyopo till this time,ni miaka takribani 19 tangu picha hiyo mwisho kupigwa,na ndio maana tunaona hazeeki.
Kwakuangalia series inayoitwa 666 AVENUE PARK (Evil have an address). Naweza nikakubaliana na wewe.
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Mkuu, kwanini mwili Wa Ghadafi ulionyeshwa hadharani. Kwani hakua muislam yule??
Fake news. Conspiracy theory. Blah blah blah.

Si amesema mange
 
Hivi jamani yale mazingira ya kuuawa kwa Osama nyinyi mnaona yana ukweli wowote kweli.
Yaani rais pamoja na jopo lake wanakaa sebuleni kuangalia eti leo Osama atakuwa anauawa live.
Alafu baada ya kumuua hakuna aliye muona tukasikia tu katupwa baharini.Aisee.
Osama yupo wasicheze na akili zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom