Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Osama Bin Laden alishauwawa. Acheni kupoteza Muda conspiracy. He's gone forever..no coming back...
How far are you sure, Do you believe in American's fictions ? Deceiptions ? Tell us the Neccessity of burrying Osama under the sea. That was tippically fictions, who wittnessed the dead body? Snowndern might be quite right. God has decided to reveal the trueth.
 
How far are you sure, Do you believe in American's fictions ? Deceiptions ? Tell us the Neccessity of burrying Osama under the sea. That was tippically fictions, who wittnessed the dead body? Snowndern might be quite right. God has decided to reveal the trueth.
Not only American witnessed that..

The Arch enemy of USA and Western countries, Alqaeda the terrorist group confirmed that too.

Not to forget the Taliban.

How can you trust the Edward Snowden the US Traitor whose motive are not even clear to the rest of the world? He's just like David icke(The conspiracy author).
The evidence are overwhelming for him to refute one.
poor Snowden.
 
It might be true or false.

Kwa sababu, ninachokumbuka ni kuwa Osama aliletwa Kama jambazi kwenye movie ya USA kutaka kuchota mafuta middle east, kuuza silaha na kuchafua amani ya middle east.

Wazungu koko ni wanafiki sana hawashindwi kumficha huko au kokote.

Any way, swali la kizushi, kwa nini Saddam alinyongwa live na kuzikwa ila Osama hakuna ajuaye alipozikwa hasa au kwa nini pakawa na siri siri Fulani hivi kwenye mchakato mzima!?

Ni Sawa na Daudi balali.
Sawa na Malaysia airline MH 370
Na matukio mengine mengi tu.
 
Mwili wa muislamu hauruhusiwi kuonyeshwa hadharani pindi anapofariki. uSA walifanya hivyo kuepusha sparks za vurugu katika ulimwengu wa kiislamu duniani, ambapo wange react kama wangehisi Mwili wa Osama aliekufa kama mwislamu Unaonyeshsa hadharani.

Kaburi lake lilibaki kua baharini kwasababu inaruhusiwa kwa mujibu wa imani ya kiislamu. Ilichaguliwa hivyo ilk kuepusha makundi ya fanatics kuweza kufikia kaburi ake na kuhiji hapo. Ambapo ingechochea harakati zaidi. uSA wana akili sana. Wamecheza na psychology ya magaidi wakawapiga gepu moja mbele.

Last but not least, Timu yake ya Magaidi wa Alqaeda ilikiri kua ni kweli Osama aliuwawa.
Kwani Saddam wa Iraq aliponyongwa live alikua sio muislam?
 

haya yupo na Obama wanakula bata Nahau Bahama
kwanini Trump asimfuate naye akale bata
kweli akili za kitoto changanya na zako
 
Kiki za kisiasa sio bongo tu. Hiyo ilikuwa kiki ya Obama
 

haya yupo na Obama wanakula bata Nahau Bahama
kwanini Trump asimfuate naye akale bata
kweli akili za kitoto changanya na zako

Dah.... Kama vile naamini jamaa yupo hai
 
Magaidi wanavyopenda sifa ya kuimbua U.S.A unafikili wangekaa kimya kama angekuwa hai
 
Mimi huwa nafikiria sometimes hata huyo Snowden ni janja janja ya USA inawezekana kuna isue anaitafuta.Hawa USA mambo yao huwa hayaeleweki kabisa na yapo kinyume nyume sana.

Time will tell.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom